Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MCHUNGAJI WA KANISA LA KISABATO KIGOMA MCH,WILBERT NFUBHUSA ATEMBELEA UBALOZI

 Mchungaji wa kanisa la kisabato Wilbert Nfubhusa atembelea ubalozi wa Tanzania Washington DC.
 Mch Wilbert Nfubhusa akiwa pamoja na ujumbe aliofuatana nao pamoja na Balozi Liberata Mulamula na afisa Swahiba Mndeme.
 Mch Wilbert Nfubhusa akipokea zawadi ya vitabu kutoka kwa Mhe balozi Liberata Mulamula .
 Mhe balozi Liberata Mulamula akipokea zawadi ya fulana kutoka kwa ndg,Shukrani Magoma kama ukumbusho wa uwepo wao.


Kuanzia kulia ni mkuu wa utawala Lily Munanka akifuatiwa na Shukrani Magoma...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

KANISA LA MCHUNGAJI JOSEPHAT GWAJIMA KAWE LATAKIWA KUVUNJWA

Mchungaji Mchungaji Josephat Gwajima Nakala ya barua kutoka kwa Meneja wa Mkoa wa Kinondoni wa NHC. KANISA la Mchungaji Josephat Gwajima  lililokuwa likiendesha shughuli katika viwanja vya Tanganyika Packers  Kawe, wilaya ya Kinondoni, jijinI Dar limeamriwa kuondoka eneo hilo. Kanisa hilo ambalo kwa muda mrefu  limekuwa likiendesha shughuli zake eneo hilo limedaiwa kusababisha usumbufu na kero kubwa za… ...

 

10 years ago

Vijimambo

KANISA LISILO RASMI LA MCHUNGAJI JOSEPHAT GWAJIMA LAVUNJWA KAWE

Kanisa la lisilo rasmi la mchungaji Mchungaji Josephat Gwajima lililokuwa likiendesha shughuli zake kinyume na taratibu katika viwanja vya Tanganyika Packers Kawe,wilaya ya Kinondoni,jiji Dar limeamuriwa kuondoka mara moja na kuwacha eneo hilo wazi kwa ajili ya maendeleo ya watu wa kawe. Kanisa hilo ambalo kwa muda mrefu lemekuwa likiendesha shughuli zake kinyume na taratibu na kusababisha usumbufu na kero kubwa za makelele kwa wakazi wa maeneo hayo. Katika Barua iliosainiwa na Meneja...

 

9 years ago

Michuzi

MAHAKAMA YA WILAYA YA ILALA IMEMUHUKUMU KIFUNGO CHA MAISHA JELA MCHUNGAJI WA KANISA LA TANZANIA

MAHAKAMA ya Wilaya ya Ilala imemuhukumu kifungo cha maisha jela Mchungaji wa Kanisa la Tanzania Assemblies of God, Athanas Ngomai (30), baada ya kupatikana na hatia ya kumbaka mtoto wake mwenye umri wa miaka 15.

Pia, mahakama hiyo imetaka mchungaji huyo amlipe fidia ya Shilingi  milioni 2 mlalamikaji ambaye ni mwanafunzi wa Shule ya Msingi Mbondole iliyoko Ukonga. 
Ilidaiwa mahakamani hapo kuwa, Ngomai alianza kumbaka mtoto huyo akiwa na umri wa miaka kumi na moja, wakati huo akisoma darasa la...

 

10 years ago

GPL

NAHODHA ATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA UMOJA WA MATAIFA

Karibu na asante kwa kuja kututembelea"  Mwakilishi  wa Kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  katika Umoja wa Mataifa, Balozi Tuvako Manongi akimkaribisha Mhe. Shamsi Vuai Nahodha ( Mb) katika  Ofisi za ubalozi wa Tanzania  Umoja wa Mataifa. Mhe. Shamsi Vuai Nahodha ( Mb) akisaini kitabu  cha  wageni  Ofisini kwa  Mwakilishi wa Kudumu Balozi Tuvako Manongi (kulia). Mhe.… ...

 

9 years ago

Michuzi

Mbaraka wa Askofu Mteule Mchungaji Kenan Salim Panja, Kanisa La Moravian Jimbo la Kusini mjini Tukuyu Leo

Msafara kutoka Usharika Tukuyu Mjini kuelekea Uwanja wa Tandale mjini Tukuyu leo katika Mbaraka wa Askofu Mteule Mchungaji Kenan Salim Panja, Kanisa La Moravia Jimbo la Kusini, Viwanja vya Michezo Tandanle mjini Tukuyu Leo Kwaya Kuu Jimbo la Kusini- Kanisa la Moravian Tanzania; Ibada ya kuwekewa Wakfu Askofu Mteule Kenan Salim Panja wa kanisa la Moravian Jimbo la Kusini uwanja wa Tandale mjini Tukuyu leo.
Picha na Mpeli Nsekela

 

10 years ago

Dewji Blog

Dkt. Bilal ahudhuria sherehe ya kuwekwa wakhfu Askofu mteule wa kanisa la African Inland Dayosisi ya Mwanza, Mchungaji Bunango

1

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na baadhi ya viongozi wa dini ya Kikristu, wakati alipowasili kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza leo, Oktoba 19, 2014, kwa ajili ya kuhudhuria sherehe za kuwekwa Wakhfu Askofu Mteule wa Kanisa la African Inland Dayosisi ya Mwanza, Mchungaji John Bunango, iliyofanyika jijini humo leo mchana.(Picha na OMR).

2

Maaskofu wakimwekea mikono ya Baraka Askofu mwenzao, Askofu Mteule wa Kanisa la African...

 

10 years ago

Vijimambo

BALOZI MPYA WA ANGOLA ATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA WASHINGTON DC.

 Mhe, balozi wa Angola Agostinho Tavares akipokelewa na afisa wa ubalozi  Swahiba Mndeme alipotembelea ubalozi .
 Mhe, balozi Liberata Mulamula akiwa na furaha baada ya mgeni wake kufika ofisini .
 Mhe balozi Liberata Mulamula kwenye picha ya pamoja na mgeni wake balozi wa Angola Agostinho Tavares.
 Mhe Balozi wa Angola nchini Marekani Agostinho Tavares akiweka sahihi  kitabu cha wageni.
 Mhe balozi wa Angola chini Marekani Agostinho Tavares akimsikiliza kwa makini mwenyeji wake balozi Liberata...

 

10 years ago

Michuzi

DR. THOMAS KASHILILAH ATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA LUSAKA ZAMBIA

Katibu Wa Bunge La Tanzania Dr. Thomas Kashililah Alikuja Kuhudhuria Mkutano Wa Chama Cha Bunge La Jumuiya Ya Madola Uliojulikana "Programme For The 3rd Commonwealth Parliamentary Association (Cpa) Africa Region Youth Parliament" Uliofanyika Mjini Lusaka Tarehe 24 Hadi 28 Agosti 2014. Katika Safari Hiyo Ya Kikazi Aliongoza Ujumbe Wa Watanzania 10 Ambao Walihudhuria Mkutano Huo. Aidha Katibu Wa Bunge Alipata Fursa Ya Kuutembelea Ubalozi Wa Tanzania Lusaka Na Kuonana Na Mhe. Balozi Grace Joan...

 

11 years ago

Michuzi

Mhe Makalla atembelea ubalozi wa Tanzania Washington DC marekani leo

Naibu Waziri wa Maji Mhe Amos Makalla akiwa na Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe Liberata Mulamula alipotembelea ubalozi wetu jijini Washington DC leo. Mhe Makalla yuko Marekani kwa ziara ya kikazi na mafunzo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani