Maza kachachawa, mchizi akapagawa
Nimerudi tauni wanangu, ile ile baada ya msele mkubwa wa Kili Music Tour na leo hii niko na wanangu kibao tunakinukisha mitaa ya Leaders, kama hutamind, ungekuja tu tuone jinsi gemu ya kibongo inavyojitanua kivyake.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi20 Sep
Mitikasi ya maza hausi samtaimz ni mikosi
10 years ago
Bongo Movies21 Dec
ROSE NDAUKA:Nampenda Mwangu, Yeye Ndio Mchizi Wangu!!
Mrembo na muigizaji wa filamu , Rose Ndauke ambae ni mama wa mtoto mmoja , ameleza kwajinsi gani anavyo mpenda mtoto wake na humfanya awe na furaha wakati wote japokuwa anamlea mtoto peke yake kama “single mother” baada ya kuachana na aliekuwa mchumba wake ambae ndio baba wamtoto huyo.
Akionakana mwenye tabasamu pana akiwa amembeba mtoto wake rose alisema;
“Sasa nikiwa nae nachekaje mpaka jino mwisho nakupenda mwanangu na ndio mchizi wanguuuuu”
Jionee baadhi ya picha hapo juu akiwa maeneo...