Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mbuyu wa Uandishi, Fili Karashani, Umeanguka

 Na Kajubi Mukajanga SAA sita na dakika ishirini na moja mchana wa Jumapili, Mei 10, 2020 nilizungumza na Kagina Karashani kuhusu maendeleo ya matibabu ya baba yake, Fili, na mipango ya kumtembelea hospitali katika mazingira ya homa kali ya mapafu (Covid-19) yaliyofanya uongozi wa Hospitali ya Muhimbili (MNH) kuamua awe anaonwa na mtu mmoja tu kwa siku!.
Alikuwa amelazwa Muhimbili kwa matatizo ya moyo ambayo yamekuwa yakimsumbua kwa muda wa miaka kadhaa.Saa sita baadaye, saa kumi na mbili na...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Uandishi usio uandishi wa habari

Kama kuna uandishi wa habari ambao utachukiza na hata kuchefua wasomaji na wasikilizaji Jumapili hii, ni unaofanana na huu hapa.

 

11 years ago

Mwananchi

‘Alikuwa kama mbuyu’

Familia ya marehemu Nelson Mandela imezungumza kwa mara ya kwanza tangu kiongozi huyo wa kwanza mweusi wa Afrika Kusini alipofariki dunia Alhamisi iliyopita na kumfananisha na mbuyu.

 

10 years ago

Vijimambo

Mbuyu Mnene Kisauni kuishnehi

Mbuyu mnene kuliko yote Zanzibar uliko katika eneo la kisauni ambao ulikuwa historia kwa wageni na wapita njia katika barabara iendayo fumba ukikatwa kupisha ujenzi wa uzio wa uwanja wa ndege na kutowa nafasi kwa ndege zinazotuwa katika uwanja huu. Kama unavyoonekana pichani ukiwa katika hatua za mwisho ya ukataji wake huo unaoendelea kidogo kidogo baada ya kumpata mkataji wa mbuyu huo. Picha na ZanziNews Blog

 

11 years ago

Tanzania Daima

Dodoma kuna mzimu au mbuyu?

WATU wengi wa Zanzibar wanajiuliza, hivi kule Dodoma kuna nini… mzimu au mbuyu ambao huwabadilisha mawazo baadhi ya Wazanzibari? Wapo wanaosema kama ni mzimu basi ni wenye nguvu isiyoelezeka.  Vilevile, ...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Munyuku, Karashani kuzikwa leo

WAANDISHI wa Habari, Innocent Munyuku (New Habari -2006 Ltd) na Baraka Karashani (mwandishi wa kujitegemea) watazikwa leo kwa nyakati tofauti jijini Dar es Salaam na Mkoani Morogoro. Munyuku alifariki dunia...

 

10 years ago

AllAfrica.Com

Sports Fraternity to Miss Munyuku, Karashani


Sports Fraternity to Miss Munyuku, Karashani
AllAfrica.com
TANZANIA Sports Writers Association (TASWA) on Wednesday got a big blow following the death of its member Baraka Karashani and another vibrant sports writer Innocent Munyuku, who both passed away in Dar es Salaam. According to TASWA Secretary ...

 

10 years ago

Michuzi

mdau Baraka Karashani afariki dunia

Habari wadau, kwa masikitiko makubwa nawajulisha kuwa mwanachama mwenzetu wa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA), Baraka Karashani amefariki dunia mchana huu katika hospitali ya jeshi Lugalo alikokuwa amelazwa akipatiwa matibabu.  Pia mwandishi mahiri wa zamani wa habari za michezo nchini Innocent Munyuku, naye amefariki dunia usiku wa kuamkia leo.
Hilo ni pigo kwa waandishi wa habari za michezo na wanamichezo kwa ujumla, maana wote wameondoka wakati bado mchango wao...

 

10 years ago

Michuzi

UP DATES ZA MSIBA WA MPIGANAJI BARAKA KARASHANI

Habari wadau, naomba kuwajulisha kuwa mazishi ya aliyekuwa mwanachama mwenzetu wa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA), Baraka Karashani, aliyefariki jana, yatafanyika kesho alasiri katika makaburi ya Sinza, Dar es Salaam. 
Tunaomba tushirikiane katika kuhifadhi mwili wa mpendwa wetu, ambapo sekreterieti ya TASWA imemteua Majuto Omary ambaye ni Mwenyekiti wa TASWA FC, Mwani Nyangassa ambaye ni Mjumbe wa Kamati ya Utendaji na Zena Chande Mhazini Msaidizi kusimamia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani