ROSE NDAUKA:Nampenda Mwangu, Yeye Ndio Mchizi Wangu!!
Mrembo na muigizaji wa filamu , Rose Ndauke ambae ni mama wa mtoto mmoja , ameleza kwajinsi gani anavyo mpenda mtoto wake na humfanya awe na furaha wakati wote japokuwa anamlea mtoto peke yake kama “single mother” baada ya kuachana na aliekuwa mchumba wake ambae ndio baba wamtoto huyo.
Akionakana mwenye tabasamu pana akiwa amembeba mtoto wake rose alisema;
“Sasa nikiwa nae nachekaje mpaka jino mwisho nakupenda mwanangu na ndio mchizi wanguuuuu”
Jionee baadhi ya picha hapo juu akiwa maeneo...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo525 Oct
Amber Rose: Nampenda, nammiss sana mume wangu (Wiz Khalifa)
10 years ago
Bongo Movies17 Dec
Nyuma ya Kamera: KALEKWA Ndio Jina la Movie Mpya ya Richie na Rose Ndauka
Hizi ni baadhi ya picha za nyuma ya kamera zilizopiga wakiwa ON SET kwenye utengenezaji wa filamu mpya itakayoitwa KALEKWA, inayofanyika chini ya kampuni ya Bulls Entertainment.
Movie hii mpya itawajumisha waigizaji wakali wengi wakiwemo Single matambalike “Richie”ambae ndio mwongozaji wa filamu hii na pia ni mkurugenzi wa kampuni ya Bulls Entertainment na mwanadada Rose Ndauka amabao kwa pamoja wamekuwa wakitoa vitu vikali sana.
Tunaisubiri kwa hamu!!!.
10 years ago
Bongo Movies18 May
Hii Ndio Sababu Kipindi cha TV cha Rose Ndauka Kuota Mbawa
Staa wa Bongo Movies, Rose Ndauka ambaye miaka miwili iliyopita alianzisha kipindi chake cha TV kilichopewa jina la ‘Family Talk Show’. Kupitia kampuni yake, muigizaji huyo alianza kurekodi episodes kadhaa za show hiyo ili zianze kuruka kwenye TV.
Hata hivyo kipindi hicho hakijawahi kuonekana na ni kama kiliishia hewani. “Kipindi changu.. niliibiwa vitu vyote ofisini lakini ndoto yangu ya utangazaji iko pale pale,” Hivi majuzi Rose aliiambia Kabali ya EFM.
Mwanzoni mwa mwaka 2013, Rose...
10 years ago
Bongo530 Sep
Rose Ndauka na Chiwaman waachana, ndoto za ndoa zayeyuka, Rose athibitisha
10 years ago
GPLALIYEKUWA MCHUMBA WA ROSE NDAUKA, MALICK BANDAWE ATEMBELEA GPL, AFUNGUKA KISA CHA KUACHANA NA ROSE
10 years ago
Bongo530 Oct
Msichana aliyeigiza kwenye video ya ‘Nampenda Yeye’ ya Temba afariki dunia
11 years ago
Mwananchi18 Jan
Nahisi nampenda Prof wangu
9 years ago
Bongo507 Oct
Flora Mbasha afuta kesi ya talaka dhidi ya mumewe, ‘bado nampenda sana mume wangu’