mdau Baraka Karashani afariki dunia
Habari wadau, kwa masikitiko makubwa nawajulisha kuwa mwanachama mwenzetu wa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA), Baraka Karashani amefariki dunia mchana huu katika hospitali ya jeshi Lugalo alikokuwa amelazwa akipatiwa matibabu. Pia mwandishi mahiri wa zamani wa habari za michezo nchini Innocent Munyuku, naye amefariki dunia usiku wa kuamkia leo.
Hilo ni pigo kwa waandishi wa habari za michezo na wanamichezo kwa ujumla, maana wote wameondoka wakati bado mchango wao...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi20 Nov
UP DATES ZA MSIBA WA MPIGANAJI BARAKA KARASHANI
Tunaomba tushirikiane katika kuhifadhi mwili wa mpendwa wetu, ambapo sekreterieti ya TASWA imemteua Majuto Omary ambaye ni Mwenyekiti wa TASWA FC, Mwani Nyangassa ambaye ni Mjumbe wa Kamati ya Utendaji na Zena Chande Mhazini Msaidizi kusimamia...
10 years ago
MichuziWENGI WAJITOKEZA MAZISHI YA MWANDISHI WA HABARI ZA MICHEZO, MAREHEMU BARAKA KARASHANI LEO
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-2QKYvlCQ33k/VQ-ceDsgToI/AAAAAAAHMTw/FgTGZzoj3Dc/s72-c/unnamed%2B(15).jpg)
HEPI BESDEI YA KUZALIWA MDAU MAULID BARAKA WA KITENGE
![](http://2.bp.blogspot.com/-2QKYvlCQ33k/VQ-ceDsgToI/AAAAAAAHMTw/FgTGZzoj3Dc/s1600/unnamed%2B(15).jpg)
10 years ago
Michuzi15 Sep
Mdau Sunday Shomari atia baraka ndani ya Ofisi za MMG
![IMG_0590](http://sundayshomari.files.wordpress.com/2014/09/img_0590.jpg?w=714)
![IMG_0594](http://sundayshomari.files.wordpress.com/2014/09/img_0594.jpg?w=714)
11 years ago
Mwananchi22 Feb
Mtume aliyetabiri mwisho wa dunia afariki dunia
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/CrfMSzuE5d4H21UlwdGQF5bRY6cl7LwU0ne3-RYuWLahkP8iNeqSGAZBEtLOEggN8t1EtehbJkEvEdthU1gWcRu5sdqL9QcN/NOEL.jpg)
TANZIA: BABA MZAZI WA MDAU BEATRICE SINGANO MALLYA AFARIKI
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-XOPcP3wzQ8g/VEYZ2Xytr3I/AAAAAAAGsIc/otP9N3qQdLw/s72-c/unnamed%2B(5).jpg)
Update ya msiba wa MAREHEMU REHEMA RAMADHANI BARAKA, mdogo wake mwenyekiti wa ASET BARAKA MSIILWA
![](http://4.bp.blogspot.com/-XOPcP3wzQ8g/VEYZ2Xytr3I/AAAAAAAGsIc/otP9N3qQdLw/s1600/unnamed%2B(5).jpg)
Ifuatayo ni update ya msiba wa mdogo wake Mwenyekiti wa African Stars Entertainment (ASET) Baraka Msiilwa, Marehemu Furaha Ramadhani Baraka, kilichotokea wikiendi iliyopita huko Ubelgiji.
Taarifa ni kwamba mwili wa Marehemu mdogo wetu Furaha unaondoka Brussels kesho usiku kwenda Zurich. Utalala Zuruch na kusafirishwa Jumatano Asubuhi kwa ndege ya shirika la Swiss Air, na unatarajiwa kuwasili Dar es salaam siku hiyo hiyo ya Jumatano mnamo saa mbili usiku
Mazishi yamepangwa kufanyika siku ya...
11 years ago
Dewji Blog14 Jul
Mdau Anthony Mark Shayo ndani ya Maracanã kushuhudia LIVE fainali za Kombe la Dunia 2014
Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya usafi iliyopewa zabuni ya kusafisha Manispaa ya Ilala Green Waste Pro Ltd. Bw. Anthony Mark Shayo akipata Ukodak ndani ya uwanja wa Maracana kwenye jiji la Rio de Janeiro, Brazil alipoenda kushuhudia LIVE fainali za kombe la Duniani 2014 kati ya Ujerumani na Argentina.
10 years ago
Uhuru Newspaper08 Apr
Dk. Mhita afariki dunia
NA MWANDISHI WETU ALIYEKUWA Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA),Dk. Mohamed Mhita, amefariki dunia. Dk. Mhita ambaye pia ni mume wa Mbunge wa Kondoa Kaskazini, Zabein Mhita, anatarajiwa kuzikwa leo baada ya kuwasili kwa mkewe, aliyeko India kwa matibabu. Akizungumza na waandishi wa habari, mtoto wa marehemu, Muhaji Mhita alisema baba yake aliugua maralia, Jumatatu alfajiri na kupelekwa hospitali, ambapo alifariki usiku. Alisema walipofika hospitali walibaini kuwa shinikizo la...