Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MCHAKAMCHAKA WA KINANA WATUA WILAYANI NGARA‏

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimuweka tone la chanjo mtoto wa miezi sita wakati wa uzinduzi wa chanjo kwa watoto.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MCHAKAMCHAKA WA KINANA WATUA WILAYANI NGARA

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimuweka tone la chanjo mtoto wa miezi sita wakati wa uzinduzi wa chanjo kwa watoto

 

10 years ago

GPL

ZIARA YA KINANA WILAYANI MULEBA‏

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akilakiwa na Mbunge wa Muleba Kusini, Prof. Anna Tibaijuka, baada ya kuwasili  Kijiji cha Kyamkwikwi, wilayani Muleba mkoani Kagera leo, kabla ya kupanda boti kwenda Kisiwa cha Bumbile wilayani Muleba, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na uhai wa Chama mkoani Kagera, jana, Juni 7, 2015.
Katibu wa NEC, Itikasi na Uenezi Nape Nnauye akimsalimia Mbunge wa Mleba...

 

9 years ago

Michuzi

MCHAKAMCHAKA WA MWIGULU NCHEMBA WATUA SIMANJIRO,KONDOA NA KITETO,CCM YAENDELEA KUUNGWA MKONO KWA KISHINDO

Mjumbe wa timu ya Ushindi ya Chama cha Mapinduzi Ndg.Mwigulu Nchemba akiwasili Jimbo la Simanjiro na kupokelewa na Mbunge mtarajiwa wa Jimbo hilo Ndg.Ole Sendeka mapema hii leo.Mwigulu Nchemba akimnadi Ole sendeka kwa wananchi wake,Kubwa ni Ujasiri wa Ole sendeka kwenye kutetea maslahi ya taifa,Ufuatiliaji wa Miradi ya maendeleo kama barabara zinazokwenda kujengwa kwa kiwango cha rami kuunganisha na mikoa inayopakana na SImanjiro.Ole Sendeka akizungumza na Wananchi wake wa kata ya Engesbert...

 

11 years ago

GPL

ZIARA YA KATIBU MKUU WA CCM, NDUGU KINANA YAKUMBANA NA CHANGAMOTO ZA BARABARA WILAYANI NKASI MKOANI RUKWA‏

 Ndugu Kinana akishiriki kuweka mawe sehemu korofi, angalau kusaidia Lori hilo pichani lililolala ndani ya msitu huo kwa siku mbili, wapite nae msafara wake uweze kuendelea na safari.
 Sehemu korofi ya Barabara ikiwekwa sawa ili lori lipite na kisha msafara nao uweze kupita, lakini hata hivyo zilitumika juhudi kubwa kuvusha msafara wa Kinana na hatimae… ...

 

11 years ago

Michuzi

KINANA AMALIZA ZIARA YAKE WILAYANI KITETO,LEO AELEKEA WILAYANI SIMANJIRO MKOANI MANYARA.

Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana akitazama sehemu maalum ya kunyweshea maji mifugo,ambayo yeye mwenyewe aliiizindua Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana akimtwisha ndoo ya maji mama wa jamii ya kimasai,mara baada ya kuzindua mradi wa maji safi na salama wenye thamani ya shilingi milioni 200 na zaidi, katika kijiji cha Ilela kata ya Esekii wilayani Kiteto mkoani Manyara.

Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana akiwasalimia wananchi mara baada ya kupokelewa katika kijiji cha Irkiushbor,wilaya ya...

 

11 years ago

Michuzi

KINANA AMALIZA ZIARA YAKE WILAYANI UYUI,KESHO KUUNGURUMA WILAYANI SIKONGE MKOANI TABORA

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa kata ya Ufuluma wilaya ya Uyui  ambapo aliwaambia wananchi hao Kilimo cha Tumbaku kiondoe umasikini na si kuongeza umasikini kwa mkulima. ======  ====== ===== Wakulima wa Tumbaku kata ya Ufuluma wamelalamikia kulazimishwa na viongozi wa vyama vya ushirika kuuza tumbaku yao katika vyama hivyo ,hata kama sio wanachama,na pia kutolipwa fedha zao kwa wakati.Kinana amewataka wakulima hao kutokukubali kusumbuliwa kuuza tumbaku yao...

 

11 years ago

Michuzi

KINANA AMALIZA ZIARA YAKE WILAYANI BABATI,KESHO KUUNGURUMA WILAYANI KITETO MKOANI MANYARA

  Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia Wananchi,katika mkutano wa hadhara wakati akihitimisha ziara yake katika wilaya ya Babati,mkoani Manyara.Mkutano huo umefanyika jioni ya leo kwenye uwanja wa Kwaraa mjini Babati,ukihudhuriwa na maelfu ya Wananchi.Ndugu Kinana akiwa ameambatana na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye,kwenye ziara ya siku saba mkoani Manyara,ya Kukagua kuhimiza na kusukuma miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwa kufuata Ilani ya Chama,kukagua...

 

10 years ago

Vijimambo

kinana wilayani ukerewe

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa Kakukuru,Ukerewe ikiwa siku ya mwisho ya ziara yake mkoani Mwanza.Katibu Mkuu amekamilisha ziara ya kutembelea majimbo yote ya Uchaguzi nchi nzima ambapo amejionea utekelezaji wa ilani ya Uchaguzi unavyooendelea pamoja na uhai wa Chama Cha Mapinduzi.Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Magessa Mulongo akihutubia wakazi wa Kakukuru wilayani Ukerewe.Wakazi wa Kakukuru ,Ukerewe wakimsikiliza Katibu Mkuu wa CCM ndugu Abdulrahman Kinana...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani