Mfumo wa kukokotoa Ada za Vyuo Vikuu nchini kukamilika mwezi Aprili, 2015
Na Johary Kachwamba-MAELEZO, DODOMA
Serikali inaandaa Mfumo (Software) wa kukokotolea ada zinazotumika katika Vyuo Vikuu vyote nchini kutokana na tofauti za kiasi cha ada kinachotozwa na Vyuo Vikuu nchini, Mfumo huu unatarajiwa kukamilika ifikapo mwezi Aprili, 2015.
Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Mhe. Anne Kilango (pichani) wakati akijibu swali la msingi la Mhe. Amina Makilagi , Mbunge wa Viti Maalum aliyetaka kujua iwapo mchanganuo wa ada za vyuo vya umma...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima25 Jun
Mbunge ataka ada elekezi vyuo vikuu
MBUNGE wa Tabora Mjini, Ismail Aden Rage (CCM), ameitaka serikali kufuatilia ada kwenye vyuo vikuu binafsi kutokana na kutoza ada kubwa. Rage alisema hayo alipouliza swali bungeni jana. Akijibu swali...
11 years ago
Mwananchi14 Mar
Serikali yaingilia kati ada vyuo vikuu
10 years ago
Habarileo24 Mar
Tofauti ada vyuo vikuu sasa basi
MWONGOZO wa ada elekezi utakaondoa utata wa utofauti wa kulipa ada baina vyuo na vyuo nchini, unatarajiwa kukamilika na kuanza rasmi kutumika mwezi ujao.
10 years ago
Habarileo18 Mar
Msitegemee ada pekee, JK aviagiza vyuo vikuu
RAIS Jakaya Kikwete amevitaka vyuo vikuu nchini, kutafuta vyanzo vingine mbadala vya mapato katika kujiendesha, badala ya kutegemea malipo ya ada wanazolipwa na wanafunzi ndio wazitumie katika kuendesha taasisi zao.
11 years ago
Tanzania Daima28 Jun
Vyuo vikuu marukufu kutoza ada kwa dola
SERIKALI kupitia Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, imepiga marufuku vyuo vikuu kutoza ada kwa dola kwa wanafunzi Watanzania wanaosoma katika vyuo hivyo. Kauli hiyo ilitolewa bungeni mjini hapa...
9 years ago
MichuziVYUO VIKUU NCHINI KUNOANA KATIKA KONGAMANO LA ELIMU YA JUU 2015 JIJINI ARUSHA
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-XcePV_Yy6lE/Vf1AKL6rpBI/AAAAAAAAEw0/yzBk8qJSFxQ/s72-c/mayunga.jpg)
BARAZA LA VYUO VIKUU AFRIKA MASHARIK(IUCEA)KUWA NA MAONESHO YA VYUO VIKUU UGANDA
![](http://4.bp.blogspot.com/-XcePV_Yy6lE/Vf1AKL6rpBI/AAAAAAAAEw0/yzBk8qJSFxQ/s640/mayunga.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-rnigzh6SSHM/Vf1AQbyI4QI/AAAAAAAAEw8/YKu2tZEAGRM/s640/eabc.jpg)
10 years ago
Vijimambo27 Mar
TAMKO LA UONGOZI WA SERIKALI ZA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU DODOMA KULAANI KUHUSISHWA KWA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU VYA DODOMA NA KUMUOMBA MH. LOWASA KUGOMBEA URAIS.
Tamko la Wanafunzi wa Vyuo Vikuu Dodoma Kulaani Kuhusishwa Kwao Kumshawishi Lowassa Kuchukua Form ya Uraisi
Ndugu Waandishi wa habari, Tunapenda kutanguliza shukrani za dhati kwenu kwa kufika katika eneo hili kutusikiliza.Mbele yenu ni viongozi wa serikali za wanafunzi kutoka Vyuo vikuu mbalimbali vilivyopo mkoani Dodoma.Ndugu waandishi...
9 years ago
Dewji Blog06 Nov
HESLB yajivua lawama wanafunzi vyuo vikuu kukosa mikopo 2015/2016
Na Mwandishi wetu
Zaidi ya wanafundi 50,000 watashindwa kuendelea na masomo ya elimu ya juu kutokana na kushindwa kupata mikopo kutoka katika Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB).
Hayo yamebainika ikiwa ni siku nne tangu HESLB kutoa majina ya wanafunzi waliofanikiwa kupata mikopo kwa mwaka wa masomo 2015/2016, huku idadi kubwa ikiwa haimo katika majina hayo.
Katika mwaka huu wa masomo bodi ya mikopo imeweza kuwapatia mikopo wanafunzi 12,000 pekee sawa na 17.1% ya waombaji zaidi ya 70,000,...