Mbowe abanwa Polisi kwa saa 4
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, jana alitii amri ya kuripoti Makao Makuu ya Jeshi la Polisi, Dar es Salaam, alikohojiwa kwa saa 4 na dakika 18, huku akiongozana na jopo la mawakili sita.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Uhuru Newspaper.jpg)
Slaa abanwa kwa saa tano
Ni unyama aliofanyiwa Kagenzi na madai ya kutaka kudhuriwa
NA MWANDISHI WETU
.jpg)
Hivi karibuni, Dk. Slaa kupitia kwa mmoja wa viongozi wa CHADEMA, Mabere Marando, alidai kuwepo kwa mpango wa kumdhuru, ambao unaratibiwa na maofisa usalama kwa kushirikiana na baadhi ya...
10 years ago
Habarileo12 Mar
Mbowe ashangaa kebehi zinazotolewa kwa Polisi
MWENYEKITI wa taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe ameshangaa kusikia maneno kutoka kwa baadhi ya viongozi ndani ya chama chake yenye mwelekeo wa kukebehi na kudharau jeshi la polisi na kuwataka wasihukumiwe vibaya, kwani wamepewa dhamana ya kulinda watu na mali zao.
10 years ago
Mwananchi11 Nov
Polisi yawatawanya wafuasi wa Mbowe kwa mabomu
10 years ago
Mtanzania13 Mar
Dk. Slaa ahojiwa kwa saa sita Polisi
Aziza Masoud na Asifiwe George, Dar es Salaam
JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam jana lilimuhoji Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk.Willibrod Slaa, kwa zaidi ya saa sita kuhusiana na tuhuma za mauaji dhidi yake.
Hilo limetokea siku moja baada ya mlinzi binafsi wa Dk. Slaa, Khalid Kagenzi, kueleza jinsi alivyoteswa na walinzi wa Chadema na hata kumuhusisha na tishio la mauaji ya kiongozi huyo.
Dk.Slaa alihojiwa katika Kituo Kikuu cha Polisi Dar es...
11 years ago
Mwananchi12 Apr
Wakenya wakanusha kupambana na polisi kwa saa sita
10 years ago
Vijimambo31 Mar
Mke wa Slaa ahojiwa polisi kwa saa tatu.

Mke wa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa, Josephine Mushumbusi, jana alitoa ushahidi katika Kituo Kikuu cha Polisi jijini Dar es Salaam, kuhusiana na tuhuma zinazomkabili Khalid Kagenzi, za kutaka kumdhuru mumewe.
Kutokana na hatua hiyo ya Mushumbusi, Dk. Slaa alisema tayari wamefunga ushahidi kwa upande wake. Mushumbusi ambaye aliongozana na mumewe, Dk. Slaa walifika katika kituo hicho saa 4:00...
11 years ago
Michuzi
FREEMAN MBOWE AFIKA MAKAO MAKUU YA JESHI LA POLISI KWA MAHOJIANO

11 years ago
MichuziMBOWE ASHIKILIWA KWA MUDA NA JESHI LA POLISI IRINGA, AACHIWA KWA KOSA LA KUZIDISHA MUDA KWENYE MKUTANO WAO WA HADHARA.
11 years ago
Michuzi
MWENYEKITI WA CHADEMA,FREEMAN MBOWE AFIKA MAKAO MAKUU YA JESHI LA POLISI KWA MAHOJIANO LEO

