Meek Mill kufanya alichokifanya Magufuli siku ya Uhuru
Meek Mill ameamriwa kufanya kazi za jamii kama vile kusafisha barabara na kazi zingine siku ya mkesha wa mwaka mpya.
Kutokana na amri hiyo, Meek atakosa show aliyokuwa afanye na mpenzi wake Nicki Minaj jijini Las Vegas. Tayari ametolewa kwenye matangazo ya show hiyo.
Mapema mwezi huu, Meek Mill alipatikana na hatia ya kukiuka masharti ya probation yaliyotokana na kesi yake ya mwaka 2008 ya kumiliki bunduki.
Ameamriwa kubakia Philadelphia hadi February 5 itakaposomwa hukumu yake.
Jiunge na...
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziBREAKING NYUZZZZ....: RAIS MAGUFULI ATANGAZA SIKU YA UHURU KUWA SIKU YA KUFANYA KAZI
Kwamba maadhimisho ya Uhuru ya mwaka huu (2015) yatatumika kama kichocheo cha kujenga tabia ya kufanya kazi...
9 years ago
MichuziMKOA WA DODOMA WAANZA KUTEKELEZA AGIZO LA RAIS MAGUFULI LA KUFANYA USAFI SIKU YA UHURU 9 DISEMBA, 2015
Uongozi wa Mkoa umeamua kuanza mapema zoezi la ufanyaji usafi pasipo kusubiri tarehe 9 Disemba na umepanga kuwa zoezi hilo litakuwa endelevu...
9 years ago
MichuziAirtel waunga mkono tamko la Rais Dkt.Magufuli la kufanya usafi kama siku ya maadhimisho ya miaka 54 ya uhuru wa Tanzania
Baadhi ya Wafanyakazi wa Airtel mkoani Songea wakifanya usafi leo katika hospitali ya wilaya ya Nzega Ikiwa ni kuitikia wito wa Rais Dkt. John Pombe Magufuli wa kutangaza siku ya 9 Desemba itumike kufanya usafi maeneo mbalimbali hapa nchini.
9 years ago
Bongo510 Dec
Meek Mill kurudi tena jela?
Huenda furaha ya Meek Mill kumchumbia mpenzi wake Nicki Minaj ikaingia dosari Jumanne ijayo atakapopanda kizimbani huko Philadelphia.
Mtandao wa Page Six umedai kuwa Mill atapanda kizimbani kwenye kesi kuhusu masharti ya kusafiri.
Chanzo kimeiambia Page Six kuwa akilemaa anaweza kurudi tena jela.
Mwaka jana msanii huyo alilazimika kusitisha show zake baada ya kuhukumiwa kifungo cha miezi sita jela kwa kukiuka masharti ya probation.
Awali Mill alipewa probation ya miaka mitano mwaka 2009...
10 years ago
Africanjam.Com9 years ago
Bongo505 Sep
Music: Meek Mill — ‘Preach (Remix)’
10 years ago
Bongo509 Jun
New Video: Davido Ft Meek Mill — Fans Mi
10 years ago
GPLMEEK MILL AKANA KUMUIBA NICKI MINAJ