Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mchezaji wa kwanza wa Togo, Sochi

Macho yote yataelekezwa mjini Sochi nchini Urusi leo hii wakati ambapo Togo itawakilishwa katika michezo ya Olimpiki ya msimu wa baridi kwa mara ya kwanza.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Wenger athibitisha kusajili mchezaji ndani ya siku 10 zijazo, jina la mchezaji anayesajiliwa lipo hapa

Arsene 22

Na Rabi Hume, Modewjiblog

Vinara wa msimamo wa Ligi Kuu ya Uingereza, Arsenal wanatarajia kufanya usajili mpya katika kikosi chao ndani ya siku 10, kocha Arsene Wenger (pichani) kathibitisha.

Akizungumza na waandishi wa habari baada ya mchezo wa ligi kuu dhidi ya Newcastle ambao Arsenal iliibuka na ushindi wa goli 1 kwa bila, Wenger alisema anategemea kusajili mchezaji mpya ndani ya siku 10 zinazokuja.

“Ninatumai ndani ya siku 10 zijazo tunaweza kufanya jambo,” Wenger aliwaambia waandishi...

 

9 years ago

Michuzi

MCHEZAJI WA STAND UNITED AKABIDHIWA KITITA CHAKE KWA KUIBUKA MCHEZAJI BORA WA MWEZI OKTOBA WA LIGI KUU YA VODACOM TANZANIA BARA

Elias Maguli Mchezaji wa timu ya Stand United, amekabidhiwa hundi yake yenye thamani ya shilingi Milioni 1/= na wadhamni wakuu wa Ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara(Vodacom Tanzania) kwa kuibuka mchezaji bora wa mwezi Oktoba wa Ligi hiyo.
Mchezaji huyo alikabidhiwa hundi hiyo wakati wa mazoezi yaliyokuwa yanafanywa na timu yake katika viwanja vya JKM Park ya kujiandaa na mchezo dhidi ya Yanga hapo kesho.Ofisa Udhamini na Matukio wa Vodacom Tanzania,Ibrahim Kaude(kushoto)akimkabidhi Mchezaji...

 

11 years ago

BBCSwahili

Urusi watawala Olimpiki Sochi

Michezo ya Olimpiki ya msimu wa baridi yalikamilika usiku wa kuamkia leo mjini Sochi Urusi .

 

11 years ago

BBCSwahili

Michezo ya Sochi yaanza Rasmi

Rais Vladmir Putin wa Urusi afungua rasmi mashindano ya olimpiki ya msimu wa baridi katika mji wa utalii wa Socchi.

 

11 years ago

BBCSwahili

Michezo ya Olimpiki yaanza Sochi

Mashindano ya Olimpiki ya msimu wa baridi huko Sochi yaanza licha ya vitisho vya mashambulizi

 

11 years ago

BBCSwahili

Urusi watawala Olimpiki Sochi

Urusi imeibuka washindi wa kwanza katika michezo ya Olimpiki ya majira ya baridi, iliyofanyika katika mji wa Sochi

 

11 years ago

BBCSwahili

Medali zaanza kunyakuliwa Olimpiki Sochi

Wanariadha wa Marekani na Norway wamekuwa wa kwanza kunyakua medali za dhahabu kwa upande wa wanaume na wanawake

 

11 years ago

BBCSwahili

Karibu Sochi kwenye michezo ya barafu

Mashindano yaliyo gharimu Kitita kikubwa zaidi katika historia ya Olimpiki yatafunguliwa Urusi leo huku medali 98 ziking'ang'aniwa katika siku kumi na sita.

 

11 years ago

Michuzi

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani