Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TAARIFA KUHUSU KUSHIKILIWA KWA HALIMA MDEE NA MWENDELEZO WA MANYANYASO KWA WANACHADEMA

CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA) TAARIFA KUHUSU KUSHIKILIWA KWA HALIMA MDEE NA MWENDELEZO WA MANYANYASO KWA WANACHADEMA Baada ya Jeshi la Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni kumhoji, kumshikilia na kumnyima dhamana Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake wa Chadema (BAWACHA) Halima Mdee (Mb) Chama kimewaagiza wanasheria wake kuchukua hatua zaidi za kisheria haraka iwezekanavyo, ikiwemo

CHADEMA Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

MASWALI 10 KWA MBUNGE WANGU: Halima Mdee

>Kuna michango ya fedha ambayo inaibuka mara kwa mara hasa katika kipindi hiki tunachoelekea kwenye Uchaguzi Mkuu, mfano tumechangishwa Sh 10,000 kwa ajili ya maabara, lakini juzi tena tumekuja kuchangishwa Sh 3,000 ambayo tutatakiwa kulipa kila mwezi kwa ajili ya ulinzi shirikishi hata kama una mlinzi unayemlipa, je, utatusaidiaje kudhibiti michango ya namna hiyo.

 

10 years ago

Michuzi

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KUZIMWA KWA MTAMBO WA MAJI RUVU CHINI

Dawasco inawatangazia wakazi wote wa jiji la Dar es salaam na Mji wa Bagamoyo kuwa mtambo wa kuzalisha Maji wa Ruvu Chini utazimwa kwa wastani wa saa 48  kwa siku za Ijumaa na Jumamosi ya tarehe 28 na 29 November 2014, kuanzia saa kumi na mbili asubuhi, ili kuruhusu mkandarasi (Sino-hydro Corporation ltd) kuunganisha bomba la zamani na bomba jipya (cross-connection) katika mtambo wa Ruvu Chini eneo la Mpiji, Bagamoyo na eneo la Chuo Kikuu Ardhi (Makongo Juu) 
Kuzimwa kwa mtambo wa Ruvu Chini...

 

10 years ago

Mwananchi

Saccos hazijapunguza manyanyaso ya riba kwa wajasiriamali wadogo

Maisha bora kwa kila Mtanzania yanawezekana. Ni kauli iliyokuwa na dhamira njema ya kuwakomboa Watanzania katika dimbwi la umaskini kupitia fursa mbalimbali za ajira na kujiajiri.

 

10 years ago

Mtanzania

Mwaka 2015 mwisho wa manyanyaso kwa waandishi-Kibanda

Na Ramadhan Libenanga, Morogoro
MWENYEKITI wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Absalom Kibanda, amesema mwaka 2015 unahitimisha vitendo vya ukatili na manyanyaso kwa waandishi wa habari nchini.
Kauli hiyo ameitoa jana mjini hapa katika Kongamano la Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari duniani, ambalo liliwashirikisha wadau wa sekta hiyo.
Kibanda, alisema katika kipindi cha uongozi wa Serikali ya awamu ya nne, sekta ya habari nchini imeshuhudia kuibuka na kushamiri kwa vitendo vya kikatili...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani