Meli yazama, 13 wahofiwa kufa
Kamanda wa Polisi mkoani Kigoma, Jafari Mohamed.
Watu 13 wanasadikiwa kufa maji katika Ziwa Tanganyika, baada ya meli ya Mv Mbaga kuzama katika ziwa hilo usiku wa kuamkia Jumapili.
Tukio hilo lilitokea katika kijiji cha Kala, kilichopo mkoani Rukwa wakati meli hiyo ikitokea Mpulungu, Zambia kuelekea Burundi.
Mwakilishi wa meli hiyo mkoani Kigoma, Juliana Zakenda, alisema meli hiyo ilikuwa imebeba wafanyakazi 14 na tani 437 za mahindi.
Alisema kati ya wafanyakazi hao, ni mmoja tu alieokolewa ...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili02 Apr
Meli ya uvuvi ya Urusi yazama
11 years ago
GPLMELI YA MIZIGO MV MERCI II YAZAMA KILWA MASOKO
10 years ago
Habarileo12 Jan
7 wahofiwa kufa maji Kigoma
WATU saba wanahofiwa kufa maji na wengine 49 wameokolewa kutokana baada ya boti waliyokuwa wakisafiria kukumbwa na dhoruba katika eneo la vijiji vya mwambao wa kusini wa Ziwa Tanganyika.
11 years ago
Mwananchi03 Jun
Wawili wahofiwa kufa Tamasha la E. FM
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/rWr07F5d70uFBCAEekLv7awgoVQQfivl61jCvobbp95qm4HzEhNnTZ0AiVQW2krSioY0oqqy7sa52xPvDXVayMUkGXVZmnFT/CHINA2.jpg?width=650)
MELI ILIYOKUWA NA WATU ZAIDI YA 450 YAZAMA NCHINI CHINA
9 years ago
BBCSwahili28 Aug
Mamia wahofiwa kufa maji Libya
10 years ago
BBCSwahili19 Apr
Mamia ya wahamiaji wahofiwa kufa maji
11 years ago
Tanzania Daima01 Apr
Wakulima saba wahofiwa kufa maji
WAKULIMA saba wanahofiwa kufa maji baada ya mtumbwi waliokuwa wakisafiria kutoka Utete kuelekea Mkongo kupigwa wimbi na kugonga boti kisha kupinduka. Ajali hiyo ilitokea juzi saa 11 jioni katika Kivuko...
10 years ago
Mtanzania08 May
Dar yazama
Jonas Mushi na Hadia Hamisi, Dar es Salaam
MVUA kubwa iliyonyesha tangu juzi imesababisha maafa makubwa katika Jiji la Dar es Salaam, huku watu wawili wakipoteza maisha baada ya kuzidiwa na maji katika maeneo tofauti jana.
Mbali ya vifo hivyo, wakazi wengi wa jiji hilo wameachwa bila makazi kutokana na nyumba zao kujaa maji.
Akizungumza na MTANZANIA jana, Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Kamishna Suleiman Kova alisema mvua hiyo imesababisha kifo cha mtu mmoja katika eneo la...