MFANYAKAZI HODARI NA WAFANYAKAZI BORA WA WIZARA YA MAMBO YA NJE WAKABIDHIWA VYETI
Mkurugenzi wa Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu, Bw. Dushhood Mndeme akijiandaa kutaja majina ya Wafanyakazi Bora wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa akiwemo Mfanyakazi Hodari wakati wa Kikao cha 8 cha Baraza la Wafanyakazi kilichofanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam hivi karibuni. Waliokaa ni Katibu Mkuu na Mwenyekiti wa Baraza la Wafanyakazi, Bw. John Haule (mwenye miwani), Naibu Katibu Mkuu, Balozi...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLWAFANYAKAZI WA WIZARA MAMBO YA NJE WAJIUNGA NA GEPF
10 years ago
Vijimambo21 Jan
Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje akutana na Ujumbe kutoka Wizara ya Mambo ya Nje ya Italia
11 years ago
MichuziWafanyakazi wa Wizara ya Mambo ya Nje walivyoshiriki Sherehe za Mei Mosi
10 years ago
VijimamboWAZIRI MEMBE AFUNGUA MKUTANO WA TISA WA BARAZA LA WAFANYAKAZI WA WIZARA YA MAMBO YA NJE
10 years ago
VijimamboRais Mstaafu Mkapa atoa elimu ya uchumi kwa Mabalozi, maofisa na wafanyakazi Wizara ya Mambo ya Nje
10 years ago
MichuziWAZIRI MEMBE AFUNGUA BARAZA LA TISA LA WAFANYAKAZI LA WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA JIJINI DAR LEO.
10 years ago
VijimamboKATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NCHI ZA NJE BALOZI LIBERATA MULAMULA AAGANA RASMI NA WAFANYAKAZI WA UBALOZI WASHINGTON DC.
10 years ago
VijimamboWAZIRI WA MAMBO YA NJE WA MUUNGANO WA VISIWA VYA COMORO ATEMBELEA WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA MATAIFA
10 years ago
MichuziWIZARA YA MAMBO YA NJE NA WIZARA YA USHIRIKIANO AFRIKA MASHARIKI ZALENGA KUBORESHA UHUSIANO WA TANZANIA KIMATAIFA.