MUZIKI MNENE BANGO MBEZI
Bwana E Mr Jimmy Jiam akiwa na swaga za hali ya juu wakati anampa zawadi mshindi wa EFM Muziki Mnene Bango baada yakuona kuwa ameweka stika kwenye eneo lake la biashara eneo la Mbezi Jijini Dar es salaam.
Mshindi mwingine wa EFM Muziki Mnene Bango na washabiki wa EFM wakipozi kidogo na kupiga picha na bwana E Mr Jimmy Jiam. Mshindi huyo alikuwa ameweka stika ya EFM kwenye taksi yake alikabidhiwa zawadi yake na bwana E. Bwana E akipozi na mashabiki wa EFM. mashabiki hao walikutwa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziMuziki Mnene bango Tegeta
Mshindi wa EFM Muziki Mnene bango akionyesha bango lake la EFM ambalo ameweka kwenye sehemu yake ya biahsara eneo la Tegeta jijini Dar es salaam. Duu! Bwana E si akazama hadi ndani ya duka, hapa ni Jimmy Jiam kimkabidhi zawadi mshindi huyo kwakumpa zawadi kadhaa na kumshukuru kwa kuwa shabiki wa EFM. Mshindi mwingine akipokea zawadi yake ya t-shirt ya EFM Muziki Mnene kutoka kwa bwana E baada yakuonekana kuwa ameweka stika ya EFM kwenye bodaboda yake. Bango kubwa lililo oneka kwenye eneo...
9 years ago
MichuziMUZIKI MNENE BANGO BOKO
Jimmy Jiam akiwa na washindi wa Muzuki Mnene Bango eneo la Kisarawe. Washindi hao walitokana na kuwenga bango la EFM katika sehemu zao mbalimbali na kama wanavyoonekana tayari wamekabidhiwa zawadi zao.
9 years ago
MichuziMUZIKI MNENE BANGO KIMARA
Mr Jimmy Jiam akiwa na mshindi kwa kuweka stika za kutosha kwenye sehemu yake ya biashara na kupata t-shirt yake mpya ya EFM aliyozawadia na bwana E kufuatia. Mamalishe akikabidhiwa zawadi na bwana E Mr Jimmy Jiam baada ya kuweka stika kwenye sehemu yake ya kazi eneo la Kimara, jijini Dar Es Salaam.Bwana E Mr jimmy Jiam akimpa zawadi na kumshurukuru mfanyabiashara kwa kusikiliza 93.7 EFM na ku weka bango la EFM kwenye eneo lake la biashara.
Bwana E anapokutana na shabiki wa 97.3 EFM...
Bwana E anapokutana na shabiki wa 97.3 EFM...
9 years ago
MichuziMUZIKI MNENE BANGO KINONDONI NA KAWE
93.7. EFM bado inaendelea na matayarisho ya tukio lao la Muziki Mnene Bar Kwa Bar ambalo litaanza kufanyika rasmi kuanziya tarehe 5/09/2015. Muziki Mnene Bango bao inaendelea na ukiwa umeweka bango la EFM kakita sehemu yako ya biashara na bwana E akipita akaona bango hilo huku ukisikiliza matangazo ya EFM utapata kifurushi chenye zawadi na tuvitu vitu kibao. Mshindi wa Muziki Mnene Bango akikabidhiwa zawadi yake na bwana E mr Jimmy Jiam zikiwemo EFM t-shirt na kifurishi chenye vitu...
9 years ago
MichuziMUZIKI MNENE BANGO SINZA NA MAGOMENI
Bwana E Mr Jimmy Jiam wa EFM akipozi na mshindi wa EFM Muziki Mnene Bango eneo la Sinza, jijini Dar Es Salaam. Mshindi huyo alionekana akiwa anasikiliza 93.7 EFM na pia alikuwa ameweka stika ya EFM kwenye sehemu yake ya kazi. Mshindi mwingine wa EFM Muziki Mnene Bango akiwa na furaha baada ya kukabidhiwa zawadi na bwana E wa EFM. Dada huyo alikuwa ameweka stika ya EFM kwenye sehemu yake ya biashara eneo la Magomeni, jijini Dar Es Salaam.Bwana E Mr Jimmy Jiam akionekana anapozi na kumpa...
9 years ago
MichuziMUZIKI MNENE BAGAMOYO
SHANGWE za muziki mnene wa 93.7 EFM ,kwa mara nyingine tena ziliendelea ndani ya bagamoyo . Burudani ya aina yake ikiongozwa na timu nzima ya EFM ilishushwa ndani ya mageti mia Adon lodge. Wakazi wa bagamoyo walipata nafasi ya kukutana na watangazaji, na RDJ’s huku wakifurahia burudani ya pamoja.
Muziki mnene bar kwa bar ulipambwa na kabumbu kati ya EFM na Bagamoyo veterani ambapo Bagamoyo veteran waliibuka na ushindi wa bao moja huku EFM wakiambulia sifuri.
Tangu...
11 years ago
GPLMaximo muziki mnene
Kocha Marcio Maximo. Hans Mloli na Wilbert Molandi
WAKATI Gazeti la Championi linaanza kuripoti juu ya ujio wa Kocha Marcio Maximo mnamo Mei 24, ambapo pia ndiyo lilikuwa gazeti la kwanza kabisa kuripoti juu ya Mbrazili huyo kuja nchini kuinoa Yanga, ilionekana kama ni ndoto, hatimaye neno limetimia. Maximo, kocha wa zamani wa Taifa Stars, amerejea nchini jana, maalum kwa kazi moja tu, kuinoa Yanga, tukio ambalo limepokewa kwa...
9 years ago
MichuziMUZIKI MNENE KIBAHA
93.7 EFM yajinyakulia ushindi baada ya kuwafunga kibaha veterans mabao mawili kwa moja, katika mchezo uliochezwa mwishoni mwa wiki katika uwanja wa Tamco kibaha, Mechi hiyo ni baadhi ya mechi zinazoendelea baina ya EFM na timu mbalimbali za wasikilizaji wake, Kupitia kampeni ya Muziki mnene bar kwa bar .Burudani haikuishia hapo, baada ya mechi hiyo shangwe ziliendelea ndani ya kibaha kontena. Ilikuwa ni bandika bandua ya ngoma kali kutoka kwa Rdj’s wa 93.7 EFM na shamra shamra kutoka...
9 years ago
Michuzi
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania