Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mbunge wa Afrika mashariki aonesha namna ya kukwepa foleini za Dar es salaam

Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki Mhe Shyrose Bhanji akiwahi uwanja wa ndege kwa Bodaboda baada ya kukwama masaa kadhaa barabarani kutokana na foleni kubwa aliyokutana nayo akiwa mitaa ya Mikocheni jijini Dar es salaam

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Wabunge wa bunge Jumuiya ya Afrika Mashariki watembelea bandari ya Dar es salaam

DIGITAL CAMERA

Spika wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA) Dkt. Margaret  Zziwa (wa pili kulia) akipewa maelezo na Mtendaji Mkuu wa kampuni ya TICS Paul Wallace namna kampuni yake inavyofanyakazi ya kupakua na kupakia mizigo katika bandari ya Dar es salaam wakati wa ziara ya Wabunge wa bunge hilo walipotembelea ofisi za Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) jana jijini Dar es salaam.(Picha na Eleuteri Mangi-MAELEZO).

02 (2)

Na Eleuteri Mangi-MAELEZO

Jumuiya ya Afrika Mashariki iko makini katika kutekeleza...

 

10 years ago

Dewji Blog

Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki limefunguliwa rasmi jijini Dar es Salaam

1

Spika wa Bunge la Tanzania Anne Makinda akihutubia Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA) la kwanza kufanyika Dar es Salaam, tangu utaratibu wa kufanyika kwa bunge hilo kwa mzunguko kwa kila nchi mwanachama wa Jumuiya.

2

Spika wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki Dkt. Margaret Zziwa akizungumza kwenye ufunguzi wa bunge hilo.

3

Spika wa Bunge la Tanzania Anne Makinda (kushoto) akiwa na Spika wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki Dkt. Margaret Zziwa wakati wa ufunguzi wa vikao vya...

 

10 years ago

Michuzi

MKUTANO WA DHARURA WA BARAZA LA MAWAZIRI WA AFRIKA MASHARIKI WAFUNGULIWA DAR ES SALAAM

Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki na Mwenyekiti wa Baraza la Mawaziri wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Mhe.Dkt. Harrison Mwakyembe (Mb.) akifungua Mkutano wa Dharura wa Baraza la Mawaziri wa Afrika Mashariki ambao pamoja na mambo mengine utapokea na kujadili taarifa ya ziara ya Mawaziri nchini Burundi kuhusu hali ya kisisasa nchini humo. Mkutano huo ambao ni maandalizi ya Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi utakaofanyika tarehe 06 Julai, 2015, umefanyika kwenye Hoteli ya Serena,...

 

10 years ago

Michuzi

MASPIKA WA AFRIKA MASHARIKI WAKUTANA JIJINI DAR KUJADILI MASUALA MBALIMBALI YANAYOHUSU NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI

Na Bakari Issa,Dar es Salaam
Maspika wa Bunge wa Afrika Mashariki wamekutana jijini Dar es Salaam ili kujadili masuala mbalimbali yanayozihusu nchi za Ukanda wa Afrika Mashariki likiwemo suala la Ugaidi pamoja na vurugu zinazotokea ,maendeleo hususan Barani Afrika.
Katika Mkutano huo wenye jina la ‘Jukwaa la Maspika wa Mabunge ya Afrika Mashariki’ulihuduliwa na Maspika wa nchi za Tanzania,Kenya,Uganda, Rwanda pamoja na Spika wa Bunge la Afrika Mashariki(EALA),Mhe.Daniel Kidega....

 

10 years ago

Mwananchi

Namna Freemason ilivyoingia Tanzania, Afrika Mashariki — 5

Wiki iliyopita, mwandishi wa simulizi hizi, Kiongozi Mstaafu wa Freemason Afrika Mashariki, Sir Andy Chande, alieleza namna Dikteta Idi Amin alivyowatimua Freemason Uganda.

 

10 years ago

Dewji Blog

Mkutano wa Takwimu wa nchi wanachama wa jumuiya ya Afrika Mashariki wafanyika jijini Dar Es Salaam

NBS - 1

Mkurugenzi  Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), kutoka Tanzania  Dkt. Albina Chuwa akifungua mkutano wa Wakurugenzi na Watalaam wa Takwimu kutoka nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kujadili mausuala mbalimbali ya Takwimu leo jijini Dar es salaam. NBS -2 Mkurugenzi Mkuu w aOfisi ya Takwimu Rwanda  Bw. Yusuf Murangwa akitoa mchango wake kuhusu umuhimu wa ushirikiano wa matumizi ya Takwimu baina ya nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki leo jijini Dar es salaam. NBS-3 Mkurugenzi Mkuu wa...

 

9 years ago

Michuzi

VIONGOZI WA KIDINI KUTOKA NCHI 17 ZA MASHARIKI NA KUSINI MWA AFRIKA WAKUTANA JIJINI DAR ES SALAAM

Mwenyekitiwa Tume ya kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS) Dk. Fatma Mrisho akitoa wito kwa mashirika mbalimbali kujikita katika utoaji wa elimu kuhusu maambukizi ya virusi vya UKIMWI huku wakishirikiana na Viongozi wa ngazi ya juu wa dini.Baadhi ya Viongozi wa ngazi ya juu wa dini na wawakirishi wa dini kutoka nchi 17 za Mashariki na Kusini mwa Afrika wakiwa kwenye mkutano huo utakaodumu kwa takribani siku tatu.Picha ya Pamoja Kwa washiriki walio hudhuria mkutano huo.Na Mwandishi wetuViongozi...

 

10 years ago

Mwananchi

SIMULIZI: Namna Freemason ilivyoingia Tanzania, Afrika Mashariki — 2

>Wakati ule, hata hivyo, Ofisi ya Freemason Afrika Mashariki ilikuwa imetoa mchango mkubwa katika kusaidia kuimarisha ufreemason katika sehemu za bara.

 

10 years ago

Michuzi

WANAHABARI NA WAMILIKI WA VYOMBO VYA HABARI WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI WAKUTANA DAR ES SALAAM KUJADILI CHANGAMOTO ZA NCHI ZAO

 Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dk. Harrison Mwakyembe akizungumza na waandishi wa habari baada ya kufungua kongamano la kujadili mchango wa vyombo vya habari katika kuimarisha demokarasia na mambo mbalimbali yanayogusa jumuiya hiyo Dar es Salaam leo Mwenyekiti wa Shirikisho la Wafanyabiashara wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Felix Mosha akizungumza katika kongamano hilo. Mkurugenzi wa Idara Habari Maelezo, Assa Mwambene akijibu maswali ya wanahabari.

BOFYA HAPA KUONA PICHA...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani