Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mchungaji FPCT Tanzania ataka uchaguzi huru na wa haki

2

Jengo la kanisa la Free Pentekoste (FPCT) Tanzania tawi la Singida mjini.

Na Nathaniel Limu, Singida

MCHUNGAJI wa Kanisa la Free Pentekoste (FPCT) Tanzania tawi la Mbeya, Ezekiel Kupase,amesema anatamani Rais ajaye awe mkali kidogo na mwenye maaumuzi stahiki yenye lengo la kurejesha maadili, uaminifu, kuondoa ubinafsi na utii wa sheria bila shurti miongoni  mwa viongozi  Serikalini.

Mchungaji Kupase aliyasema hayo wakati akihubiri kwenye ibada ya kawaida iliyohudhuriwa na waumini wa kanisa...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

Tanzania: Uchaguzi wa mwaka huu utakuwa huru na wa haki, hatukiuki haki za binaadamu ni propaganda tu



Serikali ya Tanzania kupitia Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Profesa Palamagamba Kabudi imeihakikishia dunia kwamba uchaguzi mkuu ujao, utakuwa huru na wa haki.

Kabudi ameyasema hayo kwenye hafla ya kukaribisha mwaka mpya ambapo amekariri ahadi ya Rais John Pombe Magufuli wa nchi hiyo aliyoitoa akizihakikishia jumuiya za kimataifa kuhusiana na suala hilo. Akizungumza na mabalozi na wawakilishi wa taasisi za kimataifa jijini Dar es Salaam Kabudi amesema:  “Mwaka huu...

 

5 years ago

Michuzi

TANZANIA YAIHAKIKISHIA JUMUIYA YA KIMATAIFA UCHAGUZI HURU NA WA HAKI

Tanzania imesema hatua zote ambazo zimechukuliwa na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kufanya mabadiliko katika sheria za vyama vya siasa,sheria ya mashirika yasiyo ya kiserikali na ile ya vyombo vya habari ina lengo la kuimarisha uwajibikaji na uwazi pamoja na kuhakiskisha misingi na tunu za Taifa zinaheshimiwa na kuendelezwa.
Akihutubia katika Kikao cha 43 cha Baraza la haki za binadamu la Umoja wa Mataifa linaloendelea Geneva nchini Uswisi Waziri wa Mambo ya Nje na...

 

9 years ago

Habarileo

Shein aahidi uchaguzi huru na wa haki

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Mohamed Shein amesisitiza kuwa uchaguzi unaofanyika leo utakuwa huru, haki na wenye utulivu na kuwahakikishia washirika wa maendeleo, likiwemo Shirika la Misaada la Uingereza (DFID) kuwa Zanzibar itaendelea kuwa na amani kwani ndio msingi wa maendeleo.

 

5 years ago

CHADEMA Blog

10 years ago

Habarileo

‘Uchaguzi Mkuu kuwa huru, haki’

SERIKALI imewahakikishia Watanzania kuwa, Uchaguzi Mkuu wa Oktoba utakuwa huru na wa haki, kwa sababu imejipanga kuhakikisha sheria, kanuni na taratibu za kupiga kura zinawekwa wazi na kufuatwa na kila mtu.

 

9 years ago

StarTV

Serikali yasema uchaguzi utakuwa huru na haki

Serikali imesema itahakikisha Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu unakuwa huru na wa haki ili kuwawezesha Watanzania kuitumia vyema haki yao ya kidemokrasia kwa kuchagua viongozi wanaowataka.

Makamu wa Rais Dokta Mohammed Gharib Bilal amesema Serikali haitakubali kuona uchaguzi wa mwaka huu unakuwa chanzo cha kuvurugika kwa amani ya nchi hivyo itahakikisha unafanyika kwa amani na utulivu kote nchini.

 

Makamu wa Rais, Dokta Mohammed Gharib Bilal, amewatoa hofu watanzania katika ibada ya kumweka...

 

10 years ago

Habarileo

Balozi Iddi: Uchaguzi utakuwa huru, haki

Balozi Seif Ali IddiMAKAMU wa Pili wa Rais, Balozi Seif Ali Iddi amewahakikishia wananchi kwamba uchaguzi mkuu utafanyika katika mazingira ya amani na utulivu na kuwataka wazazi kuwadhibiti vijana wao kutojiingiza katika vurugu.

 

9 years ago

Mwananchi

Sumaye: Uchaguzi ukiwa huru na haki Ukawa watashinda

Waziri Mkuu Mstaafu wa awamu ya tatu, Fedrick Sumaye amesema kama Uchaguzi Mkuu wa Oktoba utakuwa huru na haki, basi umoja wa vyama vinavyounda Ukawa watashinda na kuingia madarakani.

 

9 years ago

Mwananchi

Lubuva: Uchaguzi huru na haki si jukumu la NEC pekee

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jaji Mstaafu Damian Lubuva amesema uchaguzi kuwa huru na haki, siyo jukumu la NEC pekee, bali wadau mbalimbali.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani