WATATU WAIBUKA WASHINDI SHINDANO LA MUZIKI MNENE-KISARAWE
![](http://2.bp.blogspot.com/-V4JjZu6PdrA/VdGsQzVLEgI/AAAAAAAAAeg/U0KkI9L1Kwk/s72-c/New%2BPicture.png)
Jimmy Jiam akiwa na washindi wa Muzuki Mnene Bango eneo la Kisarawe,Washindi hao walitokana na kuwenga bango la EFM katika sehemu zao mbalimbali na kama wanavyoonekana tayari wamekabidhiwa zawadi zao.
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-e9UJUtBXznM/Vf_Nv1w-stI/AAAAAAAH6dM/Nx398MM9TNs/s72-c/DU7C8649.jpg)
MUZIKI MNENE NDANI YA KISARAWE
WAKAZI wa kisarawe walipata burudani ya aina yake, jumamosi ya juzi tarehe 19 mwezi huu kutoka redio ya 93.7 EFM kupitia kampeni ya muziki mnene. Burudani hiyo ilianza na mpira wa miguu kati ya EFM na buffalo kisarawe, ambapo timu ya Buffalo ilitetea ushindi nyumbani kwa kuifunga EFM magoli mawili huku EFM ikiambulia sifuri.
Baada ya mechi hiyo burudani ya aina yake iliendelea ndani ya Tausi bar, huku Rdj’s na watangazaji wa EFM wakishikilia usukani wa burudani hivo kuwapagawisha ...
Baada ya mechi hiyo burudani ya aina yake iliendelea ndani ya Tausi bar, huku Rdj’s na watangazaji wa EFM wakishikilia usukani wa burudani hivo kuwapagawisha ...
10 years ago
MichuziShindano ya Tanzania Movie Talents Kanda ya nyanda za juu kusini Mbeya lakamilika, washindi watatu wapatikana
Shindano la Tanzania Movie Talents linaloendeshwa na kampuni ya Proin Promotion linalolenga kuinua vipaji kwa vijana ikiwa ni katika kuwatengenezea mazingira ya ajira katika maisha yao Nchi nzima kikanda lionekana kuwa msaada kwa vijana wengi waliokuwa wakijitokeza kushiriki mashindano hayo katika mikoa mbalimbali tulikopita.Shindano la ya Tanzania Movie Talents msimu wa pili 2015 lilioanza mwezi Aprili kikanda kwa kuanza na kanda ya ziwa mwanza, Kanda ya kaskazini Arusha,Kanda ya kati...
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-wfdsHTTqnY8/VgoONJVZctI/AAAAAAAH7qk/-VU4LnvRhW0/s72-c/DU7C0126.jpg)
MUZIKI MNENE KIBAHA
![](http://3.bp.blogspot.com/-wfdsHTTqnY8/VgoONJVZctI/AAAAAAAH7qk/-VU4LnvRhW0/s640/DU7C0126.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-dm0Pn2oBnak/VgoONPAF0lI/AAAAAAAH7qs/XXEvMzl51MY/s640/DU7C9593.jpg)
93.7 EFM yajinyakulia ushindi baada ya kuwafunga kibaha veterans mabao mawili kwa moja, katika mchezo uliochezwa mwishoni mwa wiki katika uwanja wa Tamco kibaha, Mechi hiyo ni baadhi ya mechi zinazoendelea baina ya EFM na timu mbalimbali za wasikilizaji wake, Kupitia kampeni ya Muziki mnene bar kwa bar .Burudani haikuishia hapo, baada ya mechi hiyo shangwe ziliendelea ndani ya kibaha kontena. Ilikuwa ni bandika bandua ya ngoma kali kutoka kwa Rdj’s wa 93.7 EFM na shamra shamra kutoka...
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-z_l-AkWg-cE/VhJnUFpA4UI/AAAAAAAH9FU/bN-_PQsJUMk/s72-c/DU7C0985.jpg)
MUZIKI MNENE BAGAMOYO
![](http://1.bp.blogspot.com/-z_l-AkWg-cE/VhJnUFpA4UI/AAAAAAAH9FU/bN-_PQsJUMk/s1600/DU7C0985.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-EN6mE0uoNt4/VhJnUPsKtYI/AAAAAAAH9FY/1Td5W7eElJ4/s1600/DU7C1120.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-ncONnDeEKVg/VhJnUF9GhcI/AAAAAAAH9Fc/G3pdyVW5mTY/s1600/DU7C1233.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-vUUXLWpnajE/VhJnWWXet1I/AAAAAAAH9F4/WNpaFYksbPY/s1600/DU7C2105.jpg)
Muziki mnene bar kwa bar ulipambwa na kabumbu kati ya EFM na Bagamoyo veterani ambapo Bagamoyo veteran waliibuka na ushindi wa bao moja huku EFM wakiambulia sifuri.
Tangu...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vcB-R4TFh6pRnEWfJBzaY0ymbejs30lzRcd0-MvOJ60O9tCk6k81wGXfYQgQeK39vuNpQXpYrj3MNjD1YEJUTQe4EsVdKSKi/MAXIMO.gif?width=650)
Maximo muziki mnene
Kocha Marcio Maximo. Hans Mloli na Wilbert Molandi
WAKATI Gazeti la Championi linaanza kuripoti juu ya ujio wa Kocha Marcio Maximo mnamo Mei 24, ambapo pia ndiyo lilikuwa gazeti la kwanza kabisa kuripoti juu ya Mbrazili huyo kuja nchini kuinoa Yanga, ilionekana kama ni ndoto, hatimaye neno limetimia. Maximo, kocha wa zamani wa Taifa Stars, amerejea nchini jana, maalum kwa kazi moja tu, kuinoa Yanga, tukio ambalo limepokewa kwa...
10 years ago
MichuziNSSF WAIBUKA WASHINDI WA JUMLA MAONYESHO YA SABASABA
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-spKJ9Zbnsas/Vdr0WcKQc5I/AAAAAAAHzis/JVguj3ORKXM/s72-c/New%2BPicture%2B%25281%2529.png)
MUZIKI MNENE BANGO KIMARA
![](http://1.bp.blogspot.com/-spKJ9Zbnsas/Vdr0WcKQc5I/AAAAAAAHzis/JVguj3ORKXM/s640/New%2BPicture%2B%25281%2529.png)
![](http://1.bp.blogspot.com/-QzjoscjUUxs/Vdr0XNdqWoI/AAAAAAAHzi8/44p3p1wYk_Y/s640/New%2BPicture%2B%25283%2529.png)
![](http://1.bp.blogspot.com/-l7UZNkcD2gI/Vdr0Zf1rMkI/AAAAAAAHzjE/3gpxji9sG8c/s640/New%2BPicture%2B%25284%2529.png)
![](http://4.bp.blogspot.com/-OxaXwGd1Lvs/Vdr0WtmIVKI/AAAAAAAHziw/YaiTsf608EI/s640/New%2BPicture%2B%25282%2529.png)
Bwana E anapokutana na shabiki wa 97.3 EFM...
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-9rtsf42WnWs/VdWa_PPZulI/AAAAAAAHyiE/k7otGcUl_gw/s72-c/Untitled1.png)
Muziki Mnene bango Tegeta
![](http://4.bp.blogspot.com/-9rtsf42WnWs/VdWa_PPZulI/AAAAAAAHyiE/k7otGcUl_gw/s640/Untitled1.png)
![](http://1.bp.blogspot.com/-zc3xnV6bgbk/VdWa_DB9_XI/AAAAAAAHyiA/haleLwqMzEo/s640/Untitled2.png)
![](http://2.bp.blogspot.com/-jg1fWx1DtQ4/VdWa_dn24WI/AAAAAAAHyiI/gWgpZvi178Q/s640/Untitled3.png)
![](http://4.bp.blogspot.com/-gclnJK_BPbE/VdWbA88oMNI/AAAAAAAHyiY/yZGzQ1JzcHI/s640/Untitled4.png)
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania