Mbeya City yateleza Khartoum
>Wawakilishi wa Tanzania Bara kwenye michuano ya Nile Basin, Mbeya City imekubali kipigo cha mabao 2-1 kutoka kwa AFC Leopard ya Kenya inayoendelea kwenye Uwanja wa Khartoum, Sudan.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/zbcSW1D04avzhEoUjpCw-HS579DXn1G8f34OWQZ74OVPNhY*EifLAfoL5DqwYEnVSA3Kto*WjiCcOvCEJG6*nyttvLmrZNgY/AZAMFC2.jpg?width=650)
AZAM FC WAKIPASHA MISULI KABLA YA KUWAKABILI MBEYA CITY JIJINI MBEYA
Wachezaji wa Azam FC wakipasha misuli ndani ya Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya muda mfupi kabla ya kukwaana na Mbeya City leo. (PICHA NA…
9 years ago
MichuziMBEYA CITY YABUGIZA JKT RUVU GOLI 3-0 MJINI MBEYA
11 years ago
Michuzi11 Feb
MBEYA CITY NA MTIBWA ZAINGIZA MILIONI 25.6 uwanja wa sokoine, mbeya
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/GrESGA1Ckwh9FsBqvLGfGjQr90V5WmqBhXAwZVAC9zmNE2EAzcv0yOWLMXpKiw7oOKjRjBh*eMF3banQPSa*ypG7*3*P3Jo6/1.jpg?width=650)
WAKAZI WA MBEYA WACHANGAMKIA JEZI ZA MBEYA CITY
Wakazi wa Mbeya wakichangamkia jezi za Mbeya City. Mkazi wa Mbeya akiwa ndani ya jezi Hali ya jiji la Mbeya leo…
10 years ago
Michuzi18 Jan
ligi kuu ya vodacom yazidi kurindima, kagera city hoi kwa mbeya city, yanga yabanwa na ruvu shooting, azam na simba kidedea
Picha na habari na Faustine RuttaLigi Kuu ya Vodacom imeendelea Jumamosi kwa Mechi kadhaa na Mabingwa Watetezi Azam FC kushinda huko Shinyanga na kutwaa uongozi wa Ligi toka kwa Mtibwa Sugar ambao wanacheza leo, huku Yanga wakiteleza kutwaa uongozi huo baada ya kubanwa na Ruvu Shooting kwa Sare ya 0-0 Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.
Yanga walistahili ushindi lakini walishindwa kufunga wakati walipata nafasi za wazi kibao.
Huko Kambarage, Shinyanga, Azam FC wameifunga Stand United Bao 1-0 kwa...
Yanga walistahili ushindi lakini walishindwa kufunga wakati walipata nafasi za wazi kibao.
Huko Kambarage, Shinyanga, Azam FC wameifunga Stand United Bao 1-0 kwa...
11 years ago
Mwananchi23 Apr
Mishahara Mbeya City
Baada ya kumalizika kwa Ligi Kuu Bara huku Mbeya City ikionyesha ushindani wa hali ya juu kwa timu kongwe kwenye ligi hiyo, wamiliki wa timu hiyo ambao ni Halmashauri ya Jiji la Mbeya wamewatangazia donge nono la mshahara kwa wachezaji na benchi la ufundi katika msimu ujao wa ligi hiyo.
11 years ago
Mwananchi27 Dec
Mbeya City yajiandaa
Kikosi cha timu ya Mbeya City kinaingia kambini leo kujiandaa na michuani ya Kombe la Mapinduzi itakayoanza Januari mosi hadi Januari 13, Zanzibar.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania