Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mdee: Nilikonda kwa fitina

MWENYEKITI mpya wa Baraza la Wanawake la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAWACHA-Taifa), Halima Mdee, ametema cheche wakati wa kuwashukuru wajumbe waliompa kura huku akibainisha kuwa alikonda kutokana na harakati...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Raia Tanzania

Magufuli; umepatikana kwa mbinde iokoe CCM na fitina, mizengwe

KATIKA filamu ya Godfather III, kiongozi wa kundi la mafia, Don Michael Corleone, anaonekana anamwambia msaidizi wake Vicent Mancini, asiwachukie adui zake kwa sababu ‘inaathiri uwezo wa kuamua.’ Kama kuna somo ambalo tunaweza kujifunza kutoka Dodoma baada ya taifa kuishi kwa kimuhemuhe na kulazimika kukesha kwa siku mbili baadhi wakilala usingizi wa mang’amung’amu ili kujua kilichokuwa kikitokea katika vikao vya Chama Cha Mapinduzi (CCM), ni ukweli kwamba ‘wazee wa CCM’ ni wafuasi wazuri...

 

11 years ago

Dewji Blog

Makundi, Majungu, Fitina ni sumu kwa Uongozi wa CCM Zanzibar — Asema Balozi Ali Seif Idd

299

Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Balozi Seif Ali Iddi akizungumza na Viongozi wa  CCM wa Jimbo la Mgogoni  katika Tawi la CCM Magogoni akiiongoza Timu ya Wajumbe wa Barza la Wawakilishi kupitia CCM ya kuimarisha nguvu za CCM katika Mikoa mbali mbali ya Zanzibar.

281

Baadhi ya Viongozi wa Chama cha Mapinduzi Jimbo la Magogoni wakifuatilia hotuba ya Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Balozi Seif hayupo pichani aliyoitoa wakati wa ziara yake na Wawakilishi wa CCM ndani ya Jimbo hilo.(Picha na...

 

5 years ago

CHADEMA Blog

TAARIFA KUHUSU KUSHIKILIWA KWA HALIMA MDEE NA MWENDELEZO WA MANYANYASO KWA WANACHADEMA

CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA) TAARIFA KUHUSU KUSHIKILIWA KWA HALIMA MDEE NA MWENDELEZO WA MANYANYASO KWA WANACHADEMA Baada ya Jeshi la Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni kumhoji, kumshikilia na kumnyima dhamana Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake wa Chadema (BAWACHA) Halima Mdee (Mb) Chama kimewaagiza wanasheria wake kuchukua hatua zaidi za kisheria haraka iwezekanavyo, ikiwemo

 

10 years ago

Mwananchi

Mbinu za fitina hazitatupatia rais bora (3)

Vita ya makundi vimeitesa CCM kwa muda mrefu. Wakati vita vya makundi ya 2005 vinaelekea kufifia, sasa kumezuka vita vya makundi mapya ya 2015 ambavyo navyo si haba kwa fitina na kuhujumiana.

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Naibu Waziri alia kufanyiwa fitina


NA THEODOS MGOMBA, CHEMBA
RAFU katika majimbo ya uchaguzi zimeanza kuwaweka mawaziri na manaibu mawaziri roho juu, ambapo safari hii ni zamu ya Juma Nkamia.


Nkambia, ambaye ni Naibu Waziri wa Habari Vijana, Utamaduni na Michezo na Mbunge wa Chemba, amelia kufanyiwa mchezo mchafu mbele ya Katibu Mkuu wa CCM, 
Abdulrahman Kinana.
Akizungumza kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Mjiro Juu, Nkamia alisema kuna watu wanatumia picha ya Rais Jakaya Kikwete na kudai amewatuma kuwania ubunge.
Alisema...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Fitina wataka urais CCM zapamba moto

UKIWA umebaki mwaka mmoja kabla ya kuanza mchakato wa kutafuta mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), fitina na rafu miongoni mwa wanachama wanaotajwa kuwania nafasi hizo zimeanza...

 

10 years ago

Mwananchi

Vee Money azungumzia fitina katika muziki

 Mwanamuziki wa kike, Vanessa Mdee maarufu kwa jina la Vee Money, amewataka wasanii kujituma katika kazi na kuachana na fikra hasi anazoamini ni kikwazo kwa walio wengi.

 

10 years ago

Mwananchi

Viongozi acheni fitina, leteni maendeleo-Kinana

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana amewashukia viongozi wa chama hicho wilayani hapa na kuwaelezea kuwa ndio chanzo cha kushuka kwa kasi ya maendeleo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani