Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwaka 2015 mwisho wa manyanyaso kwa waandishi-Kibanda

Na Ramadhan Libenanga, Morogoro
MWENYEKITI wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Absalom Kibanda, amesema mwaka 2015 unahitimisha vitendo vya ukatili na manyanyaso kwa waandishi wa habari nchini.
Kauli hiyo ameitoa jana mjini hapa katika Kongamano la Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari duniani, ambalo liliwashirikisha wadau wa sekta hiyo.
Kibanda, alisema katika kipindi cha uongozi wa Serikali ya awamu ya nne, sekta ya habari nchini imeshuhudia kuibuka na kushamiri kwa vitendo vya kikatili...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MAZOEZI YA MWISHO YA MAANDALIZI YA UZINDUZI WA MBIO ZA MWENGE WA UHURU KWA MWAKA 2015 MJINI SONGEA

3Waziri wa Habari , Vijana , Utamaduni na Michezo Mheshimiwa Dkt. Fenella Mukangara (katikati)akishaurina na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Said Mwambungu(kushotoi) na Waziri wa Uwezeshaji , Ustawi wa Jamii , Vijana ,wanawake na Watoto wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Zainabu Omary Mohamed(kulia) leo mjini Songea wakati wa mazoezi ya mwisho ya maandalizi ya uzinduzi wa mbio za Mwenge wa Uhuru kwa mwaka 2015, utakaozinduliwa tarehe 29.4.2015 na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la...

 

9 years ago

Michuzi

HOTUBA YA MHESHIMIWA PROF. MAKAME M. MBARAWA (MB), WAZIRI WA MAWASILIANO, SAYANSI NA TEKNOLOJIA KWA WAANDISHI WA HABARI YA KUTANGAZA RASMI KUANZA KUTUMIKA KWA SHERIA YA MAKOSA YA MTANDAO NA YA MIAMALA YA KIELEKTRONIKI ZA MWAKA 2015 KWENYE UKUMBI WA MIKUTA

 Ndugu Wandishi wa Habari, 
Mabibi na Mabwana,

Napenda nichukue fursa hii kuwashukuru nyote hasa waandishi wa habari kwa kutenga muda wenu na kujumuika nasi kwa lengo la kutangaza rasmi kuanza kutumika kwa Sheria ya Makosa ya Mtandao, 2015 ambayo ilitangazwa kwenye gazeti la Serikali  la tarehe 14/08/2015 na kupewa Na. 328. Pia Sheria ya Miamala ya Kielektroniki, 2015 ambayo  ilitangazwa kwenye Gazeti la Serikali la tarehe hiyo hiyo na kupewa Na.329.


Ndugu Wananchi,

Teknolojia ya Habari na...

 

11 years ago

Habarileo

Kibanda: Yapigieni kelele matukio ya waandishi

MWENYEKITI wa Jukwaa la Wahariri (TEF), Absalom Kibanda ametoa mwito kwa waandishi wa habari nchini, kuyapa uzito matukio yanayowatokea waandishi wa habari na kuyapigia kelele kwa nguvu zote ili kuyakomesha.

 

5 years ago

CHADEMA Blog

TAARIFA KUHUSU KUSHIKILIWA KWA HALIMA MDEE NA MWENDELEZO WA MANYANYASO KWA WANACHADEMA

CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA) TAARIFA KUHUSU KUSHIKILIWA KWA HALIMA MDEE NA MWENDELEZO WA MANYANYASO KWA WANACHADEMA Baada ya Jeshi la Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni kumhoji, kumshikilia na kumnyima dhamana Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake wa Chadema (BAWACHA) Halima Mdee (Mb) Chama kimewaagiza wanasheria wake kuchukua hatua zaidi za kisheria haraka iwezekanavyo, ikiwemo

 

9 years ago

MillardAyo

Kabla ya kuuanza mwaka mpya, kutana na video ya matukio ya soka ya kuchekesha kwa mwaka 2015 …

Mtu wangu wa nguvu najua tunaelekea kuuaga mwaka 2015 na kuingia mwaka mpya 2016. Kaabla ya kumalizika mwaka 2015 naomba nikusogezee video ya matukio ya kuchekesha katika soka yaliyotokea kwa mwaka 2015. Katika hii video kuna matukio ya Pep Guardiola na Frank Ribery. Jamaa kumbiss Zlatan Ibrahimovic. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka […]

The post Kabla ya kuuanza mwaka mpya, kutana na video ya matukio ya soka ya kuchekesha kwa mwaka 2015 … appeared first on...

 

10 years ago

Mwananchi

Saccos hazijapunguza manyanyaso ya riba kwa wajasiriamali wadogo

Maisha bora kwa kila Mtanzania yanawezekana. Ni kauli iliyokuwa na dhamira njema ya kuwakomboa Watanzania katika dimbwi la umaskini kupitia fursa mbalimbali za ajira na kujiajiri.

 

11 years ago

Mwananchi

Mipango mizuri mwisho wa mwaka, huanza vyema mwanzo wa mwaka

MWANZO wa kila mwaka ni muda mwafaka wa kutafakari katika nafasi ya mtu mmoja, familia na nchi nzima tumetekeleza vipi mipango na mikakati tuliyokuwa nayo, wapi tumeteleza, nini tulichoshindwa na kupata tathmini nzima ya utekelezaji wetu.

 

10 years ago

Mwananchi

Mwaka wa uchaguzi,Kikwete atoa salamu za mwisho za mwaka

>Mwaka wa uchaguzi umeingia. Usiku wa kuamkia leo, Watanzania wameupokea mwaka mpya 2015 huku tafakari kubwa ikiwa ni matukio makubwa yatakayotokea mwaka huu, ukiwamo Uchaguzi Mkuu na kura ya maoni ya Katiba Inayopendekezwa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani