Mbunge ‘awashambulia’ Mwakyembe, Magufuli
Joto la hasira dhidi ya mawaziri limeendelea kupanda bungeni, ambapo safari hii limemgusa Waziri wa Ujenzi, Dk John Magufuli na Waziri wa Uchukuzi Dk Harrison Mwakyembe ambao wameshambuliwa kuwa siyo wasikivu ni wabinafsi kwa kuwa wameshiba sifa za magazeti.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima27 Jul
Mwakyembe, Magufuli mnashindana nini?
MAWAZIRI wawili wa serikali ya awamu ya nne ya Rais Jakaya Kikwete, wanaonekana kufanya kazi bila kujua wajibu wao au wameamua kupambana katika utendaji wao. Mawaziri hawa ni Dk. Harrison...
9 years ago
Habarileo13 Dec
Mwakyembe- Nitaenda sawa na Magufuli
Waziri wa Katiba na Sheria, Dk Harrison Mwakyembe amesema atafanya kazi kwa kasi ya Rais Magufuli katika kukabiliana na changamoto zilizopo katika wizara hiyo.
11 years ago
Tanzania Daima01 Feb
Magufuli, Mwakyembe tafuteni ufumbuzi wa hili
UJENZI wa barabara ya Morogoro kutoka Posta hadi Kimara ulipoanza, kila raia anayetumia njia hiyo ya kuingia na kutoka nje ya Jiji la Dar es Salaam alishukuru na kuipongeza sana...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-4XguEWBKI_Y/XuUDN9fHJZI/AAAAAAALtr4/lTjcRDvYJD8P5nxOlq0cHRZWpyc8fd8jwCLcBGAsYHQ/s72-c/50bceffc-7996-47e6-b73a-f2adf8d6115f.jpg)
Dkt. Mwakyembe Apongeza Wazalendo Wanaounga Mkono Juhudi za Rais Magufuli
![](https://1.bp.blogspot.com/-4XguEWBKI_Y/XuUDN9fHJZI/AAAAAAALtr4/lTjcRDvYJD8P5nxOlq0cHRZWpyc8fd8jwCLcBGAsYHQ/s640/50bceffc-7996-47e6-b73a-f2adf8d6115f.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/06/8cf9ac02-75c0-49f3-8f9f-014f7118e2ab.jpg)
Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Dkt.Harrison Mwakyembe akizungumza na Bw. Mussa Issa (kushoto) meneja wa Mtoto Romeo Asubisye (mwenye suti ya kijani) aliyekuja kumtambulisha mtoto huyo baada ya kutwaa medali takriban 09,katika mashindano mbalimbali ya kuogelea ikwemo Cana Zone Three Africa yaliyofanyika mwaka 2019 nchini Kenya
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/06/610ad902-76de-4171-a950-c9ed91e9017b.jpg)
11 years ago
Tanzania Daima21 Mar
Msabaha awashambulia wanaompiga Warioba
MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, Mariam Msabaha, amewashambulia wanaopingana na hotuba ya Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba. Akizungumzia hotuba hiyo alisema kilichowasilishwa bungeni ni...
10 years ago
Mwananchi13 Sep
Sitta ageuka mbogo, awashambulia wasomi
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/-nMzymXXjMJ5CgPscjZefT8*-zlHFPmOe0OYFfD3wfJsKO0tX*us3lF0HR5yLa975rQcdOFkilFJ7gYpsJ7hWocXQOmJDVA7/somazaidi.gif)
KATIBU MKUU NISHATI NA MADINI AWASHAMBULIA ZITTO, KAFULILA
9 years ago
Mtanzania02 Sep
Yametimia *Dk. Slaa awashambulia Ukawa, *Asema maaskofu Katoliki wamehongwa, Walutheri wana udini
NA FREDY AZZAH, DAR ES SALAAM
ALIYEKUWA Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa, ametangaza kuachana na siasa huku akiwatuhumu viongozi wa chama chake, maaskofu wa Kanisa Katoliki na Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) kuwa wamehongwa na Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa.
Dk. Slaa aliyasema hayo jana jijini Dar es Salaam, kwenye mkutano na waandishi wa habari uliofanyika kwenye Hoteli ya Serena, zikiwa zimepita siku 36 tangu aliposusia...
9 years ago
Habarileo11 Dec
Mbunge wa Chadema amfagilia Rais Magufuli
MBUNGE wa Viti Maalumu mkoa wa Mara, Joyce Sokombi kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) amempongeza Rais John Magufuli, kwa kasi yake ya kuwawajibisha watu na watumishi wa serikali wanaojinufaisha na mali ya umma.