Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mechi ya Yanga, Big Bullets yaota mbawa

Mechi ya Yanga na Big Bullets imeota mbawa baada ya timu hiyo ya Malawi kushindwa kutokea na juhudi zilikuwa zikifanyika kuitafutian Yanga mchezo mwingine.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Redd’s Miss Iringa 2014 yaota mbawa

KINYANG’ANYIRO cha kumsaka mlimbwende wa Mkoa wa Iringa, ‘Redd’s Miss Iringa 2014’ kilichotakiwa kufanyika jana, kimeota mbawa baada ya aliyekuwa mratibu na muandaaji wa shindano hilo mwaka huu kutoweka katika...

 

10 years ago

Vijimambo

MECHI 15 LANGONI AKIWA YANGA NA KARUHUSU GOLI 10 YANGA YA SEMA NENDA KASEJA







YANGA SC imetangaza rasmi kuachana na mlinda mlango Juma Kaseja, iliyemsajili kwa Sh. Milioni 40 Novemba 8, mwaka juzi.Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano ya Yanga SC, Jerry Muro amewaambia Waandishi wa Habari leo katika hoteli ya Zanzibar Ocean View visiwani hapa kwamba, hatua hiyo imefikiwa baada ya mchezaji huyo kuanza kujiengua katika timu.“Tumefikia uamuzi wa kuachana na Kaseja, baada ya yeye mwenyewe kuanza kujiengua katika timu,”amesema MuroMwishoni mwa mwaka jana, Kaseja...

 

10 years ago

Michuzi

MECHI YA YANGA NA BDF XI FC YA BOTSWANA INAPIGWA HIVI SASA UWANJA WA TAIFA,YANGA INAONGOZA KWA BAO 2-0

 Mchezaji wa timu ya Yanga,Mrisho Khalfan Ngassa akiwania mpira na Mchezaji wa timu ya BDF XI FC ya nchini Botswana wakati wa mchezo wa Kombe la Shirikisho Barani Afrika unaopigwa hivi sasa kwenye uwanja wa Taifa jini Dar es salaam.Yanga inaongoza kwa bao 2 - 0 zilizotiwa kimiani na Mshambuliaji Hamis Tambwe. PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZI Golikipa wa timu ya BDF XI FC ya nchini Botswana akiondosha hatari iliyokuwa ikielekezwa langoni mwake wakati wa Mchezo wa Kombe la Shirikisho Barani Afrika...

 

10 years ago

Bongo Movies

Hiki ndicho Walichohaidiana JB na Ray Kigosi leo kabla ya mechi ya Simba na Yanga. JB ni SIMBA, Ray ni YANGA.

Huku tukisubiria kwa hamu sana ile mechi ya NANI MTANI JEMBE kati ya YANGA na SIMBA, Jacob Steven – JB mshabiki namba moya wa SIMBA SPORTS CLUB na VICENT KIGOSI – Ray, shabiki namba moja wa YANGA wamekubaliana haya yafuatayo.

Endapo timu moja SIMBA itafungwa, basi JB atavaa jezi ya YANGA na kumpa RAY pesa za kitanzania TSHS. MILLIONI MOJA (1) CASH na ikiwa YANGA itafungwa, basi RAY atavaa jezi ya SIMBA na kumpa JB pesa hiyo hiyo MILLIONI MOJA (1) CASH.

Unahisi nani ataibuka kidedea...

 

10 years ago

Vijimambo

11 years ago

GPL

MECHI YA WABUNGE: YANGA 1, SIMBA 1

Mechi ya wabunge mashabiki wa Simba na Yanga inaendelea katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam kwenye Tamasha la Usiku wa Matumaini 2014. Mpaka sasa Yanga wanaongoza kwa bao 1-0 lililofungwa na Ahmed Ngwali katika kipindi cha kwanza. Mfungaji wa bao la Yanga akishangilia. …

 

9 years ago

Mtanzania

Mechi za AFCON kuibeba Yanga

PluijmNA JUDITH PETER, DAR ES SALAAM

KOCHA Mkuu wa Yanga Mholanzi, Hans van der Pluijm, amesema wachezaji waliokwenda kuzichezea timu zao za taifa wanapaswa kuelewa majukumu yao, ili waweze kunufaika na uzoefu wanaopata kwenye michuano ya Afrika.

Wachezaji 11 wa mabingwa hao wa Ligi Kuu Tanzania Bara, wameitwa kuzichezea timu zao za taifa katika mechi za kuwania kufuzu kwa fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika zitakazofanyika mwaka 2017, nchini Gabon.

Yanga iliwahi kuwakatalia nyota wake walioitwa...

 

9 years ago

Mtanzania

Pluijm agomea mechi Yanga

JO6A1062NA JUDITH PETER, DAR ES SALAAM

KOCHA Mkuu wa Yanga, Hans van der Pluijm, raia wa Uholanzi, amegoma kucheza mechi za kirafiki kwa ajili ya kujipima nguvu hadi nyota wake watakaporejea kutoka kwenye timu zao za Taifa ambazo wamekwenda kuzichezea.

Kocha huyo, ambaye hajafungwa mechi hata moja ya kirafiki, inawezekana hataki kuivuruga rekodi hiyo kutokana na kuwakosa nyota hao, ambao wamekuwa chachu ya ushindi kwenye kikosi hicho ambacho kilitwaa ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania msimu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani