Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wafanyakazi wa Wizara ya Mambo ya Nje walivyoshiriki Sherehe za Mei Mosi

Wafanyakazi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wakisheherekea Siku ya Wafanyakazi Duniani, iliyofanyika katika Uwanja wa Uhuru, jijini Dar es Salaam. Mgeni rasmi kwenye maadhimisho hayo alikuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete. Kauli mbiu ya maadhimisho ya mwaka huu ni "UTAWALA BORA UTUMIKE KUTATUA KERO ZA WAFANYAKAZI" Wafanyakazi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wakiwa kati maandamano Maandamano yakiwa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

SHEREHE ZA MEI MOSI MWANZA WAFANYAKAZI WAOMBA KODI IPUNGUZWE

 Wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa wakipita ya mgeni wa heshima Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Eng.Evarist Welle Ndikilo wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi mkoa wa Mwanza ,matembezi hayo yalihitimishwa kwenye uwanja wa CCM Kirumba.
 Wafanyakazi wa Mkemia Mkuu wa Serikali wakiingia uwanjani CCM Kirumba Mwanza wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi mkoa wa Mwanza .…
...

 

10 years ago

Dewji Blog

Sherehe za sikukuu ya wafanyakazi duniani (Mei Mosi) mkoa wa Singida zafana

DSC05562

Mkurugenzi mtendaji wa halmshauri ya wilaya ya Iramba mkoa wa Singida, Halima Mpita (wa kwanza kushoto akishirikiana na viongozi wa ngazi mbali mbali mkaoni Singida, kuimba wimbo wa mshikamano kwenye kilele cha sherehe za wafanyakazi duniani (mei mosi) zilizofanyika jana kwenye uwanja wa Namfua mjini hapa.

DSC05561

Kaimu mkuu wa mkoa wa Singida, Saidi Alli Amanzi (wa pili kushoto) akishiriki kuimba wimbo wa mshikamano kwenye kilele cha sherehe za wafanyakazi duniani (mei mosi) zilizofanyika jana...

 

11 years ago

GPL

WAFANYAKAZI WA WIZARA MAMBO YA NJE WAJIUNGA NA GEPF

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo  ya Nje na Uhusiano wa Kimataifa, John Haule, akifungua rasmi semina ya kujiunga na Mfuko wa Wafanyakazi wa Serikali (GEPF) iliyofanyika katika ofisi za Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa.
Meneja Masoko na Huduma kwa Wateja wa Mfuko wa GEPF, Aloyce Ntukamazina akitoa mada kwa wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Wizara ya Mambo ya Nje juu ya huduma zitolewazo na GEPF.…
...

 

10 years ago

Vijimambo

Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje akutana na Ujumbe kutoka Wizara ya Mambo ya Nje ya Italia

Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Rajabu Gamaha (mwenye tai) akisalimiana na Balozi wa Italia nchini Tanzania, Mhe. Luigi Scotto alipotembelea Wizarani leo.Balozi Gamaha akisalimiana na Kansela Raffaele De Benedictis kutoka Wizara ya Mambo ya Nje ya Italia ambaye alifuatana na Balozi Scotto walipotembelea Wizara ya Mambo ya Nje leo. Balozi wa Italia (katikati) akimtambulisha Kansela Benedictis kutoka Wizara ya Mambo ya Nje ya Italia kwa Kaimu...

 

11 years ago

Michuzi

MFANYAKAZI HODARI NA WAFANYAKAZI BORA WA WIZARA YA MAMBO YA NJE WAKABIDHIWA VYETI

Mkurugenzi wa Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu, Bw. Dushhood Mndeme akijiandaa kutaja majina ya Wafanyakazi Bora wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa akiwemo Mfanyakazi Hodari  wakati wa Kikao cha 8 cha Baraza la Wafanyakazi kilichofanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam hivi karibuni. Waliokaa ni Katibu Mkuu na Mwenyekiti wa Baraza la Wafanyakazi, Bw. John Haule (mwenye miwani), Naibu Katibu Mkuu, Balozi...

 

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI MEMBE AFUNGUA MKUTANO WA TISA WA BARAZA LA WAFANYAKAZI WA WIZARA YA MAMBO YA NJE

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe.Bernard K. Membe (Mb) akifungua Mkutano wa Tisa wa Baraza la Wafanyakazi wa Wizara hiyo. Mkutano huo ulifanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam tarehe 14 Mei, 2015. Katika hotuba yake, Waziri Membe aliwahimiza Watumishi wa Wizara kufanya kazi kwa bidii na kwa kuzingatia maadili ya Utumishi wa Umma
 Sehemu ya Wajumbe wa Baraza  wakifuatilia hotuba ya Waziri Membe (hayupo pichani) wakati...

 

10 years ago

Vijimambo

Rais Mstaafu Mkapa atoa elimu ya uchumi kwa Mabalozi, maofisa na wafanyakazi Wizara ya Mambo ya Nje

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Bernard Membe (Mb) akimpokea Rais wa awamu ya tatu Mhe. Benjamin William Mkapa mara baada ya kuwasili Mwalimu Nyerere kwa ajili ya semina hiyo.Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Bernard Membe (Mb) akimpokea Rais wa awamu ya tatu Mhe. Benjamin William Mkapa mara baada ya kuwasili Mwalimu Nyerere kwa ajili ya semina hiyo.Rais Mstaafu Mkapa akiteta jambo na Mhe. Membe wakati wa semina hiyo ambapo alizungumzia...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MEMBE AFUNGUA BARAZA LA TISA LA WAFANYAKAZI LA WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA JIJINI DAR LEO.

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,Bernald Membe akizungumza wakati akifungua Barazala Wafanyakazi la Wizara ya Mambo ya Nje katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam leoWaziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,Bernald  akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Baraza la wafanyakazi lililofanyika leo katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam. Baadhi ya wajumbe wa baraza la wafanyakazi wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Nchi wakiwa katika ukumbi wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani