Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Meninah: Diamond hata kumshika mkono sijawahi, akanusha tetesi za kutoka nae

Mara nyingi habari za mastaa hususan za mahusiano huanza kama tetesi, kisha hufuata hatua ya pili ambayo ni kukanusha, halafu baadae huja na majibu ya ‘mapenzi moto moto’. Narudia tena ‘mara nyingi’ japo si mara zote. Kuhusu tetesi za msanii wa kike wa Bongo fleva Meninah kuwa ni ‘mchepuko’ wa hit maker wa ‘Number 1’ […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

LULU AZUIWA KUMSHIKA MKONO MAMA SALMA KIKWETE

Mayasa mariwata Ilikuwaje? Taarifa ikufikie kuwa, staa wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael `Lulu’ aliibua minong’ono kwenye msiba wa mwanamuziki Ramadhan Masanja `Banza Stone’ baada ya kutaka kumsalimia kwa kumshika mkono mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete, Mama Salma. ....Soma zaidi===>http://bit.ly/1OvHK8Y ...

 

9 years ago

Bongo Movies

Mume wa Dada Yake na Diamond Akanusha Kutoka na Wema

Mume wa dada yake na Diamond, Esma, Petit Man ambaye pia ni mfanyakazi wa kampuni ya Wema Sepetu, Endless Fame Film amekanusha kutoka kimapenzi na na bosi wake huyo.

Akizungumza kwenye kipindi cha na FNL cha EATV jana, Petit alisema anamheshimu Wema kama bosi wake.

“Niko na Wema huu ni mwaka wa nane inasemekana vitu hivyo hivyo,” alisema. “Lakini Wema akiwa tu karibu na mtu basi watu wanasema hivyo. Ilikuwa kwa Mirror wakasema hayo, maneno hayo ni maneno wanayoyaongea. Hakuna kitu...

 

10 years ago

Vijimambo

Wema Sepetu Atoswa ! Vikao Vya Harusi Ya Diamond Na Meninah Vyaanza Nyumbani Kwa Mama Diamond.

Meninahhabari mpya zinasema kuwa vikao vya harusi ya Diamond na Meninah ambaye ni mwanamuziki wa Bongo fleva vimeanza kimya kimya nyumbani kwa mama Diamond huku mmoja wa wahudhuriaji wakiwa ni mama Diamond mwenyewe na Queen Darling ambaye ni dada wa Diamond.Kwa mujibu wa Baabkubwa magazine paparazzi wake alienda nyumbani kwa Diamond hivi juzi kati kufanya nae mahojiano hata hivyo hakumkuta Diamond lakini alimkuta mmoja wa watu wake wa karibu ambaye yupo pia upande wa Wema Sepetu.Chanzo...

 

10 years ago

Vijimambo

KIMENUKA INSTAGRAM LEO, TEAM WEMA WACHARUKA, WAMWEKA MTU KATI DIAMOND BAADA YA TETESI ZA KUTOKA NA ZARI THE LADY BOSS

Kinara wa Team Wema Dougiemasta15 huku instagram amefunguka haya kuhusu Diamond: kiroho safi kaka shemej wala hatugombani..ujue dai ss sote ni waafrica ndio wepesi kuja na conclusion na tunaudhaifu wa kuchunguza ujue shemej wengi tunataman kuamin kuwa hii ni project na surely we will b so proud ila shemej kinamna flan ww huaminiki huwa unakuwa na project nying sana lkn zinaend up kuwa coming soon...

mfano JOKATE ukisema mnashot video sawa lkn matokeo yake unashot hadi behind de scene, penny...

 

10 years ago

CloudsFM

Aunt Ezekiel akanusha tetesi za yeye kujifungua

Baada ya kuzagaa taarifa za staa wa filamu za kibongo Tanzania Aunty Ezekiel kujifungua  hatimaye ameamua kufunguka na kusema kwamba yeye bado hajajifungua na ile video ambayo watu wameiona ni kipande cha movie yake ambayo itatoka hivi karibuni

 

Na ameomba mashabiki wake wasiwe na shaka wakati ukifika watajua tuu kama kajifugua au lah

 

9 years ago

Bongo5

Alikiba akanusha tetesi za kumpa ujauzito Jokate

kiba2

Staa wa Bongo fleva, Alikiba amekanusha taarifa zilizoandikwa na moja ya magazeti ya udaku hivi karibuni, kuwa amempa ujauzito Jokate Mwegelo.

kiba2

Hivi ndivyo ilivyoandikwa:

“Wakati Beautiful Onyinye wa Bongo, Wema Sepetu akihaha kuhakikisha anaitwa mama, habari ‘exclusive’ iliyotua kwenye meza ya gazeti hili inadai kuwa, mwanamitindo anayefanya pia muziki na filamu, Jokate Mwegelo amenasa ujauzito huku muhusika mkuu wa mzigo huo akidaiwa kuwa ni mpenzi wake wa sasa, Ali Saleh Kiba ‘Ali...

 

9 years ago

Bongo5

Future akanusha tetesi za kuwa na uhusiano na Blac Chyna!

Rapper wa Marekani, Future amevunja ukimya na kukanusha uvumi ulioenea kuwa ana uhusiano na ex na baby mama wa Tyga, Black Chyna. Siku chache zilizopita Chyna alichora tattoo ya jina la Future mkononi ambayo iliongeza uthibitisho wa tetesi za wawili hao kuwa kwenye uhusiano. Future ambaye ni ex na baba wa mtoto wa mwimbaji Ciara […]

 

10 years ago

GPL

MENINAH:HATUENDANI NA DIAMOND

Na Andrew Carlos
STAA wa muziki wa Bongo Fleva, Meninah Abdulkareem ‘Meninah’ amefunguka juu ya tetesi zinazoeneo kuwa na uhusiano wa chinichini na Nasib Abdul ‘Diamond’ kwa kusema kuwa siyo levo yake. Staa wa muziki wa Bongo Fleva, Meninah Abdulkareem ‘Meninah’ akiwa ndani ya studio za Global Tv Online. Akichonga na paparazi wetu, Meninah anayetamba na ngoma ya Pipi ya Kijiti alikanusha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani