Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mbunge aongoza wananchi kujigawia ardhi Arusha

Joshua Nassari MBUNGE wa Jimbo la Arumeru Mashariki, Joshua Nassari juzi aliongoza wapiga kura wake kugawa shamba linalomilikiwa na Chama cha Ushirika mkoani Arusha (ACU), akisema amechoka kuona wananchi wake wakisotea ardhi ilhali kuna maeneo hayaendelezwi.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

DKT. BILAL AONGOZA WANANCHI KWENYE MAZISHI YA MBUNGE WA JIMBO LA UKONGA MAREHEMU EUGENE MWAIPOSA

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisaini kitabu cha kumbukumbu kufuatia kifo cha Mbunge wa Ukonga Marehemu Eugene Maiposa kabla ya mazishi yake yaliyofanyika leo Juni 06, 2015 nyumbani kwake Ukonga Dar es salaam. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitoa heshima ya mwisho kwenye Jeneza lenye Mwili wa aliyekua Mbunge wa Ukonga Marehemu Eugene Mwaiposa aliyefariki Ghafla nyumbani kwake Dodoma...

 

10 years ago

Vijimambo

MBUNGE MH. JOSHUA NASARI AONGOZA MAZISHI YA ALIYEKUWA MWANAFUNZI WA IFM EMMANUEL P. PALLANGYO ,SING'ISI MERU ARUSHA.

Mbunge wa Arumeru Mashariki Mh. Joshua Nasary akitoa salamu za Pole kwa wafiwa wote wakati wa mazishi ya Marehemu Emmanuel Pendael Pallangyo aliyefariki Tarehe 7.02.2015 na kuzikwa kijijini kwao Sing'isi Meru tarehe 12.02.2015 .Wa kwanza kulia ni Mbunge wa Arumeru Mashariki Mh.  Joshua Nasary akiwa na kwenye msiba wa Marehemu Emmanuel Pallangyo ambaye alikuwa ni Mwanafunzi wa IFM nyumbani kwao Sing'isi Meru.Mmoja wa wanafamilia akisoma Wasifu wa Marehemu Emannuel Pendael PallangyoMsaidizi...

 

5 years ago

CCM Blog

LUKUVI AWATAKA WATENDAJI IDARA ZA ARDHI KUPIMIA WANANCHI ARDHI

IMG_20200624_122816Waziri wa Ardhi Wiliam Lukuvi akiwasili kwenye uzinduzi wa Ofisi ya Ardhi mkoa wa Arusha mapema leo akiwa maeongozana na mkuu wa mkoa wa Arusha Idd Kimanta pamoja na katibu tawala mkoa wa Arusha Richard Kwitega nyuma wakiwa na mkuu wa wilaya ya Monduli Edward Balele picha na Ahmed Mahmoud Arusha.
Na Ahmed Mahmoud Arusha

WAZIRI wa Ardhi Nyumba na Makazi, William Lukuvi amewataka maafisa ardhi kuwapa hati Mara moja watu wote waliopimiwa viwanja ili idadi iliyo kwenye michoro iwe na hati kwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Rais Kikwete aongoza mazishi ya mbunge

RAIS Jakaya Kikwete ameongoza mamia ya wakazi wa Chalinze, Pwani kwenye mazishi ya mbunge wao, Said Bwanamdogo, aliyezikwa kwenye Kata ya Mioni, Bagamoyo. Bwanamdogo alifariki dunia Januari 22 mwaka huu...

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Mbunge aijia juu Wizara ya Ardhi


Na Happiness Mtweve, Dodoma
MBUNGE wa Kilwa Kaskazini (CCM), Murtaza Mangungu, ameiomba Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, kutoa muda wa kutosha kuwahudumia wananchi.
Akiuliza swali bungeni jana mjini hapa, Mangungu alisema kumekuwepo na malalamiko ya wananchi kutopata muda wa kutosha kupata huduma mbalimbali kutoka wizarani hapo.
Mangungu alisema wizara hiyo ni nyeti na inategemewa na Watanzania wote kushughulikia huduma mbalimbali katrika eneo la ardhi, nyumba na makazi.
Alihoji...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wizara ya Ardhi inaongoza kwa uzembe — Mbunge

MBUNGE wa Gando, Khalifa Suleiman Khalifa (CUF), amesema kuwa kati ya Wizara ambazo zinalalamikiwa kwa uzembe ni Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi. Khalifa, aliyasema hayo bungeni jana...

 

11 years ago

Mwananchi

Kikwete aongoza mamia mazishi ya mbunge wa Chalinze Bagamoyo

Dar es Salaam. Rais Jakaya Kikwete aliyekatisha ziara yake nchini Uswisi, ameongoza mamia ya waombolezaji katika mazishi ya Mbunge wa Chalinze, Said Ramadhani Bwanamdogo yaliyofanyika kijijini kwao Miono mjini Bagamoyo jana.

 

11 years ago

Mwananchi

Wananchi wadai kudhulumiwa ardhi

Wakazi wa Mtaa wa Nyamiongo, Kata ya Makoko mjini Musoma, mkoani Mara, wameilalamikia Serikali kuwanyang’anya maeneo yao na kuyakabidhi jeshini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani