Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mbuyu Mnene Kisauni kuishnehi

Mbuyu mnene kuliko yote Zanzibar uliko katika eneo la kisauni ambao ulikuwa historia kwa wageni na wapita njia katika barabara iendayo fumba ukikatwa kupisha ujenzi wa uzio wa uwanja wa ndege na kutowa nafasi kwa ndege zinazotuwa katika uwanja huu. Kama unavyoonekana pichani ukiwa katika hatua za mwisho ya ukataji wake huo unaoendelea kidogo kidogo baada ya kumpata mkataji wa mbuyu huo. Picha na ZanziNews Blog

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

‘Alikuwa kama mbuyu’

Familia ya marehemu Nelson Mandela imezungumza kwa mara ya kwanza tangu kiongozi huyo wa kwanza mweusi wa Afrika Kusini alipofariki dunia Alhamisi iliyopita na kumfananisha na mbuyu.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Dodoma kuna mzimu au mbuyu?

WATU wengi wa Zanzibar wanajiuliza, hivi kule Dodoma kuna nini… mzimu au mbuyu ambao huwabadilisha mawazo baadhi ya Wazanzibari? Wapo wanaosema kama ni mzimu basi ni wenye nguvu isiyoelezeka.  Vilevile, ...

 

10 years ago

AllAfrica.Com

Kisauni MP's Son Weds in Impressive Swahili Ceremony


Kisauni MP's Son Weds in Impressive Swahili Ceremony
AllAfrica.com
Juma Rashid, Kisauni MP Rashid Bedzimba's second son, said "I do" to his long term girl-friend Muzdalifa Mohamed a Tanzanian national from Zanzibar last weekend. The wedding ceremony held in Zanzibar with the who's who from Mombasa in attendance.

 

5 years ago

Michuzi

Mbuyu wa Uandishi, Fili Karashani, Umeanguka

 Na Kajubi Mukajanga SAA sita na dakika ishirini na moja mchana wa Jumapili, Mei 10, 2020 nilizungumza na Kagina Karashani kuhusu maendeleo ya matibabu ya baba yake, Fili, na mipango ya kumtembelea hospitali katika mazingira ya homa kali ya mapafu (Covid-19) yaliyofanya uongozi wa Hospitali ya Muhimbili (MNH) kuamua awe anaonwa na mtu mmoja tu kwa siku!.
Alikuwa amelazwa Muhimbili kwa matatizo ya moyo ambayo yamekuwa yakimsumbua kwa muda wa miaka kadhaa.Saa sita baadaye, saa kumi na mbili na...

 

9 years ago

Vijimambo

TIMU YA MADAKTARI BINGWA KUTOKA NCHINI CHINA WATOA HUDUMA ZA KIJAMII KATIKA KIJIJI CHA KISAUNI ZANZIBAR.

1Dokta Gao Yun Lai akimpima presha na sukari bwana Mohd Ali, mkaazi wa Kisauni. PICHA NA ABDALLA OMAR – MAELEZO ZANZIBAR. 2Dokta Fadhil Mohd ambae ni D0kta Dhamana Kanda ya Unguja akitoa maelezo kwa waadishi wa habari (hawapo pichani).
3 45
Wananchi mbalimbali wakipatiwa huduma za matibabu katika kijiji cha Kisauni Zanzibar.  

                   Mwashungi Tahir Maelezo-Zanzibar 
Jumla ya madaktari bingwa tisa kutoka nchini china wakishirikiyana na madaktari wa hapa Zanzibar wameweza kutoa...

 

9 years ago

Michuzi

TIMU YA MADAKTARI BINGWA KUTOKA NCHINI CHINA WAKISHIRIKIANA NA MADAKTARI WA ZANZIBAR WATOA HUDUMA ZA KIJAMII KATIKA KIJIJI CHA KISAUNI ZANZIBAR

  Dokta Gao Yun Lai akimpima presha na sukari bwana Mohd Ali mkazi wa Kisauni upimaji huo ulifanyika katika kijiji  cha kisauni Zanzibar.   Dokta Fadhil Mohd ambae ni dokta dhamana kanda ya Unguja akitoa maelezo kwa waandishi wa habari hawapo pichani.Wananchi mbalimbali wakipatawa  huduma za matibabu katika kijiji cha Kisauni zanzibar.Picha na Abdalla Omar habari maelezo zanzibar.

 

9 years ago

Michuzi

MUZIKI MNENE KIBAHA


93.7 EFM yajinyakulia ushindi baada ya kuwafunga kibaha veterans mabao mawili kwa moja, katika mchezo  uliochezwa mwishoni mwa wiki  katika uwanja wa Tamco kibaha, Mechi hiyo ni baadhi ya mechi zinazoendelea baina ya EFM na timu mbalimbali za wasikilizaji wake, Kupitia kampeni ya Muziki mnene bar kwa bar .Burudani haikuishia hapo,  baada ya mechi hiyo shangwe ziliendelea ndani ya kibaha kontena. Ilikuwa ni bandika bandua ya ngoma kali kutoka kwa Rdj’s wa 93.7 EFM na  shamra shamra kutoka...

 

9 years ago

Michuzi

MUZIKI MNENE BAGAMOYO

                        

SHANGWE za muziki mnene wa 93.7 EFM ,kwa mara nyingine tena ziliendelea  ndani ya bagamoyo . Burudani ya aina yake  ikiongozwa na timu nzima ya EFM ilishushwa ndani ya mageti mia Adon lodge. Wakazi wa bagamoyo walipata nafasi ya kukutana na watangazaji, na RDJ’s huku  wakifurahia burudani ya pamoja.
Muziki mnene bar kwa bar ulipambwa na kabumbu kati ya EFM na Bagamoyo veterani ambapo Bagamoyo veteran waliibuka na ushindi wa bao moja huku EFM wakiambulia sifuri.


Tangu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani