MBUNGE CCM ARUSHA AZINDUWA DUKA JIPYA LA UREMBO DAR
![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/01/DSC_0312.jpg?width=650)
Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mkoa wa Arusha, Catherine Magige (kushoto) akiwasili kuzindua rasmi duka la urembo la ZuRii House of Beauty linalomilikiwa na mwana Diaspora ambaye pia ni mwanalibeneke Jestina George Meru (kulia) ndani ya jengo la Dar Free Market jijini Dar es Salaam. Mmiliki wa Duka la Zurii (kulia), Jestina George akikagua bidhaa ndani ya duka la urembo lililozinduliwa. … ...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog13 Jan
Mh. Catherine Magige azindua duka jipya la urembo la ZuRii lililopo Dar Free Market
Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mkoa wa Arusha, Catherine Magige (kushoto) akiwasili kuzindua rasmi duka la urembo la ZuRii House of Beauty linalomilikiwa na mwana Diaspora ambaye pia ni mwanalibeneke Jestina George Meru (kulia) ndani ya jengo la Dar Free Market jijini Dar es Salaam jana.
Na Mwandishi Wetu
Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mkoa wa Arusha, Catherine Magige leo amezindua rasmi rasmi duka jipya la vipodozi na vitu mbalimbali linalofahamika kwa jina la ZuRii lililopo katika jengo la...
10 years ago
Michuzi20 Jan
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/TwbgnXl4eNUYBK4dTtujnzwbv5Emf0ntc9-F-2HJSEZ7QRP0k4oEAOfnLOqCv7pR3Wfktq4udWlpdRC0TM57maAf5shtfzJm/001.QUALITYCENTREUCHUMI.jpg?width=650)
VODACOM YAFUNGUA DUKA JIPYA LA KISASA JENGO LA QUALITY CENTRE UCHUMI
11 years ago
GPLAIRTEL YAZINDUA DUKA LA ARUSHA
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-MxLtZJWNNzs/VhOinRmTLfI/AAAAAAAH9RI/qnBtQqF05gg/s72-c/picture%2B2.jpg)
VODACOM YAZINDUA WIKI YA WATEJA KWA KUFUNGUA DUKA JIPYA DAR
![](http://2.bp.blogspot.com/-MxLtZJWNNzs/VhOinRmTLfI/AAAAAAAH9RI/qnBtQqF05gg/s640/picture%2B2.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-g--4mgaXtfw/VhOion5ogfI/AAAAAAAH9RU/Ew_0UNBJrSc/s640/picture%2B4.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-yuxdh3BqoXs/VhOipU8va8I/AAAAAAAH9RY/ihHOye2Ng20/s640/picture5.jpg)
10 years ago
Dewji Blog11 Jan
Karibu ZuRii House of beauty duka jipya na la kisasa la vipodozi @Dar Free Market
![Karibu ZuRii House of Beauty Duka Jipya na la Kisasa la Vipodozi](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/01/untitled2.jpg)
Karibu ZuRii House of Beauty Duka Jipya na la Kisasa la Vipodozi
![Karibu ZuRii House of Beauty Duka Jipya na la Kisasa la Vipodozi](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/01/untitled4.jpg)
Karibu ZuRii House of Beauty Duka Jipya na la Kisasa la Vipodozi
Karibu ZuRii House of Beauty Duka Jipya na la Kisasa la Vipodozi.
![Karibu ZuRii House of Beauty Duka Jipya na la Kisasa la Vipodozi](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/01/untitled.jpg)
Karibu ZuRii House of Beauty Duka Jipya na la Kisasa la Vipodozi
*Kufunguliwa rasmi Januari 12, 2015
DUKA lipo Dar Free Market 1st Floor Shop No F4. Wako wazi kuanzia saa nne asubuhi mpaka saa nne usiku.
Hapo utapata kila kitu kuanzia Lotions, Dawa Za Nywele za watoto na watu wazima, Mafuta mazuri...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-TGgojEojrMw/Xk_pqK1TfOI/AAAAAAALetM/xs1pitK35CcWa7uhHnIRF7eGiYnVCnbvwCLcBGAsYHQ/s72-c/0003.jpg)
Vodacom yaendelea kusogeza huduma karibu na wateja wake, yazindua duka jipya la kisasa Mbezi Beach jijini Dar es Salaam
![](https://1.bp.blogspot.com/-TGgojEojrMw/Xk_pqK1TfOI/AAAAAAALetM/xs1pitK35CcWa7uhHnIRF7eGiYnVCnbvwCLcBGAsYHQ/s640/0003.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-oX_6U4rMoAs/Xk_pqNnbVOI/AAAAAAALetI/zSdfqhJ26g4TQhs5xhFmrgiCfP3mxwB7ACLcBGAsYHQ/s640/000066.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-sXwV_iht6ao/Xk_pqMCHetI/AAAAAAALetE/Lsatc2bh6n0kA_j6VAMhA1dXmxdbsheYACLcBGAsYHQ/s640/000077.jpg)
11 years ago
Habarileo04 Apr
Tigo yafungua duka jipya Songea
KAMPUNI ya simu za mkononi ya Tigo imefungua duka jipya la huduma kwa wateja mjini Songea. Duka hilo litarahisisha upatikanaji wa huduma zake kwa wateja, ambao awali walikuwa hawana namna ya kupata huduma za moja kwa moja kutoka kwenye kampuni hiyo ya simu.
10 years ago
Dewji Blog03 Jun
Tigo yazindua Duka jipya Moshi
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Leonidas T. Gama aikata utepe kuzindua rasmi Tawi la Tigo Moshi Mjini jana, wanaoshuhudia kulia ni Gwamaka Mwakilembe, Meneja huduma kwa wateja Kanda ya Kaskazini na kushoto ni Meneja wa ubora huduma kwa wateja Tigo, Mwangaza Matotola.
Meneja huduma kwa wateja Kanda ya Kaskazini, Gwamaka Mwakilembe akitoa maelezo kwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Leonidas Gama juu ya bidhaa zilizopo ndani ya Duka la Tigo lililozinduliwa Moshi Mjini jana.
Kampuni ya simu...