Mchungaji Rwakatare aivimbia Serikali
Baada ya nyumba yake kuwekewa alama ya kutakiwa kubomolewa muda wowote kuanzia Januari 6, Mchungaji wa Kanisa la Assemblies of God, Dk Getrude Rwakatare ameitaka Serikali itii uamuzi wa Mahakama Kuu wa kuzuia ubomoaji.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo08 Aug
Nyumba za Mchungaji Rwakatare zabomolewa
WIZARA ya Ardhi, Nyumba na Makazi jana imebomoa nyumba nne zilizojengwa ndani ya kiwanja namba 314 zilichopo eneo la Mbezi Beach, jijini Dar es Salaam zinazomilikiwa na Mchungaji Getrude Rwakatare kwa tuhuma kuwa alivamia eneo hilo.
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-5CkFr_2p47M/Xp0_Iz6psDI/AAAAAAAAyPA/OuHdiQcGabEfiEIoDbW_0mhw42ve2SnYwCLcBGAsYHQ/s72-c/Bishop-Dr.Gertrude-Rwakatare-habari-Njema.jpg)
BREAKING NEWS: MCHUNGAJI MAMA GERTRUDE RWAKATARE AFARIKI DUNIA
![](https://1.bp.blogspot.com/-5CkFr_2p47M/Xp0_Iz6psDI/AAAAAAAAyPA/OuHdiQcGabEfiEIoDbW_0mhw42ve2SnYwCLcBGAsYHQ/s400/Bishop-Dr.Gertrude-Rwakatare-habari-Njema.jpg)
Mtoto wake Muta Rwakatare amethibitisha.
Taarifa zaidi tutawaletea kadri tutakavyoendelea kupata taarifa.
10 years ago
Mtanzania04 Dec
Singasinga aivimbia Serikali
Na Kulwa Mzee, Dar es Salaam
WAKATI ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), ikionyesha Kampuni ya Power Solution Limited (PAP) ilikwepa kodi ya Sh bilioni 8.68, kampuni hiyo imekimbilia Bodi ya Rufaa ya Kodi kupinga hatua ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kuondoa hati za awali za kuthibitisha ulipaji wa kodi.
PAP ambayo inadaiwa kulipwa visivyo halali Sh bilioni 306 zilizokuwa kwenye akaunti ya Tegeta Escrow, ombi lake lilikubaliwa na bodi hiyo ambayo imemzuia kwa...
11 years ago
Tanzania Daima15 Jul
Kafulila aivimbia IPTL
SIKU moja baada ya Kampuni ya kufua umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) kueleza kuwa imemfungulia kesi ya madai ya sh bilioni 310 Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila...
10 years ago
Mwananchi09 Oct
Ndumbaro aivimbia kamati TFF makato ya asilimia tano
10 years ago
Bank Official Over Land Ownership02 Feb
MP Rwakatare sues ex
Daily News
THE Managing Director of St Mary's Junior School Limited, Rev Dr Getrude Rwakatare, has sued the ex-Managing Director of Exim Bank Tanzania Limited, Sabetha Mwambeja, over ownership of New Palm Tree Village Beach Resort and demands 14bn/- ...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/KBI*TiKs6pInKxclxfH1p8ON44P-NPu5XHDubvK3RwhJwkEExuxWUGYRPMgEjePpcV9rN-GTBiJKoNfIpdvC3azTMcsJxtOt/lwakatale.gif?width=650)
MAMA RWAKATARE AFIKISHWA POLISI
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/3WL4yNYnOoZ3FryU-T2nfYN5ItcCqFq3VQ0iaPRb-YNw4ucnDhqvAXUYVj0xNpKNIs7YMPmgQSa8oHZzI6FpciX3MjTWOPRc/lwakatale.jpg)
KESI YA MAMA RWAKATARE FAILI LAIBWA!
10 years ago
TheCitizen20 Aug
Widow wants Rwakatare jailed over ‘land grab’