Hii Ndio Sababu Kipindi cha TV cha Rose Ndauka Kuota Mbawa
Staa wa Bongo Movies, Rose Ndauka ambaye miaka miwili iliyopita alianzisha kipindi chake cha TV kilichopewa jina la ‘Family Talk Show’. Kupitia kampuni yake, muigizaji huyo alianza kurekodi episodes kadhaa za show hiyo ili zianze kuruka kwenye TV.
Hata hivyo kipindi hicho hakijawahi kuonekana na ni kama kiliishia hewani. “Kipindi changu.. niliibiwa vitu vyote ofisini lakini ndoto yangu ya utangazaji iko pale pale,” Hivi majuzi Rose aliiambia Kabali ya EFM.
Mwanzoni mwa mwaka 2013, Rose...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLALIYEKUWA MCHUMBA WA ROSE NDAUKA, MALICK BANDAWE ATEMBELEA GPL, AFUNGUKA KISA CHA KUACHANA NA ROSE
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/hjd0sHy2UdQ/default.jpg)
11 years ago
MichuziASKOFU SIXBERT PAUL WA KANISA LA VICTORIOUS KUTUNUKIA SHAHADA LA UDAKTARI YA HUDUMA JUMAPILI HII; ROSE MUHANDO NAYE KUPATA CHETI CHA HESHIMA CHA UIMBAJI
Na Mwandishi wetu, Moshi
CHUO kikuu cha Africa, African Graduate University, Chenye makao yake nchini, Sierra Leone kinatarajia kumtunuku shahada ya udaktari ya huduma,...
10 years ago
Bongo Movies21 Dec
ROSE NDAUKA:Nampenda Mwangu, Yeye Ndio Mchizi Wangu!!
Mrembo na muigizaji wa filamu , Rose Ndauke ambae ni mama wa mtoto mmoja , ameleza kwajinsi gani anavyo mpenda mtoto wake na humfanya awe na furaha wakati wote japokuwa anamlea mtoto peke yake kama “single mother” baada ya kuachana na aliekuwa mchumba wake ambae ndio baba wamtoto huyo.
Akionakana mwenye tabasamu pana akiwa amembeba mtoto wake rose alisema;
“Sasa nikiwa nae nachekaje mpaka jino mwisho nakupenda mwanangu na ndio mchizi wanguuuuu”
Jionee baadhi ya picha hapo juu akiwa maeneo...
10 years ago
Bongo Movies16 Mar
Picha: Rose Ndauka Akiwa na Rozzie Family Watembelea Kituo cha Watoto Wenye Changamoto za Kimaisha
Mrembo na staa wa Bongo Movies, Rose Ndauka siku ya jana akiwa paomja na team yake ya Rozzie ambao ni watoaji wa jarida la kila wiki la Rozzie walitembelea kituo kimoja cha kulelea watoto wenye changamoto mbali mbali hapa jiji Dar es salaam, mbali na kutoa msaada mbali mbali, Rose na team yake walishiriki michezo mbali mbali na watoto hao.
“Si kitu kibaya kutenga muda wa kuwafariji wenzetu wenye matatizo, Jumapili ya jana ilikuwa nzuri sana kwa upande wetu tuliweza kuwakilisha vizuri tu na...
10 years ago
Bongo Movies17 Dec
Nyuma ya Kamera: KALEKWA Ndio Jina la Movie Mpya ya Richie na Rose Ndauka
Hizi ni baadhi ya picha za nyuma ya kamera zilizopiga wakiwa ON SET kwenye utengenezaji wa filamu mpya itakayoitwa KALEKWA, inayofanyika chini ya kampuni ya Bulls Entertainment.
Movie hii mpya itawajumisha waigizaji wakali wengi wakiwemo Single matambalike “Richie”ambae ndio mwongozaji wa filamu hii na pia ni mkurugenzi wa kampuni ya Bulls Entertainment na mwanadada Rose Ndauka amabao kwa pamoja wamekuwa wakitoa vitu vikali sana.
Tunaisubiri kwa hamu!!!.
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-g8Pcwf5OgxU/U288bmIru8I/AAAAAAAAYFM/EbLLH3fGX4Y/s72-c/TMT+TVP.jpg)
10 years ago
VijimamboMazungumzo na mtangazaji Rose Chitallah kwenye kipindi cha JUKWAA LANGU
Katika kipindi hiki utasikia mahojiano yetu na watu mbalimbali kuhusu DEMOKRASIA kuelekea uchaguzi nchini Tanzania
Katika kipindi cha wiki hii tumebahatika kuungana na mtangazaji Rose Chitallah
Karibu
9 years ago
Bongo512 Oct
Amber Rose na Blac Chyna wadaiwa kusitisha mpango wa kuanzisha kipindi chao cha Tv