Msichana aliyeigiza kwenye video ya ‘Nampenda Yeye’ ya Temba afariki dunia
Msichana aliyeigiza kwenye video ya wimbo wa Mheshimiwa Temba aliomshirikisha Dully Sykes, ‘Nampenda Yeye’ amefariki dunia. Temba amesema msichana huyo aitwaye Batulli alifariki jana. “RIP Batuli. Amefariki jana mazishi ni leo kisutu. Dada yng mungu akupunguzie adhabu ya kaburi tutakukumbuka kwa mema yote. Batuli ulijitolea kwa nguvu na mali ktk video yng ya nampenda yy […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies21 Dec
ROSE NDAUKA:Nampenda Mwangu, Yeye Ndio Mchizi Wangu!!
Mrembo na muigizaji wa filamu , Rose Ndauke ambae ni mama wa mtoto mmoja , ameleza kwajinsi gani anavyo mpenda mtoto wake na humfanya awe na furaha wakati wote japokuwa anamlea mtoto peke yake kama “single mother” baada ya kuachana na aliekuwa mchumba wake ambae ndio baba wamtoto huyo.
Akionakana mwenye tabasamu pana akiwa amembeba mtoto wake rose alisema;
“Sasa nikiwa nae nachekaje mpaka jino mwisho nakupenda mwanangu na ndio mchizi wanguuuuu”
Jionee baadhi ya picha hapo juu akiwa maeneo...
10 years ago
Bongo523 Aug
Ni shida: Msichana ‘akitwerk’ kwenye wimbo wa Diamond ‘Kizaizai’ (Video)
9 years ago
Bongo526 Nov
Vanessa Mdee hujiskiaje akimuona Jux ‘akimbusu’ msichana mwingine kwenye video? Hili ndio jibu lake!
![12230886_926044967480796_2021833105_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/12230886_926044967480796_2021833105_n-300x194.jpg)
Ukiwa girlfriend wa mwanamuziki inabidi uliondoe neno ‘wivu’ kwenye kamusi yako kichwani!
Ni kwasababu bila hivyo utaishia kuwa mgonjwa wa vidonda vya tumbo.
Jux ana bahati ya kuwa na girlfriend anayeelewa kuwa muziki ni kazi na wakati mwingine unatakiwa kufanya kile mtu wa kawaida hawezi kufanya.
Vanessa Mdee amepost picha ya Jux ya kile kinachoonekana kama video yake ijayo na wimbo ‘One More Night’ na kuandika sentesi inayomaanisha kuwa pale mpenzi wake anapoonesha kuwapenda wasichana...
10 years ago
Vijimambo16 Dec
SHAMBA LA MWANADIASPORA MZEE TEMBA LAUZWA HUKU YEYE AKIWA NA HAKI ZOTE ZA KULIMILIKI SHAMBA HILO
Tukiachana na hiyo stori ya uraia pacha ninataka kukujuzeni kuhusu hii stori ya shamba ya mwanaDiaspora mwenzetu Mzee...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-ZO5Bpdvu9Eg/VDFMbyxf6QI/AAAAAAAAAus/DuQPWtvQ-ZY/s72-c/g-fullah-2.jpg)
TANZIA: Msanii Chipukizi G Fullah Kwenye Singo Mpya ya Joett Afariki Dunia
![](http://4.bp.blogspot.com/-ZO5Bpdvu9Eg/VDFMbyxf6QI/AAAAAAAAAus/DuQPWtvQ-ZY/s1600/g-fullah-2.jpg)
Jana jioni nilikua na video...
11 years ago
Bongo519 Jul
Kabi Gethaiga: Mkenya aliyeigiza filamu ya Going Bongo aliyeshika nafasi ya 2 kwenye usaili uliompa Lupita Nyong’o shavu la ’12 Years A Slave’
11 years ago
Dewji Blog01 Jun
MTOTO Nasra aliyekuwa akiishi kwenye box kwa miaka minne afariki Dunia
MTOTO Nasra aliyekuwa akiishi kwenye box kwa miaka minne akidaiwa kuteswa na mama yake mkubwa baada ya mama yake kufariki, huku akikosa uangalizi wa karibu, chakula, tiba na huduma nyingine muhimu AFARIKI DUNIA katika Hospitali ya Taifa MUHIMBILI usiku wa kuamkia leo majira ya saa saba, tatizo ni Nimonia na homa ilipanda sana.
R.I.P NASRA wewe mbele sisi nyuma tutakufuata, Tulikupenda lakini Mungu amekupenda zaidi.
5 years ago
BBCSwahili25 May
Mamba alienusurika mabomu ya Vita ya Pili ya Dunia afariki kwenye hifadhi ya wanyama mjini Moscow
11 years ago
CloudsFM23 Jul
MSICHANA ABAKWA HADI KUFARIKI DUNIA
Mfanyakazi wa ndani, Isabella Andrew (18), amefariki dunia na kifo chake kikidaiwa kusababishwa na kubakwa na watu wasiojulikana.Mwili wa msichana huyo ulikutwa ukiwa umeharibika katika moja ya pagale, lililopo Area C, Dodoma Mjini na mwandishi wetu alishuhudia ukitolewa hapo kwa machela huku polisi wakiwahoji mashuhuda wa tukio hilo.
Mkazi wa Mtaa wa Kiwanja cha Ndege, Jackson Coy aliyekuwa akiishi na binti huyo alisema msichana huyo alipotea tangu Jumamosi iliyopita.
Kamanda wa Polisi Mkoa...