Mbunge Shaimar asema jamii ikielimika vitendo vibaya dhidi ya watu wenye albinism vitapungua
Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Al-Shaymaa Kwegyir, akizungumza na wanazuoni wa Chuo Kikuu cha Kumbukumbu cha Hubert Kairuki hawapo pichani, katika kongamano la kujadili nini kifanyike kutokomeza mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi (albino) lililofanyika jana chuoni hapo. Kushoto ni Makamu Mkuu wa Chuo hicho Keto Mshigeni na Kulia ni Kokushubika Kairuki.
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
MBUNGE wa Viti Maalum ambaye pia ni mlemavu wa ngozi (albino), Al -Shaimaa Kweigyir, amekemea vikali...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo13 Jun
TUME YA HAKI ZA BINADAMU, UNESCO WATAKA JAMII KUTAMBUA WATU WENYE ALBINISM
![XX](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/06/XX.jpg)
![UNS](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/06/UNS.jpg)
10 years ago
Dewji Blog13 Jun
Tume ya Haki za binadamu, UNESCO wataka jamii kutambua haki za watu wenye Albinism nchini
Kamishna wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Dkt. Kevin Lothal Mandopi akielezea namna ya tume hiyo ilivyo mstari wa mbele kuelimisha Umma dhidi ya vitendo na ukatili kwa watu wenye Ualbinism nchini kwa wadau na waandishi wa habari (hawapo pichani) jijini Dar es Salaam mapema leo Juni 13.2015.
Na Andrew Chale, modewjiblog
Tume ya Haki za binadamu na Utawala bora nchini, leo Juni 13,2015, imeungana na watanzania wote kuadhimisha siku ya Kimataifa ya uelimishaji umma kuhusu Ualbino...
10 years ago
StarTV27 Feb
Ukatili dhidi ya wenye Albinism, viongozi wa dini walaani.
Na Wilson Elisha,
Mwanza.
Viongozi wa kamati ya amani ya dini ya Mkoa wa Mwanza wamesema vitendo cha ukatili vinavyoendelea nchini dhidi ya watu wenye ulemavu wa ngozi Albino vya kuwaua kwa kuwakata mapanga kuwa ni laana kwa wanaofanya hivyo na havikubaliki katika jamii.
Kutokana na hali hiyo viongozi hao wameiomba Serikali kuchukua hatua za makusudi kuhakikisha wale wote wanaohusika wanachukuliwa hatua za kisheria ili haki iweze kutendeka wakati huu ambao wameandaa kongamano la wazi la...
10 years ago
Dewji Blog24 May
Mitazamo hasi kitamaduni chanzo cha mauaji ya watu wenye albinism
Mkuu wa Ofisi na Mwakilishi wa UNESCO nchini, Bi. Zulmira Rodgrigues, akiwasilisha mada katika warsha ya siku tatu iliyofanyika katika kijiji cha Nyakahungwa wilayani Sengerema mkoani Mwanza kuhusu ushirikishaji jamii katika kuandaa na kutekeleza mikakati itakayochangia kuzuia na kutokomeza unyanyasaji na dhulma zinazofanywa dhidi ya watu wenye albinism iliyoshirikisha waganga wa asili, wauguzi na wakunga, viongozi wa dini, walimu pamoja na watu maarufu iliyoandaliwa na Shirika la Umoja wa...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-mpBrbnQSzwA/VXv_vOtxZaI/AAAAAAAHfKg/X-EpQfHUemw/s72-c/unnamed%2B%252838%2529.jpg)
JK aongoza maadhimisho ya siku ya watu wenye Albinism Duniani leo jijini Arusha.
![](http://3.bp.blogspot.com/-mpBrbnQSzwA/VXv_vOtxZaI/AAAAAAAHfKg/X-EpQfHUemw/s640/unnamed%2B%252838%2529.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-FI1O0OVJbJ0/VXv_uyD3kOI/AAAAAAAHfKc/vIM5DJo_iTw/s640/unnamed%2B%252839%2529.jpg)
10 years ago
Vijimambo06 Mar
EXCLUSIVE INTERVIEW: 'USHIRIKINA CHANZO CHA MAUAJI YA WATU WENYE ALBINISM' - DK. ALLY POSSI
10 years ago
Dewji Blog06 Mar
EXCLUSIVE INTERVIEW: ‘Ushirikina chanzo cha mauaji ya watu wenye Albinism’ — Dk. Ally Possi
Na Andrew Chale wa modewji blog
Dk. Ally Possi ambaye ni Mhadhiri wa chuo kikuu cha Ardhi, Dar es Salaam. Akielezea na kuchambua kwa kina kuhusiana na wimbi la mateso na mauaji dhidi ya watu wenye ulemavu wa ngozi wenye albinism.
Mo dewjiblog, iliamua kufanya mahojiano maalum ilikukuletea wewe msomaji wetu unayeperuzi mtandao wako bora kabisa kujua na kuelewa na nini kifanyike ikiwemo mimi na wewe katika kuchukua hatua.
Suala la mauaji dhidi ya watu wenye albinism:
“JAMII yenye ushirikina...
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-mpBrbnQSzwA/VXv_vOtxZaI/AAAAAAAHfKg/X-EpQfHUemw/s72-c/unnamed%2B%252838%2529.jpg)
RAIS KIKWETE AONGOZA MAADHIMISHO YA SIKU YA WATU WENYE ALBINISM DUNIANI LEO JIJINI ARUSHA
![](http://3.bp.blogspot.com/-mpBrbnQSzwA/VXv_vOtxZaI/AAAAAAAHfKg/X-EpQfHUemw/s640/unnamed%2B%252838%2529.jpg)
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na baadhi ya watoto wenye albinism mara baada ya kuwasili katika uwanja wa michezo wa Sheikh amri Abeid mjini Arusha leo ambapo aliongoza maadhimisho ya siku ya watu wenye Albinism Duniani leo.
![](http://2.bp.blogspot.com/-FI1O0OVJbJ0/VXv_uyD3kOI/AAAAAAAHfKc/vIM5DJo_iTw/s640/unnamed%2B%252839%2529.jpg)
9 years ago
Habarileo05 Dec
Jamii yashauriwa kujali watu wenye ulemavu
JAMII nchini imehimizwa kuongeza ushirikiano kwa makundi ya watu walio na mahitaji maalumu hususan wenye ulemavu kwa kuwa kufanya hivyo kutawezesha uwepo wa jamii iliyo na ustawi na yenye kujali maslahi ya kila mmoja.