MEZA YA WAKULU; NI KWELI, DIAMOND ANAWATUMIA WAREMBO ILI AENDELEE KUWA JUU?
WAKULU wamkalia mezani staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' kujua kama ni kweli anatumia warembo kama ngazi ya kuendelea kuwa juu? Ungana na Global TV Online kupata uhondo huo!
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog19 Jul
Wananchi wa Morogoro mjini wamnunulia fomu Abood ili aendelee kuwa mbunge wao Jimbo Morogoro mjini
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini, Mh Aziz Abood akipokea michango ya wanafunzi waliojitokeza kumchangia mbunge huyu ili achukue fomu ya kugombea tena Ubunge wa Jimbo hilo kupitia Chama cha Mapinduzi Mara baada ya kuridhishwa na utendaji kazi wa Mbunge huyo ambaye amefanya mambo mengi ya maendeleo ikiwemo kuwalipia ada zaidi ya wanafunzi 500 wasiokuwa na uwezo wa kujilipia ada na wanaoishi katika mazingira magumu.
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini, Mh Aziz Abood, akipokea kiasi cha...
10 years ago
CloudsFM18 Nov
CHAMELEONE AJA JUU BAADA YA KUANDIKWA KUWA AMEMWOMBA KOLABO DIAMOND
Msanii wa kimataifa kutoka nchini Uganda,Dr Jose Chameleone amekuja juu baada ya taarifa zilizoandikwa na baadhi ya mitandao ya nchini Uganda kuwa amemwomba kolabo staa wa Bongo Fleva,Diamond Platinumz,kwa kumtumia ujumbe kupitia ‘whatsap’.Mitandao hiyo ya bigeye.ug na lockerdome.com imeandika kuwa Chameleone na Diamond walianza kufahamiana tangu Diamond akiwa anasoma katika chuo kikuu kimoja nchini Uganda.
Habari zinasema Diamond alipoombwa kolabo na chameleone akamjibu asubiri mpaka...
10 years ago
Bongo510 Jan
Huddah amkana mwanaume aliyedai kuwa mpenzi wake, aliyemtangazia Diamond dau la $40,000 ili amuache Zari
10 years ago
Bongo Movies19 Apr
Wema: Ningependa Rais Kikwete Aendelee Kuwa Rais
Staa mrembo wa Bongo Movies, Wema Sepetu amenukuliwa na gazeti la Mwananchi la jana akieleza kuwa angependa Rais Jakaya Kikwete ambaye anamaliza muda wake wa urais unamalizika mwishoni mwaka huu, agombee tena kwa awamu nyingine.
Akizungumza kuhusu siasa Wema alisema yeye ni shabiki mkubwa wa CCM, ingawa kuna baadhi ya vitu vinamkera na inabidi vifanyiwe kazi ili kujiimarisha.
Alisema anaupenda utendaji wa Rais Jakaya Mrisho Kikwete kutokana na vitu vingi alivyofanya katika kipindi cha...
11 years ago
GPLDIAMOND ANAVYOIBEBA TAITO YA SUKARI YA WAREMBO
10 years ago
Vijimambo01 Dec
HUYO NDIYO DIAMOND SUKARI YA WAREMBO EAST AFRICA
Chanzo makini kilicho karibu na Diamond, kimeeleza kuwa msanii huyo na mama’ke, katikati ya wiki iliyopita, walikwea ‘pipa’ kwenda nchini humo kwa ajili ya mapumziko mafupi kabla ya kuhudhuria ‘event’ ya utoaji Tuzo za Channel O (Choamva) ambazo msanii huyo ameshiriki.Nasibu Abdul ‘Diamond’ na Zari wakiwa kwenye picha ya pamoja na Kampani waliyokuwa nayo Sauzi.
Kwenye tuzo hizo, Diamond...
10 years ago
Vijimambo03 Jan
BAADA YA KUACHANA NA DIAMOND AAMUA KUFANYA HAYA JUU YA MALI ALIZOPEWA NA DIAMOND
Lile gari jipya aina ya Nissan Murano la staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ alilompa aliyekuwa mwandani wake, Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ limezua mapya ambapo baada ya kudai linamchefua sasa anadaiwa kuwa analiuza kwa kigezo kwamba hataki gundu mwaka huu mpya wa 2015.Gari jipya aina ya Nissan Murano la staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ alilompa aliyekuwa mwandani wake, Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’KUMBE LIPO KWA...