Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mbunge- Waziri atafute kazi nyingine

MBUNGE wa Mwibara, Kangi Lugola (CCM) amesema haiingii akilini kuona Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika kuendelea kuwa madarakani licha ya kushindwa kusimamia maeneo muhimu ya kilimo kama wakulima kupelekewa mbegu na mbolea bandia.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Hii ni kazi nyingine inayomuingiza mkwanja Jay Moe

1390049_1490632847895369_3642028_n

Usipomsikia Jay Moe kwenye redio usidhani hayuko busy kutafuta mkwanja.

1390049_1490632847895369_3642028_n

Akizungumza na Planet Bongo ya EA Radio, Jay Moe alisema anajihusisha na masuala ya ujenzi.

“Fursa ziko nyingi ukiwa mtu fulani mashuhuri kwahiyo unaweza ukapata nafasi nyingi na unaweza ukazichagamkia kupitia celebrity status,” alisema.

“Mimi najihusisha na masuala ya ujenzi, kuinvest kwenye ardhi zaidi, kwahiyo napata pesa kwaajili hiyo.”

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na...

 

10 years ago

Michuzi

Kanusho Kutoka Ofisi ya Mbunge na Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa Kuhusu Uvumi Uliozagaa Kwenye Mitandao Mbalimbali ya Kijamii Kuwa Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli Edward Lowassa Kulazwa nchini Ujerumani.

 Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli Mhe Edward LowassaMsemaji wa Waziri Mkuu Mstaafu  Mhe. Edward Lowassa,  Bw. Aboubakary Liongo---- Ofisi ya mbunge na Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, jana ilikanusha vikali uvumi uliozagaa kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii kuwa mbunge huyo wa Monduli amelazwa nchini Ujerumani.

Taarifa zilizoenea zinaeleza kuwa Lowassa, ambaye wakati wote wa Mkutano wa 15/16 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano uliofanyika kwa wiki tatu, hakuwepo bungeni, amekuwa...

 

11 years ago

Michuzi

ndege nyingine ya atc yatua dar es salaam, kuanza kazi kesho

 ndege nyingine ya air tanzania aina ya  CRJ-200 ER yenye  uwezo wa kubeba abiria 50 imeingia usiku wa kuamkia leo jijini Dar es salaam. Kwa mujibu wa taarifa toka shirika hilo  ndege hiyo itaanza  kuruka kesho.

 

11 years ago

Habarileo

Waziri atamani Tanesco nyingine

WAZIRI wa Maji, Profesa Jumanne Maghembe, ameelezea kukerwa na Shirika la Umeme (Tanesco), kwa kushindwa kufikisha umeme vijijini na kusababisha miradi ya maji kusuasua. “Tungekuwa na mashirika mengine ya umeme tungewafungia maji haraka, lakini kwa vile ni Tanesco peke yake, sasa wananchi hawana maji … Tanesco ukiritimba umezidi,” alisema Profesa Maghembe.

 

10 years ago

GPL

SERIKALI YAMRUDISHA MADENI KIPANDE IDARA KUU YA UTUMISHI KUPANGIWA KAZI NYINGINE

Aliyekuwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari Ndugu Madeni Kipande. Itakumbukwa mnamo tarehe 16 Februari, 2015 Waziri wa Uchukuzi Mh.Samuel Sitta (Mb.),alimsimamisha kazi kwa muda Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari Ndugu Madeni Kipande ili kupisha Uchunguzi wa tuhuma mbalimbali dhidi yake. Tume aliyoiteua Mheshimiwa Waziri kuchunguza suala hili,ilikamilisha kazi yake mnamo tarehe 20 Machi ,2015 na kumkabidhi...

 

11 years ago

GPL

NAIBU WAZIRI WA KAZI DK MAKONGORO MAHANGA AFUNGUA KONGAMANO LA AFYA NA USALAMA KATIKA MATUMIZI YA KEMIKALI SEHEMU ZA KAZI NDOGO‏

Washiriki wakijiandikisha nje ya ukumbi kabla ya kuanza kwa kongamano la afya na usalama katika matumizi ya kemikali sehemu za kazi. Zoezi la uandikishaji na uhakiki wa majina ya washiriki wa kongamano ukiendelea.…

 

10 years ago

Michuzi

MBUNGE FILIKUNJOMBE AKIPIGA KAZI LUDEWA

 Mbunge wa Jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe akishirikiana na Wapigakura wake kushusha rola la Nyaya za umeme kwenye kijiji cha Luhana kata ya Luana wilayani Ludewa  jana kwa ajili ya mradi wa umeme  vijijini ambapo kijiji hicho pia kinatarajiwa kupata umeme  hivi karibuni. Mbunge jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe akishirikiana na wapiga kura wake kushusha Transfoma jana kwa ajili ya kufungwa kwenye mradi wa umeme unaotekelezwa kwenye  kijiji cha Luana wilayani Ludewa mkoani Njombe. 

 

9 years ago

Habarileo

Mbunge awataka wananchi kuacha siasa, wachape kazi

MBUNGE wa Manonga, Seif Gulamali, amewataka watumishi wa serikali katika jimbo hilo kutojihusisha na siasa na badala yake wawahudumie wananchi kutokana na maadili ya kazi zao.

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI WA KILIMO NA WAZIRI WA VIWANDA WAONGOZA KIKAO KAZI KUJADILI UFUNGAMANISHAJI SEKTA YA KILIMO NA MIKAKATI YA KUTAFUTA MASOKO

Waziri wa Viwanda na Bishara Mhe Innocent Nashungwa (Kulia) akisisitiza jambo wakati wa kikao kazi cha kujadili namna ya kufungamanisha uchumi wa Kilimo na Viwanda Jijini Dodoma, leo tarehe 1 Aprili 2020.Mshauri wa masuala ya Maendeleo ya Viwanda vya Kilimo wa Taasisi ya kuendeleza Kilimo Afrika (AGRA) Ndg Peniel Lyimo akichangia mada wakati wa kikao kazi kilichoongozwa na Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga na Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe Innocent Bashungwa cha kujadili namna...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani