CCM sasa yatapatapa kama mfa maji!
AKIWA katika ziara ya kujua matatizo ya wananchi wa maeneo mbalimbali nchini, Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, amefichua utendaji mbovu wa watumishi wa serikali inayoongozwa na chama chake. Hayo...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo17 Sep
MFA MAJI HAACHI KUTAPATAPA

11 years ago
Tanzania Daima24 Aug
CCM sasa kama mnara wa Babel
SAS ni dhahiri kwamba mwelekeo wa nchi yetu umetufikisha mahali pabaya. Haya tumeyasema, tumeyaandika, wengine tumeyahubiri, lakini serikali yetu tukufu ya CCM haisikiii. Mara nyingi kwa watu kama hao imeona...
11 years ago
Michuzi
KATIBU MKUU WA CCM,KINANA AKAGUA MIRADI YA MAJI TAKA NA MAJI SAFI WILAYANI SUMBAWANGA MKOANI RUKWA LEO.

9 years ago
Habarileo06 Jan
Kamati ya maji Matarawe yatakiwa kujipima kama inafaa
DIWANI wa kata ya Matarawe mjini hapa Leonard Robert aliitaka kamati ya maji katika kitongoji cha Lulambo na Kipika kujipima kama inatosha vinginevyo wananchi waiadhibu kwa kuchagua kamati nyingine inayoweza kwenda na kasi ya ‘Hapa Kazi Tu’ .
9 years ago
MillardAyo24 Dec
Baada ya Danny Mrwanda kusajiliwa na Maji Maji FC na kutowasili, uongozi wa Maji Maji umeamua hivi (+Audio)
Headlines za soka la bongo mtu wangu wa nguvu zimenifikia, safari hii sio kuhusu Simba na Yanga bali ni kuhusu staa wa soka aliyewahi kuvitumikia vilabu hivyo kwa nyakati mbili tofauti Danny Mrwanda, staa huyo ameingia kwenye headlines baada ya kuingia mkataba wa kuitumikia klabu ya Maji Maji FC ya Songea na kupewa malipo yake […]
The post Baada ya Danny Mrwanda kusajiliwa na Maji Maji FC na kutowasili, uongozi wa Maji Maji umeamua hivi (+Audio) appeared first on TZA_MillardAyo.
11 years ago
Mwananchi09 Sep
Maduka Kariakoo sasa biashara kama kawaida
11 years ago
Mwananchi02 Apr
Sababu za uhaba wa maji sasa zatajwa
10 years ago
GPL
MCHUNGAJI AFARIKI AKIJARUBU KUTEMBEA JUU YA MAJI KAMA YESU
9 years ago
Global Publishers28 Dec
Walikuwa maskini kama wewe, sasa ni matajiri wa kutupwa
OPRAH WINFREY.
Hakuna anayezaliwa na fedha, binadamu wote wamekuja duniani wakiwa mikono mitupu kabisa, tena bila nguo. Watu wanapokua, wengi wanakuwa hawana vitu hivyo na hata kula yao wakati mwingine ni ya shida mno.
Wanapofanikiwa, huwa hawakai kimya, wanatamani na wengine wafanikiwe ndiyo maana wengine wamekuwa wazi na kusema: “Kuzaliwa maskini si kosa lako, ila kufa maskini, hilo ni kosa lako.”
Hawa hapa chini ni matajiri wakubwa kwa sasa, ila kabla ya hapo, walikuwa maskini kama wewe...