Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mbeya waalikwa maadhimisho ya Mei Mosi

Wafanyabiashara mkoani mkoani hapa wamealikwa kwenda wilayani Kyela kushiriki maonyesho ya Siku Kuu ya Wafanyakazi yatakayofanyika kwenye viwanja vya Mwakangale kuanzia Aprili 28 hadi Aprili 30.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

MAADHIMISHO YA MEI MOSI MKOANI DODOMA YAFANA SANA

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma,Dkt Rehema Nchimbi jana aliongoza mamia ya wafanyakazi wa Mkoa wake katika kusheherekea siku ya wafanyakazi Duniani inayoadhimisha kila ifikapo tarehe 1 Mei. Wafanyakazi hao kutoka Serikali kuu,Taasisi mbalimbali za Umma ,Serikali za mitaa Pamoja na sekta binafsi wamejitokeza kwa wingi na kusheherekea sikukuu ya wafanyakazi Duniani ambayo imesheherekewa kimkoa katika uwanja wa Jamhuri Mkoa wa Dodoma. Wakiongozwa na viongozi wao wa vyama vya wafanyakazi walioalanza kwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

MAADHIMISHO YA MEI MOSI: Ofisa Ikulu afia uwanjani

MAADHIMISHO ya sherehe za Siku ya Wafanyakazi (Mei Mosi) ambayo kitaifa yalifanyika katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam jana, yameingia dosari baada ya ofisa wa Ikulu, Rashid John...

 

11 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete aongoza maadhimisho ya Mei Mosi jijini Dar

m1

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipungia mkono waandamanaji aliowapokea katika kilele cha Siku ya Wafanyakazi Duniani (MEI MOSI) leo Mei 1, 2014 katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

m3

Akiwa mwingi wa furaha, Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea waandamanaji katika kilele cha Siku ya Wafanyakazi Duniani (MEI MOSI) leo Mei 1, 2014 katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. 

m5

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa kashikana mikono na viongozi wa serikali na wa Shirikisho la Vyama vya...

 

10 years ago

Michuzi

Ofisi ya Rais-Utumishi iliposhiriki Maadhimisho Mei mosi 2015 jijini Dar

Wafanyakazi wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma katika maandamano ya kuadhimisha Siku ya Mfanyakazi Duniani Meimosi, 2015 yaliyofanyika kimkoa jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya Wafanyakazi wa Ofisi ya Rais-Utumishi wakitoa salamu kwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya Siku ya Mfanyakazi Duniani Meimosi, 2015 yaliyofanyika kimkoa Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.
Wafanyakazi wa Ofisi ya Rais-Utumishi wakiimba wimbo wa mshikamano katika maadhimisho ya Siku ya Mfanyakazi...

 

9 years ago

GPL

HOTUBA YA MWALIMU NYERERE SIKU YA MEI MOSI 1995 MBEYA

Baba wa Taifa, Mwalimu Julius K. Nyerere enzi za uhai wake. HOTUBA YA MWALIMU NYERERE SIKU YA MEI MOSI 1995 MBEYA. TUMETOKA WAPI, TUKO WAPI, TUNAKWENDA WAPI NA TUFANYE NINI ILI TUFIKE TUNAKOTAKA! Hotuba ya Mwalimu Julius K. Nyerere aliyoitoa wakati wa kilele cha Sikukuu ya Wafanyakazi Duniani, Mbeya Mei 1, 1995. Mwalimu Nyerere alialikwa kuwa Mgeni Rasmi kwenye kilele cha Sikukuu ya Wafanyakazi Duniani iliyofanyika...

 

10 years ago

Habarileo

Bomu lajeruhi 5 mei mosi

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Morogoro, Leonard Paulo.WATU watano akiwemo dereva wa gari linalotumiwa na Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Kilombero, David Ligazio ,Novatus Ngope (47), wamejeruhiwa vibaya na shambulio la kitu kinachodhaniwa ni bomu la kutupwa na mkono kutoka kwa watu wawili wasiofahamika walipokuwa kwenye sherehe za Siku ya Wafanyakazi Duniani juzi.

 

11 years ago

Mwananchi

Kalama ajipanga Mei Mosi

Bondia Kalama Nyilawila amesaini mkataba kwa ajili ya kupanda ulingoni Mei Mosi kumkabili mshindi baina ya Thomas Mashali na Japhet Kaseba.

 

11 years ago

GPL

LEO MEI MOSI JK KUHUTUBIA

RAIS Jakaya Kikwete (pichani) anatarajiwa kuwa mgeni rasmi na kuhutubia katika sherehe za wafanyakazi, Mei Mosi zitakazofanyika leo jijini Dar es Salaam. Kaimu Katibu Mkuu wa Shirikisho la Wafanyakazi Tanzania (TUCTA), Hezron Kaaya mapema wiki hii aliwaambia wanahabari kuwa maadhimisho ya Sikukuu ya Mei Mosi mwaka huu yatafanyika kitaifa katika Uwanja wa Uhuru mkoani Dar es Salaam. “Katika kikao chetu na Rais Kikwete...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani