Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MUZIKI MNENE NDANI YA KISARAWE

WAKAZI wa kisarawe walipata burudani ya aina yake, jumamosi ya juzi tarehe 19 mwezi huu kutoka redio ya 93.7 EFM kupitia kampeni ya muziki mnene. Burudani hiyo ilianza na mpira wa miguu kati ya EFM na buffalo kisarawe, ambapo timu ya Buffalo ilitetea ushindi nyumbani kwa kuifunga EFM magoli mawili huku EFM ikiambulia sifuri.

Baada ya mechi hiyo burudani ya aina yake iliendelea ndani ya Tausi bar, huku Rdj’s na watangazaji wa EFM wakishikilia usukani wa burudani hivo kuwapagawisha ...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

WATATU WAIBUKA WASHINDI SHINDANO LA MUZIKI MNENE-KISARAWE



Jimmy Jiam akiwa na washindi wa Muzuki Mnene Bango  eneo la Kisarawe,Washindi hao walitokana na kuwenga bango la EFM katika sehemu zao mbalimbali  na kama wanavyoonekana tayari wamekabidhiwa zawadi zao.

 

9 years ago

Michuzi

MUZIKI MNENE NDANI YA BUNJU

                                  93.7 EFMinaendeleza burudani kupitia kampeni yake ya muziki mnene Bar kwa Bar. Jumamosi ilikuwa zamu ya wakazi wa Bunju  kuongea na muziki wa 93.7 EFM.Burudani hiyo iliendeshwa na timu nzima ya EFM, iliyocheza mechi na  Carlfonia FC ya Boko na kuwafunga magoli mawili kwa moja katika uwanja wao wa nyumbani uliopo ndani ya shule ya msingi Boko. “Kwa bahati mbaya tumeshafungwa mechi tatu ila kuanzia mechi hii ni mwendo wakufunga magori ya kishujaa” alisema...

 

9 years ago

Michuzi

libeneke la Muziki mnene bar kwa bar la 93.7 EFM ndani ka kibaha

 Wana 93.7 EFM wakipata ytaswira  na mashabiki wa EFM maeneo ya Kibaha kuwashukuru na kuwatunza kuwapa zawadi kwa kusikiliza vipindi vya kituo hicho cha redio kinachotamba nchini,  ikiwa ni maandalizi ya ujio wa libeneke la Muziki mnene bar kwa bar.  Bango la MUZIKI MNENE lilionekana maeneo ya mjini Kibaha, lilowekwa na mmoja wa mashabiki wa EFM Radio 93.7. 

 

9 years ago

Michuzi

MUZIKI MNENE BAGAMOYO

                        

SHANGWE za muziki mnene wa 93.7 EFM ,kwa mara nyingine tena ziliendelea  ndani ya bagamoyo . Burudani ya aina yake  ikiongozwa na timu nzima ya EFM ilishushwa ndani ya mageti mia Adon lodge. Wakazi wa bagamoyo walipata nafasi ya kukutana na watangazaji, na RDJ’s huku  wakifurahia burudani ya pamoja.
Muziki mnene bar kwa bar ulipambwa na kabumbu kati ya EFM na Bagamoyo veterani ambapo Bagamoyo veteran waliibuka na ushindi wa bao moja huku EFM wakiambulia sifuri.


Tangu...

 

9 years ago

Michuzi

MUZIKI MNENE KIBAHA


93.7 EFM yajinyakulia ushindi baada ya kuwafunga kibaha veterans mabao mawili kwa moja, katika mchezo  uliochezwa mwishoni mwa wiki  katika uwanja wa Tamco kibaha, Mechi hiyo ni baadhi ya mechi zinazoendelea baina ya EFM na timu mbalimbali za wasikilizaji wake, Kupitia kampeni ya Muziki mnene bar kwa bar .Burudani haikuishia hapo,  baada ya mechi hiyo shangwe ziliendelea ndani ya kibaha kontena. Ilikuwa ni bandika bandua ya ngoma kali kutoka kwa Rdj’s wa 93.7 EFM na  shamra shamra kutoka...

 

11 years ago

GPL

Maximo muziki mnene

Kocha Marcio Maximo. Hans Mloli na Wilbert Molandi
WAKATI Gazeti la Championi linaanza kuripoti juu ya ujio wa Kocha Marcio Maximo mnamo Mei 24, ambapo pia ndiyo lilikuwa gazeti la kwanza kabisa kuripoti juu ya Mbrazili huyo kuja nchini kuinoa Yanga, ilionekana kama ni ndoto, hatimaye neno limetimia. Maximo, kocha wa zamani wa Taifa Stars, amerejea nchini jana, maalum kwa kazi moja tu, kuinoa Yanga, tukio ambalo limepokewa kwa...

 

9 years ago

Michuzi

MUZIKI MNENE BANGO BOKO

Jimmy Jiam akiwa na washindi wa Muzuki Mnene Bango  eneo la Kisarawe. Washindi hao walitokana na kuwenga bango la EFM katika sehemu zao mbalimbali  na kama wanavyoonekana tayari wamekabidhiwa zawadi zao.




 

9 years ago

Michuzi

9 years ago

Michuzi

MUZIKI MNENE BANGO KIMARA

 Mr Jimmy Jiam akiwa na mshindi kwa  kuweka  stika za kutosha kwenye sehemu yake ya biashara na kupata t-shirt yake mpya ya EFM aliyozawadia na bwana E kufuatia. Mamalishe akikabidhiwa zawadi na bwana E Mr Jimmy Jiam baada ya kuweka stika kwenye sehemu yake ya kazi eneo la Kimara, jijini Dar Es Salaam.Bwana E Mr jimmy Jiam akimpa zawadi na kumshurukuru mfanyabiashara kwa kusikiliza 93.7 EFM na ku weka bango la EFM kwenye eneo lake la biashara. 
Bwana E anapokutana na shabiki wa 97.3 EFM...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani