Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Memorial Day 2015: Taswira mbalimbali za Mamia ya wananchi walivyohudhuria gwaride kitaifa kwa ajili ya mashujaa wa Marekani

Joe Mantegna na Gary Sinise  kwenye gari la Pili kushoto wakiwa katika ufunguzi wa Sherehe za National Memorial Day Parade Siku ya Jumatatu May 25, 2015 Jijini Washington DC. (Picha zote na Swahilivilla.Blog) Kushoto: Joe Mantegna akiwa katika mwendo wa National Memorial Day Parade Siku ya Jumatatu May 25, 2015 katika barabara ya Pennsylvania Avenue Jijini Washington DC  Mmoja katika ya wageni rasmi katika Parade 2015 Chef Robert Irvine pia alikuepo katika National Memorial Day Parade...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Memorial Day 2015: Taswira mbalimbali za Mamia ya wananchi walivyohudhuria gwaride kitaifa kwaajili ya mashujaa wa Marekan

Joe Mantegna na Gary Sinise  kwenye gari la Pili kushoto wakiwa katika ufunguzi wa Sherehe za National Memorial Day Parade Siku ya Jumatatu May 25, 2015 Jijini Washington DC. (Picha zote na Swahilivilla.Blog)Cheif wa Swahilivilla Abou Shatry  Swahilivilla akisalimiana  na kamanda wa Naval Wilaya Washington DC,  Adm. Markham K. Rich, baada ya  gwaride la kitaifa kwaajili kuwapongeza mashujaa wa Marekani  Cheif wa Swahilivilla Abou Shatry alipoungana na Mamia ya wananchi waliokusanyika katika...

 

10 years ago

Vijimambo

TASWIRA MBALIMBALI MKUTANO WA JIONI WA WASABATO WATANZANIA WAISHIO NCHINI MAREKANI


Mchungaji Geoffrey Mbwana ambaye pia ni makamu wa Rais wa Wasabato Duniani akielezea hali ya kanisa lilivyo leo huku pia akiongoza kuimbisha nyimbo mbalimbali kwenye mkutano mkubwa wa neno la Mungu wa Wasabato Watanzania waishio nchini Marekani uliofanyika mida ya jioni siku ya Jumamosi April 18, 2015 Silver Spring, Maryland.
Mchungaji Celeb Migomvbo akielezea somo la wanandoa na vitu gani vya kuepeka vinavyosababisha kuvunja mahusiano ya wapendanao.
Maliyatabu mmoja ya waratibu wa mkutano...

 

9 years ago

Michuzi

TASWIRA MBALIMBALI KATIKA USIKU WA TUZO YA MWAJIRI BORA WA MWAKA 2015


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi kikombe, Mkurugenzi wa Rasilimali Watu na utawala wa benki ya CRDB, Bi Ngalija wakati wa kutoa zawadi katika hafla hiyo. Kutokea (kulia) ni Balozi wa Norway hapa nchini, Hanne-Marie Kaarstad, Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Dkt Florens Turuka, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Meck Sadiki na Makamu Mwenyekiti wa ATE, Zuhura Muro. Mwakilishi wa Kampuni ya Maswala ya Kisheria ya Yakubu & Associates Chamber, Dkt. Timoth Kyepa akipokea...

 

9 years ago

Michuzi

BONDIA LULU KAYAGE AJIFUA KWA AJILI YA MAPAMBANO YA KITAIFA NA KIMATAIFA

Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' akimnowa bondia Lulu Kayage wakati wa mazoezi yake ya kujiandaa na mpambano wake wa kugombania mkanda wa taifa desemba 25 na bondia Mwanne Haji mpambano utakaofanyika mkoa wa Morogoro katika uwanja wa jamuhuri picha na SUPER D BOXING NEWSBONDIA LULU KAYAGEBondia Lulu Kayage kushoto akielekezwa na kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi Rajabu Mhamila 'Super D'  jinsi ya kupiga ngumi za mkunjo wa chini 'upcut' ambazo...

 

10 years ago

GPL

TASWIRA ZA RED CARPET KATIKA UTOAJI TUZO ZA BILLBOARD 2015 NCHINI MAREKANI

Lauren Jauregui, Ally Brooke, Normani Hamilton, Dinah-Jane Hansen na Camila Cabello wa Fifth Harmony wakiwa kwenye pozi. Wiz Khalifa akiwasili ndani ya Ukumbi wa MGM Grand kwa ajili ya tuzo hizo.…

 

9 years ago

Dewji Blog

Viongozi mbalimbali waliowasili jana kwa ajili ya sherehe za Uapisho wa Rais Mteule

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Bernard Membe (kushoto) akimpokea Rais wa Afrika ya Kusini Mhe. Jacob Zuma (anayeshuka kwenye ngazi), Rais Zuma amewasili nchini usiku wa kuamkia leo kwaajili ya kuudhuria sherehe za uapisho wa Rais Mteule Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli zinazofanyika leo katika Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam   Waziri Membe akisalimiana na Rais Zuma Rais Zuma akisalimiana na Balozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini Mhe. Radhia Msuya (wa kwanza...

 

5 years ago

Michuzi

MWAKILISHI WA JIMBO LA UZINI ATOA MSAADA VITU MBALIMBALI KWA AJILI YA KUPAMBANA NA KORONA ZANZIBAR

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Mohamed Aboud Mohamed (kulia)akizungumza baada ya kupokea Msada wa Vitu mbalimbali ikiwa ni pamoja na Mchele ,Magodoro,Mashuka Taula ,Dawa za kuosha mikono Vilivyotolewa na Mwakilishi wa Jimbo la Uzini na Mfanya Biashara maarufu Mohamed Raza kwa ajili ya kupambana na Maradhi ya Korona hafla iliofanyika nje ya ukumbi wa Sheikh Idriss Abdul wakil Kikwajuni Zanzibar.Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Mohamed Aboud Mohamed akisalimiana...

 

11 years ago

Michuzi

VIONGOZI KUTOKA SEHEMU NCHI MBALIMBALI WAZIDI KUMIMINIKA KWA AJILI YA KUSHIRIKI SHEREHE ZA MUUNGANO

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Dkt. Mahadhi Juma Maalim (Mb.) akiwa na Makamu Mwenyekiti wa Chama cha National People's Congress cha China na Naibu Spika, Mhe. Chen Changzhi wakimsikiliza Mkalimani wakati wa mazungumzo yao mara baada ya Mhe. Chen kupokelewa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere. Mhe. Chen yupo nchini akimwakilisha Rais wa China kwenye maadhimisho ya miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar hapo tarehe 26 Aprili,...

 

10 years ago

GPL

MKOA WA DODOMA UMEPOKEA NAKALA 61,290 ZA KATIBA INAYOPENDEKEZWA KWA AJILI YA KUZIGAWA KWA WANANCHI

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Chiku Gallawa akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya mapokezi ya nakala za katiba inayopendekezwa na maendeleo ya usambazaji wake kwa wananchi Mkoani Dodoma mapema leo. Waandishi wa Habari wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Dodoma (hayupo pichani) wakati akiwasilisha taarifa ya mapokezi na usabazaji kwa wananchi wa Nakala za… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani