Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mbunifu wa Mitindo Amina Plummer awafunda wanawake wajasiriamali namna ya kujitambua

   

Mbunifu na Mmiliki wa Maduka ya Amina Design ambaye pia ni Mentor wa Taasisi ya Manjano Foundation Amina Plummer akitoa mada kwenye semina ya kuwawezesha  wanawake kuwa wajasiriamali kupitia vipodozi vya Luv Touch Manjano iliyoandaliwa na Manjano Foundation kwa lengo la kuwajengea udhubutu wanawake kufanya biashara pia namna ya kujiwekea akiba na kutumiza malengo yao. Taasisi ya Manjano Foundation, ambayo imeanzisha jukwaa kwa ajili ya kuandaa Miradi  ambayo itamuinua mwanamke wa...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MBUNIFU WA MITINDO AMINA PLUMMER ATOA MADA NAMNA KUJITAMBUA KWENYE SEMINA YA KUWAWEZESHA WANAWAKE WAJASIRIAMALI

  Mbunifu na Mmiliki wa Maduka ya Amina Design Ambaye pia ni Mentor wa Taasisi ya Manjano Foundation Amina Plummer Akitoa Mada kwenye Semina ya Kuwawezesha Wanawake Kuwa Wajasiriamali kupitia Vipodoz Vya Luv Touch Manjano Iliyoandaliwa na Manjano Foundation Kwa Lengo la Kuwajengea Udhubutu Wanawake Kufanya biashara pia namna ya Kujiwekea Akiba na Kutumiza Malengo yao. Taasisi ya Manjano Foundation, ambayo imeanzisha jukwaa kwa ajili ya kuandaa Miradi ambayo itamuinua mwanamke wa...

 

10 years ago

Michuzi

MBUNIFU WA MITINDO AMINA PLUMMER ATOA MADA NAMNA YA KUJITAMBUA KWENYE SEMINA YA KUWAWEZESHA WANAWAKE WAJASIRIAMALI

   Mbunifu na Mmiliki wa Maduka ya Amina Design  Ambaye pia ni   Mentor wa Taasisi ya Manjano Foundation Amina Plummer Akitoa Mada kwenye Semina ya Kuwawezesha  Wanawake Kuwa Wajasiriamali kupitia Vipodoz Vya Luv Touch Manjano Iliyoandaliwa na Manjano Foundation Kwa Lengo la Kuwajengea Udhubutu Wanawake  Kufanya biashara pia namna ya Kujiwekea Akiba na Kutumiza Malengo yao. Taasisi ya Manjano Foundation, ambayo imeanzisha jukwaa kwa ajili ya kuandaa Miradi  ambayo itamuinua mwanamke wa...

 

9 years ago

Mwananchi

LUCKY SABAS : Kuwa mbunifu wa mitindo ilikuwa ndoto yangu

Safari yake kwenye tasnia ya uanamitindo ilianza rasmi, mwaka 2006, pale aliposhiriki shindano la Miss Utalii Tanzania. Alipambana na kufanikiwa kuingia fainali katika onyesho hilo lililokuwa na mvuto kwa mashabiki wake kipindi cha awali.

 

10 years ago

Dewji Blog

PSPF ya ungana na wanawake wajasiriamali katika hafla ya kuendeleza umoja wa wajasiriamali Dar

Meneja msaidizi wa uchangiaji wa hiari Matilda Nyallu wa mfuko wa pensheni wa (PSPF) akieleza namna ya mfuko wa Hiari unavyo kuwa na nijinsi gani utafaidika pindi unapo jiunga na kuwa mmoja wa wadau wa (PSPF).

2

Kushoto Muandaaji wa sherehe ya wanawake wajasiriamali Shamimu Mwasha ambaye ni mdau wa (PSPF) akitoa ufafanuzi wa sherehe hiyo na kuwakaribisha wageni walioweza kuhudhuriapembeni ni mshereheshaji wa sherehe hiyo Jokate Mwegelo.

Afisa wa mfuko wa pensheni wa (PSPF) kushoto Hadji...

 

10 years ago

Vijimambo

PSPF YA UNGANA NA WANAWAKE WAJASIRIAMALI KATIKA HAFRA YA KUENDELEZA UMOJA WA WAJASIRIAMALI DAR ES SALAAM

 Meneja msaidizi wa uchangiaji wa hiari Matilda Nyallu wa mfuko wa pensheni wa (PSPF) akieleza namna ya mfuko wa Hiari unavyo kuwa na nijinsi gani utafaidika pindi unapo jiunga na kuwa mmoja wa wadau wa (PSPF) Kushoto Muandaaji wa sherehe ya wanawake wajasiliamali shamimu mwasha ambaye ni mdau wa (PSPF) akitoa ufafanuzi wa sherehe hiyo na kuwakaribisha wageni walioweza kuhudhuriapembeni ni mshereheshaji wa sherehe hiyo jokate mwegelo. Afisa wa mfuko wa pensheni wa (PSPF)kushoto Hadji...

 

11 years ago

Michuzi

Airtel yazindua huduma mpya ya mitindo kwa njia ya simu kwa kushirikiana na Mbunifu Mahiri Afrika Mustafa hassanali.

 Mbunifu nguli wa mitindo Afrika, Mustafa Hassanali akizungumza na wageni waalikwa kuhusiana na huduma mpya ya kuwa karibu naye kwa mashabiki wa mitindo kupata taarifa zake kupitia simu zao za  mkononi za Airtel  kwa kupiga *148*82# na moja kwa moja utakuwa umeunganishwa na huduma hiyo na kutozwa shilingi 90 za kitanzania kwa siku.Kampuni ya simu ya mkononi ya Airtel inayotoa huduma nafuu na yenye wigo mpana zaidi wa mawasiliano, imeshirikiana na mbunifu wa mitindo Afrika ,Mustafa Hasanali...

 

10 years ago

Mwananchi

Changamoto kuu za wajasiriamali na namna ya kuzishinda-2

Wiki iliyopita nilielezea juu ya changamoto zinazowasibu wajasiriamali wadogo na baadhi ya wajasiriamali wa kati kwa kuangazia changamoto inayotokana na udhaifu wa mjasiriamali mwenyewe.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mnyika awafunda wanawake Ubungo

NAIBU Katibu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Bara, John Mnyika, amesema ushindi mkubwa wa chama hicho katika uchaguzi wa serikali za mitaa, utawapa nguvu madiwani na wabunge kutetea...

 

10 years ago

Michuzi

WANAWAKE WA INDIA WATEMBELEA VIKUNDI VYA WANAWAKE WAJASIRIAMALI MKURANGA

Mwakilishi wa Wanachama wa Ushirika wa Wanawake waliojiairi wenyewe kutoka India (SEWA), Labhu Thakkar akizungumza katika Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Kuranga wakati walipotembelea vikundi vya wajasiriamali vilivyopo wilayani hapo. Kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga, Mercy Sila na mlezi wa Kikundi cha Kiwalani Women Group ambaye pia ni mke wa mbunge wa Mkuranga, Naima Malima. Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga, Mercy Sila akizungumza na Wanachama wa Ushirika wa Wanawake waliojiairi wenyewe kutoka...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani