Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ziara ya Kinana wilayani Bahi

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipata mapokezi makubwa mara baada ya kuwasili katika wilaya ya Bahi.

Katibu Mkuu yupo kwenye ziara ya kujenga na kukiimarisha Chama mkoani Dodoma pamoja na kukagua na kuhimiza utekelezaji wa ilayni ya uchaguzi ya CCM ya mwaka 2010.

Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dodoma Mheshimiwa Adam Kimbisa akihutubia wananchi wa kijiji cha Nguji kabla ya kumkaribisha Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana kusalimia na kushiriki uchimbaji mitaro ya...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

Naibu waziri Jafo abaini changamoto kadhaa Wilayani Bahi katika  ziara ya kushtukiza

Naibu waziri wa ofisi ya Rais, Tamisemi, utumishi na utawala bora Selemani Jafo jana amefanya ziara ya kushitukiza katika halmashauri ya wilaya ya bahi  na kukutana na changamoto mbalimbali zinazoikabili wilaya hiyo.

Changamoto hizo ni pamoja na kutokuwepo kwa mashine ya exray  na Ultra sound katika kituo cha zahanati ya wilaya hiyo na mfumo mbovu wa ukusanyaji mapato jambo linalosababisha mapato mengi kupotea.

Naibu waziri ofisi ya Raisi, Tamisemi,utumishi na utawala bora  Suleiman Jafo...

 

11 years ago

Michuzi

KINANA AMALIZA ZIARA YAKE WILAYANI UYUI,KESHO KUUNGURUMA WILAYANI SIKONGE MKOANI TABORA

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa kata ya Ufuluma wilaya ya Uyui  ambapo aliwaambia wananchi hao Kilimo cha Tumbaku kiondoe umasikini na si kuongeza umasikini kwa mkulima. ======  ====== ===== Wakulima wa Tumbaku kata ya Ufuluma wamelalamikia kulazimishwa na viongozi wa vyama vya ushirika kuuza tumbaku yao katika vyama hivyo ,hata kama sio wanachama,na pia kutolipwa fedha zao kwa wakati.Kinana amewataka wakulima hao kutokukubali kusumbuliwa kuuza tumbaku yao...

 

11 years ago

Michuzi

KINANA AMALIZA ZIARA YAKE WILAYANI KITETO,LEO AELEKEA WILAYANI SIMANJIRO MKOANI MANYARA.

Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana akitazama sehemu maalum ya kunyweshea maji mifugo,ambayo yeye mwenyewe aliiizindua Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana akimtwisha ndoo ya maji mama wa jamii ya kimasai,mara baada ya kuzindua mradi wa maji safi na salama wenye thamani ya shilingi milioni 200 na zaidi, katika kijiji cha Ilela kata ya Esekii wilayani Kiteto mkoani Manyara.

Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana akiwasalimia wananchi mara baada ya kupokelewa katika kijiji cha Irkiushbor,wilaya ya...

 

11 years ago

Michuzi

KINANA AMALIZA ZIARA YAKE WILAYANI BABATI,KESHO KUUNGURUMA WILAYANI KITETO MKOANI MANYARA

  Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia Wananchi,katika mkutano wa hadhara wakati akihitimisha ziara yake katika wilaya ya Babati,mkoani Manyara.Mkutano huo umefanyika jioni ya leo kwenye uwanja wa Kwaraa mjini Babati,ukihudhuriwa na maelfu ya Wananchi.Ndugu Kinana akiwa ameambatana na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye,kwenye ziara ya siku saba mkoani Manyara,ya Kukagua kuhimiza na kusukuma miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwa kufuata Ilani ya Chama,kukagua...

 

10 years ago

Michuzi

ZIARA YA KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA YAZIDI KUCHANJA MBUGA JIMBO LA BAHI,KESHO KUIVURUGA KONDOA

Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wananchi wa kijiji cha Misisi kata ya Misisi,wilayani Bahi mapema leo,mkoani Dodoma akiwa ziarani ndani ya jimbo la Bahi.
Ndugu Kinana amezungumza na wananchi hao waliokuwa wamebeba mabango na kuzuia msafara wake,kutokana na matatizo yaliyokuwapo katika kijiji hicho na kukosa ufumbuzi kwa muda mrefu.Wananchi hao walikuwa na lalamiko lao moja kubwa lililohusu shule yao ya msingi ya Msisi,ambayo madarasa yake mawili yaliezuliwa...

 

10 years ago

GPL

ZIARA YA KINANA WILAYANI MULEBA‏

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akilakiwa na Mbunge wa Muleba Kusini, Prof. Anna Tibaijuka, baada ya kuwasili  Kijiji cha Kyamkwikwi, wilayani Muleba mkoani Kagera leo, kabla ya kupanda boti kwenda Kisiwa cha Bumbile wilayani Muleba, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na uhai wa Chama mkoani Kagera, jana, Juni 7, 2015.
Katibu wa NEC, Itikasi na Uenezi Nape Nnauye akimsalimia Mbunge wa Mleba...

 

10 years ago

Dewji Blog

Ziara ya Kinana katika jimbo la Sumve wilayani Kwimba

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipata maelezo juu ya usindikaji wa alizeti kwenye kikundi cha ujasiriamali cha KIBUKU kilichopo kata ya Lyoma ,jimbo la Sumve wilaya ya Kwimba.

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimia wananchi wa kata ya Lyoma mara baada ya kujionea maendeleo ya kikundi cha Ujasiriamali kinachojishughulisha na usindikaji wa Alizeti.

 Wananchi wa Kata ya malya wakionyesha Bango kubwa lenye ujumbe kwa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kinana katika ziara yake wilayani Mbogwe mkoa wa Geita

????????????????????????????????????

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana na Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM kushoto wakipokelewa na mganga mkuu wa kituo cha afya cha Masumbwe wilayani Mbogwe Katibu Mkuu huyo alipokagua kituo hicho na kuwasha umeme wa REA kituoni hapo akiwa katika ziara ya kikazi wilayani humo yenye lengo la kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya Mwaka 2010-2015 inayotekelezwa na serikali, Kulia ni Dr. John Mgosha Mganga Mkuu wa kituo hicho.(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani