Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MENINAH:HATUENDANI NA DIAMOND

Na Andrew Carlos
STAA wa muziki wa Bongo Fleva, Meninah Abdulkareem ‘Meninah’ amefunguka juu ya tetesi zinazoeneo kuwa na uhusiano wa chinichini na Nasib Abdul ‘Diamond’ kwa kusema kuwa siyo levo yake. Staa wa muziki wa Bongo Fleva, Meninah Abdulkareem ‘Meninah’ akiwa ndani ya studio za Global Tv Online. Akichonga na paparazi wetu, Meninah anayetamba na ngoma ya Pipi ya Kijiti alikanusha...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Wema Sepetu Atoswa ! Vikao Vya Harusi Ya Diamond Na Meninah Vyaanza Nyumbani Kwa Mama Diamond.

Meninahhabari mpya zinasema kuwa vikao vya harusi ya Diamond na Meninah ambaye ni mwanamuziki wa Bongo fleva vimeanza kimya kimya nyumbani kwa mama Diamond huku mmoja wa wahudhuriaji wakiwa ni mama Diamond mwenyewe na Queen Darling ambaye ni dada wa Diamond.Kwa mujibu wa Baabkubwa magazine paparazzi wake alienda nyumbani kwa Diamond hivi juzi kati kufanya nae mahojiano hata hivyo hakumkuta Diamond lakini alimkuta mmoja wa watu wake wa karibu ambaye yupo pia upande wa Wema Sepetu.Chanzo...

 

11 years ago

Bongo5

Meninah: Diamond hata kumshika mkono sijawahi, akanusha tetesi za kutoka nae

Mara nyingi habari za mastaa hususan za mahusiano huanza kama tetesi, kisha hufuata hatua ya pili ambayo ni kukanusha, halafu baadae huja na majibu ya ‘mapenzi moto moto’. Narudia tena ‘mara nyingi’ japo si mara zote. Kuhusu tetesi za msanii wa kike wa Bongo fleva Meninah kuwa ni ‘mchepuko’ wa hit maker wa ‘Number 1’ […]

 

10 years ago

Vijimambo

MENINAH AMWANIKA DIAMOND TENA!! AFUNGUKA MENGI KUHUSU MAHUSIANO YAO,AELEZA JINSI WEMA ALIVYO MPA PRESHA

Kwa mara ya kwanza tangu wadaiwe kuwa na mahusiano ya kimapenzi na Meninah a.k.a Meninah la diva na Nguli wa Bongo Fleva nchini Nasib Abdul 'Diamond' hatimaye ukweli umepatika baaada ya kuzinasa meseji za meninah alizofunguka kususu mahusiano yake na Diamond.Meseji hizo zimenaswa kutoka kwenye simu ya Meninah ambaye alikuwa akichati naye kuhusu mwenendo mzima wa Mahusiano yake na Diamond kupitia "Chating" hizo Meninah amekiri kwamba Diamond alimtaka kimapenzi na alifikia hatua ya...

 

9 years ago

GPL

MENINAH AOLEWA KIMYAKIMYA

Musa Mateja WENYE wivu wajinyonge! Nyota wa muziki wa kizazi kipya, zao la BSS 2012 Meninah Abdulkarim, anadaiwa kufunga ndoa kimyakimya mwishoni mwa wiki iliyopita na mtu anayetajwa kulelewa tangu utotoni na aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini aliyejiuzulu, Profesa Sospeter Muhongo, Risasi Mchanganyiko limetonywa.  ....Soma zaidi===>http://bit.ly/1WDGS8h ...

 

11 years ago

GPL

MENINAH AFUNGUKIA RUSHWA YA NGONO BSS

Kama kawaida, wiki iliyopita tulimleta kwenu staa wa Bongo Fleva, Meninah Abdukareem ‘Ladiva’ ambapo mlituma maswali yenu na leo haya ndiyo majibu yake, UNGANA NAYE... Staa wa Bongo Fleva, Meninah Abdukareem ‘Ladiva’ akiwa ndani ya ofisi za Global Publishers. RUSHWA YA NGONO BSS
Meninah kwanza nakupa big up kwa utulivu ulionao mpaka sasa, je, kwenye mchujo… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani