MFA MAJI HAACHI KUTAPATAPA
Na Haji KomboWakati homa ya uchaguzi ikiwa inazidi kupanda nchini Tanzania, huku Khatamu za Uongozi zikiwa zinateleza mikononi mwa Chama Tawala cha Mapinduzi (CCM) kilizokuwa kikizishikilia kwa zaidi ya miaka 50 sasa, viongozi wa chama hicho wamekuwa wakikuna vichwa na kujaribu kuleta fikra mpya za kukinusuru Chama chao kisisambaratike.Ni wazi kabisa kuwa CCM imo katika pumzi zake za mwisho, na kama methali ya Kiswahili isemavyo, "Mfa maji haachi kutapatapa". Maana ya methali hiyo inaonekana...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima06 Apr
CCM sasa yatapatapa kama mfa maji!
AKIWA katika ziara ya kujua matatizo ya wananchi wa maeneo mbalimbali nchini, Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, amefichua utendaji mbovu wa watumishi wa serikali inayoongozwa na chama chake. Hayo...
9 years ago
MillardAyo24 Dec
Baada ya Danny Mrwanda kusajiliwa na Maji Maji FC na kutowasili, uongozi wa Maji Maji umeamua hivi (+Audio)
Headlines za soka la bongo mtu wangu wa nguvu zimenifikia, safari hii sio kuhusu Simba na Yanga bali ni kuhusu staa wa soka aliyewahi kuvitumikia vilabu hivyo kwa nyakati mbili tofauti Danny Mrwanda, staa huyo ameingia kwenye headlines baada ya kuingia mkataba wa kuitumikia klabu ya Maji Maji FC ya Songea na kupewa malipo yake […]
The post Baada ya Danny Mrwanda kusajiliwa na Maji Maji FC na kutowasili, uongozi wa Maji Maji umeamua hivi (+Audio) appeared first on TZA_MillardAyo.
11 years ago
Michuzi30 Aug
Bodi ya ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dar es Salaam (DAWASA) yatembelea Eneo la Mradi wa Ujenzi wa Bwawa la Maji Kidunda


11 years ago
GPL
BODI YA WAKURUGENZI YA MAMLAKA YA MAJI SAFI NA MAJI TAKA DAR ES SALAAM (DAWASA) YATEMBELEA ENEO LA MRADI WA UJENZI WA BWAWA LA MAJI KIDUNDA
10 years ago
Vijimambo
CHAMA CHA WASAMBAZA MAJI NCHI (AWAC) CHAWAKUTANISHA WADAU MBALIMBALI WA MAJI ILI KUJADILI NAMNA YA KULINDA NA KUVITUNZA VYANZO VYA MAJI


11 years ago
Michuzi
WAZIRI MAJI AFANYA ZIARA YA KUTEMBELEA MRADI WA MAJI YA DHARURA KARATU
Pia, Prof. Maghembe alitembelea Halmashauri ya Mji wa Karatu kuangalia hali ya upatikanaji wa maji na utekelezaji wa miradi ya maji wilayani humo katika programu ya vijiji 10 ya BRN.

5 years ago
Michuzi
11 years ago
MichuziMUWSA YASAMBAZA BOMBA ZA MAJI MRADI MKUBWA WA MAJI MTO KARANGA
TATIZO la upungufu wa maji katika Manispaa ya Moshi linaelekea kuwa historia ifikapo mwezi Desemba mwaka huu kufuatia kukamilika kwa utekelezaji wa mradi mkubwa wa maji uliopo katika chemchem ya Mto Karanga ambao umegharimu kiasi cha shilingi milioni 382.
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira ( MUWSA), Mhandisi Cyprian Luhemeja amefafanua kuwa, mradi huo utakapokamilika utahudumia maeneo ya Bomambuzi, Pasua ,...