Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MENEJIMENTI YA MUHIMBILI YANOLEWA KUHUSU JINSI YA KUSIMAMIA TATHIMINI YA UTENDAJI ULIO WAZI (OPRAS)

Viongozi wanaounda Menejimenti ya Hospitali ya Taifa Muhimbili wametakiwa kusimamia vizuri tathimini ya utendaji ulio wa wazi kwa wafanyakazi walioko chini ya Kurugenzi, Idara na Vitengo wanavyoviongoza ili kuleta tija mahali pa kazi. Hayo yamesemwa leo na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili Dkt. Hussein Kidanto wakati alipokuwa akizindua semina ya siku nne kwa viongozi hawa iliyoanza leo, jijini Dar Es Salaam ambapo mada kuu ni jinsi ya kusimamia vizuri tathimini ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

OFISI YA RAIS, MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA YAKUTANISHA WADAU KUTOA MAONI KUHUSU MIKATABA YA UTENDAJI KAZI KATIKA TAASISI ZA UMMA

Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw. George D. Yambesi akifungua mkutano wa wadau kuhusu Mikataba ya Utendaji Kazi katika Taasisi za Umma katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam. Mkutano huo uliandaliwa mahsusi ili wadau waweze kufahamu mambo muhimu juu ya Mfumo wa Mikataba ya Utendaji Kazi hususan chimbuko, maana na faida zake, mambo ya msingi yatakayofanikisha utekelezaji wa mfumo huo, fomu ya mkataba wa utendaji kazi na vipengele vyake, vigezo vya upimaji...

 

5 years ago

Michuzi

MENEJIMENTI YA NCAA YAPIGA KAMBI KRETA YA NGORONGORO KUSIMAMIA UBORESHAJI WA MIUNDOMBINU



Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Prof. Adolf Mkenda kushoto akiwa na Naibu Kamishna wa NCAA Bw. Asangye Bangu alipotembelea baadhi ya vipande vya barabara vilivyoathirika na mvua hivi karibuni.
Kamishna wa Uhifadhi wa mamkaka ya Hifadhi ya Ngorongoro Dkt. Freddy Manongi (katikati) akijadiliana jambo na Meneja Manunuzi wa NCAA Bw. John Laizer (kushoto) kuhusu uboreshaji wa barabara katika bonde la Ngorongoro la Kreta.

Na Kassim Nyaki-NCAA

Menejimenti ya Mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro...

 

5 years ago

Bongo5

Wabunge waridhishwa na utendaji kazi wa Ofisi ya Rais Menejimenti ya umma na Utawala bora

Waheshimiwa wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa nyakati tofauti wameelezea kuridhishwa kwao na utendaji wa Ofisi ya Rais Menejimenti ya umma na Utawala bora na taasisi zake kwa kuweza kutoa huduma bora kwa wananchi.

Taarifa iliyotelewa Alhamisi hii na Ofisi ya Rais Menejimenti ya umma na Utawala bora, imeandika kuwa wabunge wameridhishwa na utendaji kazi wa kitengo hicho kama ifuatavyo;

Wabunge wameonyeshwa kuridhishwa huko wakati wakichangia hoja kuhusiana na masuala ya...

 

9 years ago

Michuzi

DK. KIGWANGALLA AFANYA ZIARA MUHIMBILI NA KUKAGUA MASHINE ZA CT-SCAN NA MRI, AFURAHISHWA NA UTENDAJI KAZI

IMG_0910Naibu Waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mhe. Dk. Hamisi Kingwangalla akimpongeza Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Prof. Lawrence Mseru baada ya kuona mabadiliko makubwa katika hospitali hiyo tangu alipokaimu kiti hicho wakati wa zaiara ya kushtukiza katika chumba kilichofungwa mashine mpya ya CT-Scan iliyonunuliwa na Serikali hivi karibu na inauwezo mkubwa wa kufanya kipimo kwa sekunde 6 na kutoa majibu. Kulia ni Mkuu wa...

 

10 years ago

Bongo Movies

JB Aweka Wazi Jinsi Anavyompenda Mke Wake na Kuithamini Ndoa Yake

Mwigizaji na mwogozaji wa filamu za hapa bongo, Jacob Stephen ‘JB’ amefunguka ya moyoni  juu ya upendo wake kwa mke wake na kuendelea kudumisha ndoa yao.

JB tofauti na mastaa wengi wa hapa bongo, amemuweka na kumwambia waziwazi mke wake wa ndoa maneno  ya upendo ambayo huwafanya mashabiki wake wote kkujua na kumtambua shemeji yao au wifi yao.

JB leo hii ameweka picha hiyo mtandaoni akiwa na mke wake na kuandika maneno haya;

“Mke wangu,rafiki yangu, nampenda sanaa. Siku kama ya leo...

 

11 years ago

Michuzi

WIZARA YA FEDHA YAWEKA WAZI JINSI ITAKAVYOTEKELEZA MATOKEO MAKUBWA SASA 'BRN'

Msemaji Mkuu wa Wizara ya Fedha, Ingiahedi Mduma, akizungumza wakati wa Semina maalum kwa 'Mablogger', iliyofanyika katika Hoteli ya Kilimanjaro Park, Misugusugu Kibaha, hivi karibuni. Semina hiyo imeandaliwa na Wizara ya Fedha kwa lengo la utaratibu wa kutimiza utekelezaji wa Matokeo Makubwa Sasa (Big Results Now). ************************************************* Na Sufianimafoto Reporter wizara ya fedha imeeleza wazi kuhusu mipango yake ya kutekeleza matokeo makubwa sasa(BRN) ikiwa ni...

 

10 years ago

Michuzi

TANGAZO TANGAZO TANGAZO Je Unataka kujifunza jinsi ya kuanzisha,kuendesha na kusimamia biashara yako?

Tanzania Zalendo wanakuleta Mhadhara wa Jinsi ya KUANZISHA, KUENDESHA na KUDUMU katika biashara. UKUMBI ni Alliance Francaise shuka kituo cha RED CROSS kuelekea Posta.  Siku ya JUMAMOSI tarehe 21/03/2015.  Muda Ni saa Nane 8 mchana Mpaka saa Kumi Jioni.  Utajifunza jinsi ya kuanzisha ,kuendesha na kusimamia biashara kutoka kwa mtaalam wa masuala ya biashara Mhadhiri wa kikuu cha Dar es salaam Dr Muhsin Masoud wa shule ya Biashara. Mafunzo haya ni BURE  Kwa mawasiliano zaidi piga 0787 66 99...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani