Mazungumzo Sudan Kusini yagonga mwamba
Mazungumzo ya kutatua mzozo unaokumba Sudan Kusini yamegonga mwamba, saa kadhaa kabla ya UN kuwawekea makataa wanaohusika.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi24 Feb
Nyongeza ya posho yagonga mwamba
>Madai ya Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba kutaka nyongeza ya posho ya vikao vya Bunge hilo yamegonga mwamba, Mwananchi limebaini.
9 years ago
BBCSwahili19 Nov
Rufaa ya Blatter ,Platini yagonga mwamba
Rufaa ya aliyekuwa Rais wa Fifa,Sepp Blatter na raisi wa Uefa Michel Platini zakataliwa
11 years ago
Mwananchi12 Feb
BFT yagonga mwamba kwa Daba
>Uongozi wa Shirikisho la Ngumi za Ridhaa (BFT) umegonga mwamba adhima yake ya kuuondoa madarakani uongozi wa Chama cha Ngumi Mkoa wa Dar es Salaam (Daba).
11 years ago
BBCSwahili31 Dec
Sudan Kusini wakubali mazungumzo
Waasi nchini Sudan Kusini wamekubali kuingia katika mazungumzo ya amani baada ya kuuteka tena mji wa Bor
11 years ago
BBCSwahili04 Jan
Mazungumzo ya Sudan Kusini yakwama
Matumaini ya kupatikana kwa amani Sudan Kusini yameingia mashakani baada ya mazungumzo ya uso kwa uso ya pande zinazopingana yaliyokuwa yakitarajiwa kufanyika nchini Ethiopia kuchelewa.
10 years ago
Habarileo25 Dec
Mazungumzo ya amani Sudan Kusini yamalizika
MAZUNGUMZO ya vikundi vinavyopingana ndani ya chama cha SPLM cha Sudan Kusini, chini ya usuluhishi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) yamemaliza awamu ya pili ya mazungumzo hayo.
10 years ago
BBCSwahili23 Jan
Mazungumzo ya amani ya Sudan Kusini yaanza
Harakati za kupata suluhisho la kudumu la mgogoro wa Sudan Kusini zimeanza mjini Arusha.
10 years ago
BBCSwahili06 Aug
Sudan Kusini:Mazungumzo ya amani yaanza
Mazungumzo mapya yanayolenga kumaliza mgogoro wa wenyewe kwa wenyewe wa miezi 19 Sudan Kusini yameanza katika mji mkuu wa Ethiopia Addis Ababa.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania