MBARONI KWA MAPENZI YA JINSIA MOJA

Makongoro Oging’ na Haruni Sanchawa/Uwazi DUNIA imekwisha! Wasichana wawili warembo, Maua Sadick (24), mkazi wa Stakishari, Ukonga wilayani Ilala na Lucy Fred (23), mkazi wa Karakata jijini Dar es Salaam, wanashikiliwa katika Kituo cha Polisi Stakishari, Ukonga, Dar kwa kesi yenye jalada STK/RB/463/2015 wakidaiwa kufanya mapenzi ya jinsia moja.… ...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili08 Apr
Jela kwa mapenzi ya jinsia moja Misri
10 years ago
GPL
WALIONASWA KWA MAPENZI YA JINSIA MOJA KUMBE WALIOANA
11 years ago
BBCSwahili24 Feb
Mapenzi ya jinsia moja haramu Uganda
10 years ago
BBCSwahili15 Apr
Balozi wa mapenzi ya jinsia moja Vatican
10 years ago
GPL
MSUMBIJI YAHALALISHA MAPENZI YA JINSIA MOJA
10 years ago
BBCSwahili02 Jul
Msumbiji yakubali mapenzi ya jinsia moja
10 years ago
BBCSwahili10 Feb
Mapenzi ya jinsia moja yamponza Anwar
10 years ago
Vijimambo10 Feb
MAPENZI YA JINSIA MOJA ANWAR, KIONGOZI WA UPINZANI MALAYSIA

Hatima ya kiongozi wa upinzani nchini Malaysia Anwar Ibrahim ni mwezi march mwaka huu iwapo atafungwa jela ama kuwa huru dhidi ya mashtaka yake ya kufanya mapenzi ya jinsia moja.
Mahakama kuu ya Malaysia inatarajiwa kupitia rufani ya Anwar aliyekutwa na makosa ya kufanya mapenzi na msaidizi wake wa kiume mwaka 2008.
Hata hivyo Anwar mwenyewe anasema kuwa mashtaka haya dhidi yake ni sehemu ya kampeni za kisiasa kutaka kumpunguzia hadi yake zinazofanywa na chama tawala cha...
11 years ago
BBCSwahili25 Feb
Onyo kwa wapenzi wa jinsia moja UG