Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kibanda: Yapigieni kelele matukio ya waandishi

MWENYEKITI wa Jukwaa la Wahariri (TEF), Absalom Kibanda ametoa mwito kwa waandishi wa habari nchini, kuyapa uzito matukio yanayowatokea waandishi wa habari na kuyapigia kelele kwa nguvu zote ili kuyakomesha.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Mwaka 2015 mwisho wa manyanyaso kwa waandishi-Kibanda

Na Ramadhan Libenanga, Morogoro
MWENYEKITI wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Absalom Kibanda, amesema mwaka 2015 unahitimisha vitendo vya ukatili na manyanyaso kwa waandishi wa habari nchini.
Kauli hiyo ameitoa jana mjini hapa katika Kongamano la Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari duniani, ambalo liliwashirikisha wadau wa sekta hiyo.
Kibanda, alisema katika kipindi cha uongozi wa Serikali ya awamu ya nne, sekta ya habari nchini imeshuhudia kuibuka na kushamiri kwa vitendo vya kikatili...

 

9 years ago

Michuzi

UNESCO YAELEZEA MATUKIO YA WAANDISHI WA HABARI TAKRIBAN 700 KUUAWA

SHIRIKA la kimataifa la Sayansi, Elimu na Utamaduni (UNESCO) limeeleza kuwa waandishi wa habari takriban 700 wameuawa katika kipindi cha miaka 10, huku zikionyesha wastani kuwa kila baada ya wiki moja mwandishi mmoja anauawa duniani.
Pia ilisema kwa mujibu wa ripoti ya waandishi wasio na mipaka kuhusu matukio ya uhuru wa waandishi wa habari, Tanzania imeshuka kwa nafasi sita ambapo hapo nyuma ilikuwa nafasi ya 69 kati ya nchi 180 kati ya mwaka 2006 mpaka 2014, lakini kwa mwaka 2015 ipo...

 

11 years ago

GPL

ATEMBEA AKIPIGA KELELE KARIAKOO

Mwanamke huyo akiwa na boksi, huku akila wakati akikatiza mitaa ya Kariakoo (Pembeni ni wapita njia).
Akiwa kabeba boksi, juu lina  samaki wadogo, kitunguu na kipande cha chungwa.
Hapa akikatiza mitaani …

 

11 years ago

Habarileo

Kelele za baa, klabu kudhibitiwa

OFISI ya Makamu wa Rais (Mazingira), imetunga kanuni ya kudhibiti kelele na mitetemo kutoka kwa waendeshaji wa klabu za usiku, baa, matangazo ya wanaozunguka barabarani na hata mahubiri katika maeneo ya ibada.

 

10 years ago

Habarileo

Nape- Wapinzani acheni kelele

KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye ametaka vyama vya upinzani kuacha kupiga kelele na kuandamanisha watu na badala yake wakutane kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa ujao.

 

10 years ago

Mwananchi

Tuachie kelele, umejilostisha mwenyewe kitaani

Risechi yangu ya kimtindo ambayo niliifanya kitaa longtaimu wakati natumwa tumwa na washkaji kupeleka vibarua kwa mademu au samtaimz kuzama kicheni kuwasha fegi, nimeshtukia kwamba mimi siyo mtu wa kuambukizwa mambo kibwege.

 

11 years ago

Mwananchi

Inabidi tuyapigie kelele haya makelele

Maisha yameshakuwa kelele tupu na kimya imeshakuwa bidhaa adimu hasa katika maeneo ya mijini.

 

10 years ago

Mwananchi

Kelele za harusi zaua mtu D’Salaam

>Katika hali isiyokuwa ya kawaida, mwanamume mmoja amewafyatulia risasi watu wawili na kusababisha kifo cha mmoja kwa kile kinachodaiwa kumletea usumbufu wakati wa mkesha wa harusi.

 

10 years ago

Michuzi

KAMATI YA HARAMBEE KUWASAIDIA WAANDISHI WA HABARI YAKABIDHI MILIONI 20 KWA WAANDISHI WENYE MAHITAJI YA MATIBABU

 Mwenyekiti wa Kamati ya Harambee ya Kuwasaidia waandishi wanaougua maradhi mbali mbali, Bw. Benjamin Thompson akifafanua jambo mbele ya Waandishi wa habari (hawapo pichani), ndani ya Idara ya Habari MAELEZO,mapema leo jijini Dar kuhusiana na matokeo ya harambee ya Media Car Wash for Cancer Campaign, inayoendelea nchini.  Mwenyekiti wa Kamati ya Harambee ya Kuwasaidia waandishi wanaougua maradhi mbali mbali, Bw. Benjamin Thompson akifafanua jambo mbele ya Waandishi wa habari (hawapo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani