Meya wa London aikubali Tanzania
Meya wa Jiji la London, Fiona Woolf amesema Tanzania ina nafasi nzuri ya kunufaika na uwekezaji kutokana na kuwepo kwa mazingira yanayovutia wawekezaji katika sekta zote muhimu.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi
MEYA WA MANISPAA YA KINONDONI ASHINDA TUZO YA MEYA BORA TANZANIA


11 years ago
TheCitizen10 Oct
A CHAT FROM LONDON: London welcomes, supports anti-FGM push in Tanzania
11 years ago
Tanzania Daima31 Aug
Kikwete aikubali ilani ya CHADEMA!
KWENYE kampeni za Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2010, moja ya ilani za CHADEMA ilikuwa kutoa elimu bure kuanzia msingi mpaka upili (sekondari). Makada wa CCM na viongozi waandamizi serikalini wakasema...
10 years ago
VijimamboMEYA WA KINONDONI, YUSUPH MWENDA ATWAA TUZO YA MEYA BORA AFRIKA
10 years ago
MichuziMEYA MWENDA WA KINONDONI ASHINDA TUZO YA MEYA BORA AFRIKA
Meya wa Manispaa ya Kinondoni Yusuph Mwenda ameshinda Tuzo ya Meya Bora katika Bara la Afrika katika kundi la Majiji ya Kati na kuyabwaga majiji mengine mbalimbali.
Tuzo hizo zilizoandaliwa na Jumuiya ya Tawala za Mitaa ya Afrika (The United Cities and Local Government of Africa- UCLGA) na kupewa jina la Rais wa Angola ‘President Jose Eduardo Dos Santos- Africa Mayors Award’ ni za mara ya kwanza kufanyika Barani Afrika.
Tofauti na Tuzo za Tanzania,...
9 years ago
Dewji Blog18 Dec
CCM yanyakua viti vya Mstahiki Meya na naibu Meya Halmashauri ya Manisspaa ya Singida
Diwani wa kata ya Mughanga (CCM) manispaa ya Singida, Velerian Kimambo, akiapa mbele ya hakimu wa mahakama ya mwanzo mjini hapa,Zakaria Simoin. Madiwani 26 wa halmashauri ya manispaa, (16/12/2015), wamekula viapo rasmi tayari kuanza kuwatumikia wananchi.
Diwani wa kata ya Mitunduruni (CHADEMA) manispaa ya Singida, Velerian Pantaleo Mastiko Sorongai, akiapa mbele ya hakimu wa mahakama ya mwanzo mjini hapa, Zakaria Simoin. Madiwani 26 wa halmashauri ya manispaa wamekula viapo rasmi tayari...
11 years ago
Michuzi
THE TANZANIA CONVENTION-TRADE AND INVESTMENT FORUM AND THE TANZANIA ENTERTAINMENT AND LIFESTYLE AWARDS LONDON JUNE 2014.

Ndugu Mtanzania na rafiki wa Tanzania ,jee wewe ni mfanyabiashara?Mjasiriamali?una miliki biashara ndogo au kubwa ?Unataka kujua hali na mazangira ya kibiashara hivi sasa nyumbani na vipi waweza kupata frame hapa uingereza?Ungependa kujuana,kushirikiana na watu mbalimbali wajasiriamali?Wasilina nasi ili ushiriki kongamano la wana Diaspora wajasiriamali.Wahi nafasi yako sasa Email:newdealafrica@yahoo.co.uk or TEL +447960811614 DON’T MISS: The Tanzania...
9 years ago
TheCitizen27 Nov
A CHAT FROM LONDON: Wet afternoon, junkie hobbling on a London street
9 years ago
Mwananchi22 Nov
KUTOKA LONDON: Fab Moses- Mtabiri wa London aliyetunga wimbo wa kushinda Magufuli