Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ni shida: Msichana ‘akitwerk’ kwenye wimbo wa Diamond ‘Kizaizai’ (Video)

Paki gari, weka wimbo wa Diamond ‘Kizaizai’, mpe camera rafiki yako arekodi, anza kukata viuno!!! Hicho ndicho kilichofanyika kwenye video hii inayokwenda kuishuhudia. Ni sheedah ( kwa sauti ya Madee). Hutaona sura yake lakini utaenjoy.

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Msichana aliyeigiza kwenye video ya ‘Nampenda Yeye’ ya Temba afariki dunia

Msichana aliyeigiza kwenye video ya wimbo wa Mheshimiwa Temba aliomshirikisha Dully Sykes,  ‘Nampenda Yeye’ amefariki dunia. Temba amesema msichana huyo aitwaye Batulli alifariki jana. “RIP Batuli. Amefariki jana mazishi ni leo kisutu. Dada yng mungu akupunguzie adhabu ya kaburi tutakukumbuka kwa mema yote. Batuli ulijitolea kwa nguvu na mali ktk video yng ya nampenda yy […]

 

11 years ago

CloudsFM

LINAH KUACHIA NGOMA YAKE YA KIZAIZAI 'EXCLUSIVE' KWENYE RADIO STATION ZA AFRIKA KUSINI.

Msanii wa Bongo Fleva,Linah Sangah’Lina’ kwa wakati huu yuko nchini Afrika Kusini karibu wiki ya tatu sasa akifanya shughuli za kimuziki pande hizo.Msanii huyo akiwa nchini humo atarekodi ngoma na producer mkubwa wa nchini humo Oskido, atashuti video. Aidha Lina ataiachia ngoma yake mpya kesho katika vituo vya radio karibu vyote vikubwa vya nchini humo pamoja na kufanya interviews.

 

10 years ago

Vijimambo

Diamond akimtaja Zari kwenye wimbo wa Mr Blue 'Pesa'

Sikiliza Diamond akimsifia mpenzi wake Zari jittiririshe hapa chini kwenye soma zaidi

 

9 years ago

Bongo5

Vanessa Mdee hujiskiaje akimuona Jux ‘akimbusu’ msichana mwingine kwenye video? Hili ndio jibu lake!

12230886_926044967480796_2021833105_n

Ukiwa girlfriend wa mwanamuziki inabidi uliondoe neno ‘wivu’ kwenye kamusi yako kichwani!

12230886_926044967480796_2021833105_n

Ni kwasababu bila hivyo utaishia kuwa mgonjwa wa vidonda vya tumbo.

Jux ana bahati ya kuwa na girlfriend anayeelewa kuwa muziki ni kazi na wakati mwingine unatakiwa kufanya kile mtu wa kawaida hawezi kufanya.

Vanessa Mdee amepost picha ya Jux ya kile kinachoonekana kama video yake ijayo na wimbo ‘One More Night’ na kuandika sentesi inayomaanisha kuwa pale mpenzi wake anapoonesha kuwapenda wasichana...

 

9 years ago

Bongo5

Wema Sepetu adata na wimbo mpya wa Diamond (Video)

wpid-wema-akiwa-pembeni-kumsupport-diamond1.jpg

Ameachana na Diamond lakini Wema Sepetu bado ni shabiki mkubwa wa nyimbo za ex wako huyo.

Malkia huyo wa filamu, amedhihirisha kuwa hana kinyongo na Diamond baada ya kuonekana akiimba wimbo mpya wa msanii huyo, Utanipenda!

Muigizaji huyo aliwahi kunukuliwa akisema ingawa ameachana na Diamond bado ataendelea kupenda muziki wake.

Video yake inayomuonesha akiuimba wimbo huu ilisambaa kutoka kwenye mtandao wa Snapchat.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,...

 

9 years ago

Bongo5

Video: Diamond atease wimbo mpya wa Tekno wa Nigeria, je ni collabo?

tekno-miles-1

Mkali wa ‘Duro’ Tekno Miles kutoka Nigeria anatarajia kuachia wimbo mpya wiki ijayo, baada ya kufanya vizuri na single ya ‘Duro’ ambayo imeshika chati mbalimbali za Afrika.

tekno-miles-1

Mshindi wa tuzo 3 za Afrima 2015, Diamond ambaye yuko Nigeria alikoenda kwenye tuzo hizo, amewaonjesha mashabiki kupitia akaunti yake ya Instagram kionjo cha wimbo huo. Platnumz amepost video aliyojirekodi akiwa na Tekno kwenye gari yake wakisikiliza wimbo huo huku Tekno akiimba.

“Forget About DURO… we are about to...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani