Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mfaransa afanya shoo mitaani Dar

MWANAMICHEZO kutoka nchini Ufaransa, leo anatarajiwa kuonesha shoo ya bure ya utundu wa kuchezea mpira katika mitaa mbalimbali huku akicheza sarakasi na kucheza dansi. Mfaransa huyo Sean  Garnier aliyetua nchini...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

PAM D AFANYA KWELI SHOO YA MWANA DAR LIVE

Mwanamuziki wa Bongo Fleva anayefanya vizuri katika tasnia hiyo, Pamela Daffa 'Pam D' akiwarusha mashabiki wa Dar Live kwa songi lake kali la Nimempata. Vijana wa Pam D wakifanya yao stejini.…

 

11 years ago

GPL

PROFESA JAY AFANYA KWELI SHOO YA KRISMASI DAR LIVE

MwanaHip Hip mahiri nchini, Joseph Haule 'Profesa Jay' akipanda steji ya Dar Live tayari kuwapa burudani mashabiki. Profesa Jay akiwapa hi mashabiki wake wa Dar Live.…

 

10 years ago

GPL

DIAMOND AFANYA MAJARIBIO DAR LIVE TAYARI KWA SHOO KALI YA TAMASHA LA WAFALME LEO USIKU

Msanii Naseeb Abdul 'Diamond Platnumz' akifanya majaribio ya vifaa ndani ya jukwaa la Dar Live. Diamond Platnumz na madansa wake wakifanya maandalizi katika jukwaa la kupanda na kushuka la Dar…

 

9 years ago

Mtanzania

Kabla ya arobaini, Bobby Brown afanya shoo

150214-news-bobby-brownNA BADI MCHOMOLO

NYOTA wa muziki wa hip hop nchini Marekani, Bobby Brown, juzi alipanda jukwaani na kufanya onyesho la kwanza tangu kifo cha mtoto wake, Kristina kilichotokea Julai mwaka huu.

Kristina alizikwa Agosti 3 mwaka huu, hivyo siku 23 tu zimepita amefanya onyesho huku akiwashukuru waliohudhuria onyesho hilo.

“Nawashukuru sana kwa uwepo wenu siku ya leo, pia nawashukuru wale wote mliomuombea mwanangu wakati alipokuwa akiugua,” alieleza Brown.

Hata hivyo, wakati baba huyo akitumbuiza,...

 

10 years ago

GPL

WEMA AFANYA SHOO YA FUNGA MWAKA MATEI LOUNGE DODOMA

Staa wa Bongo, Wema Isaac Sepetu 'Beautiful Onyinye'  akiongea na mashabiki wake (hawapo pichani) waliofika katika shoo yake ya funga mwaka usiku wa kuamkia leo katika Ukumbi wa Matei Lounge Dodoma . Sehemu ya umati wa watu waliojitokeza Ukumbi wa Matei Lounge Dodoma .…

 

9 years ago

Michuzi

Taswira za mitaani jijini Dar

 Ajali ya Pikipiki na Taxi kama ilivyonaswa na Kamera yetu ya Mtaa kwa Mtaa jijini Dar es Salaam. Ohoooooo.......Ajali ya pikipiki na Tax katika barabara ya  Samora (Askari Moment) kama walivyonaswa na Kamera ya Mtaa kwa Mtaa jijini Dar es Salaam.Picha Zote na Emmanuel Massaka,Globu ya Jamii.

 

11 years ago

GPL

MR UWAZI AMWAGA ZAWADI MITAANI DAR

Mr. Uwazi akimkabidhi zawadi msomaji wa Uwazi maeneo ya Tandika.
Huyu dada naye alipata zawadi baada ya kukutwa ana nakala ya gazeti la Uwazi Tandika.
Kijana huyu naye alipewa zawadi baada ya kukutwa na gazeti la Uwazi.…

 

10 years ago

GPL

WASTARA AZINDUA FILAMU YAKE MITAANI DAR

Wastara akiandika kopi za filamu hiyo zilizokuwa zikitoka.
  …Akikata mauno.
Mashabiki wakimshangaa Wastara.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani