Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MBASHA: GWAJIMA NIACHIE MKE WANGU

Na Makongoro Going’
MUME wa mwimba Injili Bongo, Flora Mbasha anayedaiwa kumbaka binti wa miaka 17 (jina lipo), Emmanuel Mbasha ameibuka mzimamzima na kumtaka Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la Uzima na Ufufuo la jijini Dar, Josephat  Gwajima amuachie mke wake, yaani Flora. Flora Mbasha akiwa na mumewe Emmanuel Mbasha kwenye pozi la kimahaba. Akizungumza kwa machungu kwa njia ya simu kutokea alikojihifadhi huku...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

MKE: WOLPER NIACHIE MUME WANGU!

Musa Mateja na Imelda Mtema KIMENUKA! Siku chache baada ya kumwanika mchumba’ke, raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ambaye tayari amemvisha pete ya uchumba, mambo yamekuwa siyo mambo kwa staa wa filamu za Kibongo, Jacqueline Wolper Massawe kutokana na mke wa jamaa huyo kuibuka na kumtaka amwachie mumewe. Chanzo makini kimelieleza Ijumaa Wikienda kwamba, baada ya habari na picha za Wolper na Mkongomani huyo kuripotiwa...

 

10 years ago

GPL

MKE: KAJALA NIACHIE MUME WANGU!

Na Hamida Hassan/Amani
WAKATI diva wa filamu Bongo, Kajala Masanja ‘Kay’ akielezwa kuwa mambo yake hivi sasa yako kwenye mstari kwa kusajili kampuni yake ya mambo ya sinema, mwanamke aliyejitambulisha kwa jina moja la Pamela ameibuka na kumtaka muigizaji huyo kuacha kumfuata mume wake, Amani lina data kamili. Diva wa filamu Bongo, Kajala Masanja ‘Kay’. Mwanamama huyo, anayefanya kazi...

 

10 years ago

Bongo5

Mabeste: Huu ndo ukweli wa kuugua kwa mke wangu! Na aliyejaribu kumuua mke wangu na mtoto!

Rapper Mabeste ameshare kile alichoita “ukweli wa kuuguwa kwa mke wangu! Na aliyejaribu kumuua mke wangu na mtoto!” Mabeste akiwa na mke wake Lisa na mtoto wao Kendrick Hivi karibuni rapper huyo alielezea kwa kirefu jinsi mke wake Lisa Karl Fickenscher alivyougua kwa muda mrefu mara baada ya kujifungua mtoto wao Kendrick, kiasi cha kufikiri […]

 

9 years ago

Bongo5

Mama wa Mtoto wangu wa nne ndiye atakuja kuwa mke wangu – Nay Wa Mitego

Chagga-na-Nay

Nay Wa Mitego ni staa ambaye miezi michache iliyopita alikuwa hakosekani kwenye ‘headlines’ kutokana na uhusiano wa kimapenzi na muigizaji wa Bongo movie, Shamsa Ford uliokuwa ukifatiliwa sana na mashabiki wao.

nay-na-shamsha

Uhusiano wa Nay na Shamsa ambao kwa mujibu wa Nay ulidumu kwa takribani miezi mitano, ulizaliwa muda mfupi baada ya Nay kuachana na mama wa mtoto wake wa tatu Curtis, Siwema ambaye baada ya kujifungua mtoto huyo waliachana na Nay kumchukua mwanaye.

Chagga-na-Nay
Chagga Barbie na Nay Wa Mitego

Siku...

 

11 years ago

GPL

MBASHA AMSHITAKI GWAJIMA

stori: Waandishi Wetu Mambo juu ya mambo! mvumo mkali wenye kuogofya unaendelea kutamalaki katika ndoa ya wanamuziki zao la upako wa Injili Bongo, Emmanuel na Flora Mbasha, safari hii ‘topiki’ siyo zile tuhuma za ubakaji zilizopo mahakamani. Wanamuziki zao la upako wa Injili Bongo, Emmanuel na Flora Mbasha, Mbeba ‘niuzi’ wa awamu hii ni Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima,...

 

10 years ago

Mtanzania

Gwajima, Flora Mbasha wafunguka

gwajima2flora_mbasha3_1Elias Msuya na Fredy Azzah, Dar es Salaam
SIKU chache baada ya picha za mtoto mchanga kusambazwa katika mitandao ya kijamii na kudai kuwa ni za mtoto wa mwimbaji wa nyimbo za Injili nchini, Flora Mbasha kuwa amezaa na Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima hatimaye wawili hao wamefunguka.
Hatua hiyo imekuja miezi saba tangu wawili hao walipoingia katika mgogoro wa ndoa yao hali iliyosababisha mume wa Flora, Emmanuel Mbasha kufikishwa mahakamani kwa kosa la...

 

9 years ago

GPL

MBASHA, GWAJIMA KIMENUKA UPYA!

Brighton Masalu NI kweli kimenuka! Siku chache baada ya Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima kujibu mapigo ya aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Wilbrod Slaa, sasa kimenuka upya, Risasi Jumamosi linakupa zaidi!.....Soma zaidi====>http://goo.gl/cp3DkP

 

10 years ago

GPL

MBASHA: GWAJIMA MUNGU AMENILIPIA

LICHA ya Mchungaji wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima kukanusha mara zote kwamba, hahusiki na kusambaratika kwa ndoa ya Mwimba Injili Flora Mbasha na mumewe, Emmanuel Mbasha, lakini mume huyo ambaye amekuwa akimshutumu Gwajima ameibuka na jipya, Amani linakupa zaidi. Mwimba Injili Flora Mbasha na mumewe, Emmanuel Mbasha Jipya aliloibuka nalo Mbasha ni kudai kuwa, msala uliompata Mchungaji Gwajima wa kumtolea maneno...

 

10 years ago

Vijimambo

MCHUNGAJI GWAJIMA ADAI MTOTO ALIEJIFUNGUA FLORA MBASHA SIYO WAKE


Huyu ndiyo mtoto alie jifungua Flora Mbasha, mchungaji Gwajima aruka kimanga na kukana kuwa mtoto huyu siyo wake na kusema kuwa (It doesn't hold water) akiwa na maana haina mashiko. Mbasha nae alivyoulizwa juu ya mtoto huyu majibu yake aliyajibu kwa kutuma ujumbe wa wimbo huu wa injili hadi sasa watu wanashindwa kupata ukweli  wa nani baba wa mtoto huyu lakini mwenye majibu ya  maswali yote ni mwenyewe Flora Mbasha. Jitiririshe na wimbo wa Emmanuel Mbasha hapa chini kama majibu ya wale wote...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani