ZIARA YA KINANA WILAYANI MULEBA

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akilakiwa na Mbunge wa Muleba Kusini, Prof. Anna Tibaijuka, baada ya kuwasili Kijiji cha Kyamkwikwi, wilayani Muleba mkoani Kagera leo, kabla ya kupanda boti kwenda Kisiwa cha Bumbile wilayani Muleba, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na uhai wa Chama mkoani Kagera, jana, Juni 7, 2015. Katibu wa NEC, Itikasi na Uenezi Nape Nnauye akimsalimia Mbunge wa Mleba...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
ZIARA YA KATIBU MKUU WA CCM, NDUGU KINANA YAKUMBANA NA CHANGAMOTO ZA BARABARA WILAYANI NKASI MKOANI RUKWA
10 years ago
Vijimambo
ZIARA YA KINANA MULEBA


10 years ago
Vijimambo
ZIARA YA KINANA MULEBA, JANA JUNI 8, 2015





10 years ago
Michuzi
KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA AENDELEA NA ZIRA YAKE WILAYANI MULEBA MKOANI KAGERA.


11 years ago
Michuzi
KINANA AMALIZA ZIARA YAKE WILAYANI UYUI,KESHO KUUNGURUMA WILAYANI SIKONGE MKOANI TABORA

11 years ago
Michuzi
KINANA AMALIZA ZIARA YAKE WILAYANI BABATI,KESHO KUUNGURUMA WILAYANI KITETO MKOANI MANYARA

11 years ago
Michuzi
KINANA AMALIZA ZIARA YAKE WILAYANI KITETO,LEO AELEKEA WILAYANI SIMANJIRO MKOANI MANYARA.



10 years ago
Michuzi
KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA NA UJUMBE WAKE ATEMBELEA VISIWA VINNE WILAYANI MULEBA MKOANI KAGERA


10 years ago
Dewji Blog12 Mar
Ziara ya Kinana wilayani Bahi

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipata mapokezi makubwa mara baada ya kuwasili katika wilaya ya Bahi.
Katibu Mkuu yupo kwenye ziara ya kujenga na kukiimarisha Chama mkoani Dodoma pamoja na kukagua na kuhimiza utekelezaji wa ilayni ya uchaguzi ya CCM ya mwaka 2010.


Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dodoma Mheshimiwa Adam Kimbisa akihutubia wananchi wa kijiji cha Nguji kabla ya kumkaribisha Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana kusalimia na kushiriki uchimbaji mitaro ya...